wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 813
- 1,107
Akihamia kwake watoto awapangishie nyumba yao? Kumbuka hata watoto haitakiwi wakayaona machupi makubwa ya mama yao.Akiwa anaanika ndani anaweza zipiga pasi
Pia unaweza Hamia kwako au pangisha upande ambao hautumii na wapangaji wengine