Almagedon
Senior Member
- Dec 3, 2022
- 197
- 216
huwez ukatuekea na pcha ya hiyo michupi ikiwa imeanikwa ili tujue uzito wa tatizo lenyeweMkuu elewa content tu inatosha
huwez ukatuekea na pcha ya hiyo michupi ikiwa imeanikwa ili tujue uzito wa tatizo lenyeweMkuu elewa content tu inatosha
Mnunulie mashine ya kukausha nguoHabari wana jamii....
Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.
Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Nyeupe ukizipasi bila kukauka baada ya muda zinabadilika rangi zinakuwa sio nyeupe tena yaani lazima uzichome na motoTufanye hivi,anika ndani afu zikianza kukauka kauka piga pasi kuua vijidudu,hapo vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23],Hii nchi Kuna Vijana wa hovyo sana.Awe makini, nakumbuka zamani kabisa, kuna mwana alikuwa ana tabia za kuchukua chupi za mama mwenye nyumba anaenda kupigia nyeto..
[emoji23][emoji23]
Huo mmama mwenye nyumba wenyewe sasa ulikuwa na bonge wa mtakoooo
[emoji23][emoji23]Ana makalio makubwa au ndio kama wanawake ya jf?
Ubaya unazungumza na watoto humu hawawezi kukuelewa wala kujiuliza kwa nini wazazi wao hawaaniki nguo za ndani nje wao wakawa wanaona.Tatizo sio kuwa mpya au ziwe zimechakaa tatizo ni zikifuliwa zinaanikwa nje faragha ya mke wangu anaestahiki kuijua n mm tu iweje yeye aanike nje na pasi ipo kama ni wingi ni nyingi za kutosha anauwezo wa kubadili hata mwezi mzima zisiishe,
Nazungumzia kwa mke wangu wa ndoa na wala sio sogeza tukae, nimeamua kuoa ili nifichiwe aibu yangu nae nimfichie yake kwa maana tustiriane wote sasa yeye kwanini siri za ndani azianike nje ilhali mbadala upo.
Humu naona mnajadili hii hali kibachela sana kama mtu na mpenzi wake na sio mke wa ndoa na kama ni mke wa ndoa basi si katika maisha halisi ya mtanzania.
Kuanika nguo za ndani katika halaiki sio vizuri vyote, wivu, husda na mambo mengine vinaweza husika lkn kikubwa ni kujistiri kama wanandoa.