Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Suluhisho ni kuzichoma au kuzichana chupi zake zote.

Kisha kuanzia hapo asivae tena chupi.

Akiwa anapokea mshahara wake wa mwezi atumie adaliti daipa/pampaz.

Hatokuwa na kitu cha kuanika na fedheha itaisha.
Vivyo hivyo kwenye sidiria pia asivae, wacha yaning'inie kama gololi mbili zinavyoning'inia.

Alamsiki.
 
Suluhisho ni kuzichoma au kuzichana chupi zake zote.

Kisha kuanzia hapo asivae tena chupi.

Akiwa anapokea mshahara wake wa mwezi atumie adaliti daipa/pampaz.

Hatokuwa na kitu cha kuanika na fedheha itaisha.
Vivyo hivyo kwenye sidiria pia asivae, wacha yaning'inie kama gololi mbili zinavyoning'inia.

Alamsiki.
Sio kwa mvurugo huo mbona yanaongeleka
 
Kwann mkuu mm nna shida gani
Okay.....
Ebu fanya hivi, kama hivyo ndivyo anavyo amini kwamba akianika makabati juani ndio kwake ni afya, basi mshauri tu kwamba akiwa ana anika afinike na khanga ana leso kwa juu kisha azibane kwa pamoja kwenye kamba ili aweze kujistiri.
 
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Hajalelewa kimaadili kabisa huyo.

Hafai kabisa kuwa mke wa mtu.
 
Mkuu mtu akishaona vitu vya ndani vya mkeo anakudharau lkn hawa wake zetu ni wabishi sana ukimwambia anaongea mambo ya wivu yaani hata hawajithamini na kuthamini maumbo yao
Huyo dada alikuwa haoni aibu hata kwa mumewe hata kidogo, na hata ukimkuta mkao wake maungo ya ndani yanaonekana yeye wala hajali.
 
Mianamke ya namna hii huwa inakera sana.

Mimi binafsi nikiona chupi ya mwanamke huwa napata kinyaa sana tofauti na wengine wanaosema sijui kutamani.

Sipendi kuona chupi ya mwanamke mtu mzima ikiwa imeanikwa nje kila mtu anaona huna naona muanikaji hana akili hata chembe
Ni kweli kabisa mkuu. Hata mimi nikiona nguo ya ndani ya mwanamke ninaemjua huwa nachukulia kana kwamba nimemvua nguo zake zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom