Kwanza tengua kauli. Kwamba mke wangu. Una undugu nae wewe? Si umemkuta mtu mzima? Leo unaanzaje kumzuia kuanika magamba yake anakotaka? Umemzuia,hasikii. Basi we ndo hutaki kuelewa. Mpaka akwambie sitaki? Hapo keshasema tayari.
2. Kama unaona noma,kuliko ulalamike si uhamie unapofikilia pako sawa hata akianika nje wapangaji wengine hawazioni? Na je,ukisema tuhame akakataa,utaenda umuache?
We ni mjinga tena msenge. Ulishaambiwa jiunge na chama cha Kataa Ndoa,ukajifanya mwamba. Aacha yakukute.
Unajua nini,kuna mjama hapo anamla. Sasa alimwambia ntakuwa naamika nje ukipita uzione ukimiss. We hujui.
Kubali matokeo sasa