mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,912
- 8,639
Niliongea na mjerumani mmoja akaniambia Hitler alitaka kuiunganisha ulaya kwa kutumia nguvu lakini ikashindikana !Hata Wajerumani kuna wakati walitaka Hitler mwingine arudi ujerumani.
Baadaye akaja Helmut Kohl akaiunganisha ulaya bila kufyatua risasi moja !!
Utaona kumbe hata Hitler alikuwa na nia nzuri lakini mbinu yake haikuwa nzuri akapatikana huyo Helmut Kohl akaitimiza ile nia nzuri aliyokuwa nayo Hitler bila kutumia umwamba wowote ule !!
" panapo nia njia hupatikana "