Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya

Nani Sabaya?? Au Makonda? Maana ndio vijana pekee wenye huo 'uthubutu' wa Magufuli[emoji23]
Naunga mkono hoja, Bashite au Saambaya ndiyo mwenye hulka kama yake. Mojawapo apewe nchi ili turudi kwenye ule mtiti maana inaonyesha bado wengine akili hazijakaa sawa. Kuna watumwa wengine aiku wamepewa uhuru walikataa kuondoka na kurudi utumwani. Mleta mada ni mfano wao.
 
Watu wanatapa tapa sana[emoji23][emoji23][emoji23] eti sisitim ilipita naye, ukiuliza hata maana ya sisitim haijui[emoji23][emoji23] atakuambia mfumo[emoji23][emoji23][emoji23].

Usiongee usichojua, yaani upo mbali na ukweli kwa asilimia 100.

Umeshindwa hata kuukaribia ukweli kidogo[emoji23]
Mimi ninachojua ni kuwa Mungu alilikomboa taifa kutoka kwa bhana yule basi. Kama ni sisitimu au korona yote heri kikubwa hayupo inatosha.
 
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.

Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

Hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Je, ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Katika baraza la mawaziri lililopo, mwenye uthubutu huo ni Mwigulu Nchemba tu.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.

Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

Hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Je, ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Sisi ni wanadamu tunaweza tusiwe tunafikiri sawa,lakini ukiisoma biblia inawezekana, Magufuli aliponzwa na watu wa aina yako,na yeye mwenyewe akajisahau kama ilivyomtokea Herode mdo 12:21-23, ukisoma vizuri utaona kilichomponza Herode ni wapambe tu,yeye kukubali kufananishwa na Mungu pasipo kukemea ndo shida ilipoanzia. Sasa naona tunarudi kulekule. Sasa katika Tanzania yenye watu karibu 60m Sasa tuseme ukiondoaa watoto,wazee Sana na vijana tuseme umebaki na 15m,bado hatuna anayefaa kuwa Rais mpaka awe anafanana na Magufuli??? Yaani kivipi haswaa!!
 
Tunatamani ila tutachelewa sana kila nikiiangalia CCM sioni mwenye angalau harufu ya JPM
 
Hatutaki tena mtu asiye jali watumishi wa umma.
 
FB_IMG_16476129321329983.jpg

Huyu hafai??
 
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.

Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

Hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Je, ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Aise tuko na mama rais wa watu wote bila kujali tajiri na masikini. Huyu mama anaupiga mwingi kama ERTUGRUL BAY. i wish aongoze miaka 30.
 
Hatutaki tena mtu asiye jali watumishi wa umma.

Yaani nchi nzima inatakiwa ifunge anasa…mlo mmoja kwa siku ili kuijenga…bila hivyo mtauzwa muwe mahouse boy wa waarabu….hakuna mapenzi kwenye kuandaa shamba…kazi mwanzo mwisho…mapenzi kipindi cha mavuno
 
Naikumbuka ile siku Aidan Eyakuze aliposoma eti maoni ya mdau Jingalao toka JF 2015...

Utakua na mengi sana nyuma ya pazia juu ya Magufuli's Administration.... pole sana ila jua tu yake yamepita na hayatarudi tena.

Again pole sana.

Jipe moyo labda hukuelewa pattern kindergarten vizuri….mapambano bado yanaendelea things change everyday
 
Yaani nchi nzima inatakiwa ifunge anasa…mlo mmoja kwa siku ili kuijenga…bila hivyo mtauzwa muwe mahouse boy wa waarabu….hakuna mapenzi kwenye kuandaa shamba…kazi mwanzo mwisho…mapenzi kipindi cha mavuno
Kama tulivyofunga kipindi Cha mwendazake huku akina Sabaya,Makonda na magenge yao wakila bata club na mademu?

Magufuli akijengea akina Mwinyi na Kikwete mahekalu?
 
Tujikumbushe kidogo ya Magufuli original🐒🐒🐒
 
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.

Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

Hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Je, ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
UMEONYESHA dharau sana kwa Rais Samia anayeongoza, wakati mwingine ujinga muwe mnauweka pembeni angalao kwa muda.
 
Back
Top Bottom