Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya

Baseless vp na kweli maiti zilikuwa zikiokotwa na kuzikwa bila uchunguzi wowote kufanywa au kwa sababu wewe hayakukufika hujali, kila ikifika tarehe hii tutamkubuka jamaa kwa ukatili wake dhidi ya binaadamu.
Kama ziliokotwa na kuzikwa unaruhusiwa kwenda kufukua na kufanya uchunguzi wa vinasaba
 
Kuna jema litazidi kutoa uhai wa mtu. Uhai wa raia mmoja haulinganishwi na chochote.

Kwangu mimi kuondoka kwa Magufuri ilikuwa muujiza.
Unaweza kulinganisha uhai wa bodaboda mmoja anayevuka barabara bila kuangalia usalama na uhai wa abiria walio kwenye basi ?
 
Cheti fake mbona hata Kikwete aliwahi kufanya ukaguzi Tena kwa vyuo vya waalimu.

Sema haikutangazwa, nakumbuka walipita vyuo vyote vya ualimu 2009 /2010 kukagua vyeti vya form four na six.

Wengi walidakwa wakafukuzwa.
Kwahiyo alifanya kwa upendeleo siyo imekuwaje wamebaki
 
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.

Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

Hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Je, ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Stupid and rubbish kabisa
 
... itoshe kumshukuru Mungu wa Mbinguni kwa matendo yake makuu!

Taifa lilishaelekezwa kibla kama sio Mungu kuingilia tulikuwa tunaelekea pabaya.

kwa sasa mnaelekezwa sodoma na mnakata viuno tu.
 
Tanzania hatutaki tena aje atokee kiongozi MFITINI, mbaguzi, mwizi na MWONGO kama Magufuli.

Mungu aliipenda sana Nchi yetu ndiyo maana akampeleka jehanam Magufuli siku chache tu baada ya kuiba kura za uchaguzi wa mwaka 2020.

Kamwe hatatokea HAYAWANI na FEDHULI mwingine kama Magufuli
Hutaki wewe na nani,???
 
Hatutaki tena kuona watu wanatupwa baharini wakiwa wamefungwa kwenye mifuko ya sandarusi na kushindiliwa na mawe ili wasitokee juu ya maji/waasiibuke.
Ila mauaji Kama ya polisi kibiti yenyewe sawa?
 
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.

Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

Hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Je, ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Nyie watu mnachekesha sana. Yaani mnataka turudi kwenye utawala giza?
 
Baseless vp na kweli maiti zilikuwa zikiokotwa na kuzikwa bila uchunguzi wowote kufanywa au kwa sababu wewe hayakukufika hujali, kila ikifika tarehe hii tutamkubuka jamaa kwa ukatili wake dhidi ya binaadamu.
Tutajie ndugu yako au mtu yeyote unaemfahamu aliyeuwawa. Acha kulishwa maneno na wasaga kunguni.
 
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.

Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

Hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Je, ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Si tundika kamba Tu ujinyonge, au kunywa dawa ya panya ufe ulifuate Lile jambazi liuwaji maneno mengi ya kazi gani ??
 
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.

Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.

Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.

Hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.

Je, ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Asije akatokea mwenye kaliba ya jpm kuwa rais Tena. Tulikosea kumpa mwenye cheti milembe. Alikuwa anaendesha nchi Kama familia yake pasi kufata sheria ni Kama vile alikuwa juu ya Sheria ndo Mana alikuwa anaua na kuvamia account na kufilisi watu anaohisi ni wapinzani wake kisiasa. E mungu Asante kwa kutuondolea sheitwani yule
 
Tutajie ndugu yako au mtu yeyote unaemfahamu aliyeuwawa. Acha kulishwa maneno na wasaga kunguni.

Hivi nani alimpoteza Azory gwanda,Ben Saanane

Wacha kusifia muumiani
 
Back
Top Bottom