Bado ni ya ndani tu. Unahitaji kifua. Je unajua uzoefu wa hao unaowaomba ushauri au unaanika nguo za ndani hadharani kwa hasara yenu mwanangu?Mkuu hayo c ya ndani tena maana yashaanikwa nje kwenye kamba binafsi nakereka sana
Kwann wanawake wa jf lakini tumefanyaje sisi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ana matako makubwa au kama wanawake wa jf?
Mpaka naeleza uku nishachoka kifuatacho ni kadi nyekundu akajifunzie kwao ananidharirisha sana na hataki kuckia nifanyejeBado ni ya ndani tu. Unahitaji kifua. Je unajua uzoefu wa hao unaowaomba ushauri au unaanika nguo za ndani hadharani kwa hasara yenu mwanangu?
Huyo ametoka mkoani. Wanawake wa kiswahili huwezi kuona ameanika chupi yake hata kama mnaishi familia moja labda awe mtoto ambaye hajavunja ungo. Huwa wanafunzwa mapema mno jinsi ya kujistiri na kujisafishaHiyo ni tabia ya wanawake wa uswahilini.
Mimi mwenyewe boxer zangu huwa sianiki kwenye kamba wala vitambaa vya kupengea mafua.
Ni kweli aiseHuyo ametoka mkoani. Wanawake wa kiswahili huwezi kuona ameanika chupi yake hata kama mnaishi familia moja labda awe mtoto ambaye hajavunja ungo. Huwa wanafunzwa mapema mno jinsi ya kujistiri na kujisafisha
Siwezi ona ajabu kwa usemacho kwani kuna wengine wanatembea na chupi tu mtaani ila kwangu mm chupi ya mke wangu ni faragha yangu mm na yeye kwanini kila mtu aone sizeChupi za ndani zote zinaanikwa juani na sio ndani. Mimi nafua kila siku nguo nilizozivaa leo kesho asubuhi naziacha kambani na chupi naianua jioni nikirudi.
Sijawahi anika chupi ndani.
Wewe mwanaume wacha wivu
🤣🤣🤣Mkuu hayo c ya ndani tena maana yashaanikwa nje kwenye kamba binafsi nakereka sana
Bila picha zako za chupi uouzoanika nnje hapa JF basi hii ni chai tamu sana yenye viungo vya kila aina.Chupi za ndani zote zinaanikwa juani na sio ndani. Mimi nafua kila siku nguo nilizozivaa leo kesho asubuhi naziacha kambani na chupi naianua jioni nikirudi.
Sijawahi anika chupi ndani.
Wewe mwanaume wacha wivu
EH kumbe wale wale tu, siyo sawa hivyo ni vitu vya ndani siyo heshima kila mtu aone mapigo yako na size zako , siyo sawa kabisaChupi za ndani zote zinaanikwa juani na sio ndani. Mimi nafua kila siku nguo nilizozivaa leo kesho asubuhi naziacha kambani na chupi naianua jioni nikirudi.
Sijawahi anika chupi ndani.
Wewe mwanaume wacha wivu
Wewe ni mpumbavu huna akili nguo za ndani za mwanamke sio za kukaa nje wanawake wa siku hizi mmejaza makamasi kichwaniChupi za ndani zote zinaanikwa juani na sio ndani. Mimi nafua kila siku nguo nilizozivaa leo kesho asubuhi naziacha kambani na chupi naianua jioni nikirudi.
Sijawahi anika chupi ndani.
Wewe mwanaume wacha wivu
Kwani mkuu shida ni chupi au size maana tangu mwanzo unacholalamika ni michupi mikubwaSiwezi ona ajabu kwa usemacho kwani kuna wengine wanatembea na chupi tu mtaani ila kwangu mm chupi ya mke wangu ni faragha yangu mm na yeye kwanini kila mtu aone size
Kila.mtu kwani mnaishi barabarani kila anaepita azione?EH kumbe wale wale tu, siyo sawa hivyo ni vitu vya ndani siyo heshima kila mtu aone mapigo yako na size zako , siyo sawa kabisa