Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya

Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya

baseless accusations!
Haya majibu yenu ya baseless accusations, mara lete ushahidi yanaweza kuwazoesha raia kukubali mambo ya hovyo kuwa ndiyo kawaida.

Ni jukumu la serikali kueleza kila uhai wa raia wake unapomtoka kama kuna utata wa aina yo yote kuhusu kisababishi.

Mkuu wa Serikali ndiye mwishoni nayewajibika.

Ndivyo nchi ambazo siyo banana states zinavyoendeshwa.
 
Magufuli ni masihi alisema amekuja kuandaa njia yupo anaye kuja.
Kabisa hata mimi naamini hivyo, ipo siku hawa mamluki wachache ambao wanarudi kwa kasi ya kutisha watajikuta yatima na hawana pa kuficha nyuso zao kwa aibu na fedheha...God is alive
 

never again kuandaa/ au system kuzubaa kupita kiasi hadi mtu wa namna hii kuwa Ikulu
Ajabu ya mwaka wezi wanalindwa wazalendo wanakosa mtetezi....
 
Hatutaki tena kuona watu wanatupwa baharini wakiwa wamefungwa kwenye mifuko ya sandarusi na kushindiliwa na mawe ili wasitokee juu ya maji/waasiibuke.
kwahiyo Magufuli ndio alikuwa anawatupa! wanaotupwa sasa hivi itakuwa ni mzimu wake?

nimeamini mpumbavu huwezi kumjua mpaka atoe neno
 
kwani JPM orijino aliandaliwa?
ndio aliandaliwa japo sio kiivyo refer to watangulizi wake walikuwa wakimtegemea kuhandle wizara zote zilizokuwa zikiwapa changamoto baada ya kuwa wameharibu mazima wakaamua kumpa usukani kabisa
 
SSH anatimiza Mwaka mmoja tangu ajipatie madaraka.
Anafanya vizuri sana kuliko mtangulizi wake.
kipi amefanya vizuri kuliko mtangulizi wake maana kwa haraka tu mtangulizi wake ana SGR, ATCL,bwawa la rufiji na SSH ana Msaada wa Uviko 19 na ziara ughaibuni
 
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!


Binadamu hawawezi kufanana kamwe.

Tutataka Raisi mwenye mazuri ya Magu lakini asiwe na mabaya yake ambayo nayo yameleta shida nyingi sana.

Tatizo watu wanajisahaulisha mabaya kama vile alikuwa malaika!
 
Naomba hadi siku ya kifo changu asitokee mtu mwenye chuki na visasi kama huyu akaongoza nchi.
sijawahi sikia mmesema ni chuki ipi na visasi aliwafanyia so we presume nyie ni miongoni mwa casualty chache muhimu katika kuleta mabadiliko na maendeleo aliyoyapigania
 
Haya majibu yenu ya baseless accusations, mara lete ushahidi yanaweza kuwazoesha raia kukubali mambo ya hovyo kuwa ndiyo kawaida. Ni jukumu la serikali kueleza kila uhai wa raia wake unapomtoka kama kuna utata wa aina yo yote kuhusu kisababishi. Mkuu wa Serikali ndiye mwishoni nayewajibika. Ndivyo nchi ambazo siyo banana states zinavyoendeshwa.
subiri ripoti ya tume ya dogo wa madini wa mtwara aliyeuwawa na askari waliotumwa na mzimu wa JPM serikali pendwa ya awamu ya 5.5 itoe maelezo afu utanitag
 
kwahiyo Magufuli ndio alikuwa anawatupa! wanaotupwa sasa hivi itakuwa ni mzimu wake? nimeamini mpumbavu huwezi kumjua mpaka atoe neno
Uzuri ni kuwa wenyewe kwa wenyewe washaanza kutajana.

Rejea ya Makonda na Polisi wanavosutana
 
Back
Top Bottom