Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.
hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Si tunao Makonda na Ole Sabaya? Mrisho Gambo kiaina kama amevuta hand break amepiga uturn.Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.
hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Naomba hadi siku ya kifo changu asitokee mtu mwenye chuki na visasi kama huyu akaongoza nchi.
JPM mwenyewe alikiri kutokuandaliwa wala kujiandaa kuwa kiongozi.Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.
hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Tusi-underestimate state machineries....we are are perfectly on the right trackJPM mwenyewe alikiri kutokuandaliwa wala kujiandaa kuwa kiongozi. Sasa mtoa mada zitatumika mbinu zipi kumuandaa huyo mtu?
Binafsi niseme kuwa watu wenye ushamba wa uongozi wako wengi sana...
Na wanaweza kuperform kuliko hata alivyoperform JPM.
Ni ubishi, kujimwambafy na kukurupuka tu, baas!
Unaweza kurudia kusoma ulichoandika??Tusi-underestimate state machineries....we are are perfectly on the right track
Na amebakiwa na miaka 8 tu mpaka atoke madarakani.SSH anatimiza Mwaka mmoja tangu ajipatie madaraka.
Anafanya vizuri sana kuliko mtangulizi wake.

haitotokea tena baada ya hapo TZ kupata Rais mwanamke.Wakubwa kama akina nani?Sera za Magufuli zinaweza kurudi. Ila zikirudi nchi lazima itawekewa vikwazo. Tena vikwazo hivyo vitagusa wakubwa wengi ambao watafanya mbinu kumtoa huyo Rais madarakani.
Tusi-underestimate state machineries....we are are perfectly on the right track
Mbona itatokea tena soon tu? Wait![]()
Nabii Josephat Mwingira anena Mazito kwenye Salamu za Heri ya Krismasi
Salamu za Heri zinaendelea kumiminika. Hapa chini ni kutoka kwa nabii Mwingira: Salamu za kama hizi zinapoendelea kutufikia ni vyema kujitafakari. Ni wazi kuwa kama Taifa hatuko vizuri. Walikuwapo kina Desmond Tutu, leo hatuko nao. Walifanya sehemu yao, wamekwenda. Angalia katika...www.jamiiforums.com
never again kuandaa/ au system kuzubaa kupita kiasi hadi mtu wa namna hii kuwa Ikulu

Watu wanatapa tapa sanaJpm og system ilipita nae huyu wa kwenu mnaemuandaa tutapita nae cc wananchi.

eti sisitim ilipita naye, ukiuliza hata maana ya sisitim haijui
atakuambia mfumo

. 
Sera mbovu za CCM ndiyo zinakosesha wagonjwa huduma.Ila manataka kuona wagonjwa Muhimbili wakifa kwa kukosa huduma
Tanzania hatutaki tena aje atokee kiongozi MFITINI, mbaguzi, mwizi na MWONGO kama Magufuli.Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.
hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.
hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
SSH akikamilsha katiba hana mpinzani!SSH anatimiza Mwaka mmoja tangu ajipatie madaraka.
Anafanya vizuri sana kuliko mtangulizi wake.
Ni kweli alikuwa na mabaya ila mema yalizidi.Sera mbovu za CCM ndiyo zinakosesha wagonjwa huduma.
Huyo muaaji kama mmemmis sana nendeni mkalale pembeni yake.