Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Wewe ni mpumbavu huna akili nguo za ndani za mwanamke sio za kukaa nje wanawake wa siku hizi mmejaza makamasi kichwani
Kabisa, mwanamke yeyote anayejiheshimu hawezi kuanika chupi zake nje kila mtu azione.

Ni ujuha na upumbavu tu
 
Wanamke wanao anika chupi nje ni wapumbavu hawana akili.

Huwa nadharau na napata na kinyaa mwanamke ambae nimeona nguo yake ya ndani kaanika nje moja kwa moja anakuwa hana akili na mazoea naye huwa sitaki.

Wanawake wa hivi hawana akili kabisa hata punje naweza sema hauna mwanamke umeoa bogus rudisha kwao hilo jinga
Nilipanga compound moja na dada wa imani fulani, aisee yule dada alikuwa anajua kujisitiri, sijawahi kuona kaanika chupi nje ,sijawahi kuona kaanika sidiria nje.

Hata kumuona hivi akitoka kuoga ni kwa nadra sana. Kuna wakati alikuwa yupo radhi akiona mmekaa koridon ajicheleweshe kutoka , mtoke ndio atoke.
Yule mpare kongole kwake.

I wish mafundisho ya ile imani yangefundwa na kwa hawa kina Getrude
 
Nakuhakikishia mkeo kama anaanika chupi ndani basi mafangasi hatokaaga akapona.

Huwezi kuwa unavaa chupi za cotton ukazianika ndani never ndo yale machupi ya wake zenu yamefubaa kwa kuyaanika bafuni.

Wacha sisi wasafi tuzianike nje. Hata unitukane vipi nakuhakikishia kati ya top 10 wanawake wasafi duniani sikosi. Mimi ni msafo mpaka basi. Tukana tusi jingine.
Hao wanawake 10 wasafi mtaani kwenu, unahisi wote wanatumia approach kama yako ya kuanika michupi nje
 
Yaani wewe nahc ni ukoo mmoja na mke wangu yaani ni wabishi sana, ni wabishi hadi mnakera hope wewe sio muislam ila kwa sisi waislam mke wa aina yako na wakwangu hawafai kuwa wake yaani faragha ya mume waianika kila dume lijionee huo c ujaahili wenyew
Kaka tena kama ni muislam huyo dogo anadharirisha sana, uislam unafundisha kujisitiri.

Nisieleweke vibaya ila asilimia kubwa ya wanaoanika ma vyupi nje ni imani ya kina Emmanuel
 
Ni kweli kabisa kipindi naanza balehe, nlikuwa nikiona tu chu** ya mwanamke, mashine lazma isonge mbele ikifuatiwa na kwenda kuinusa pale kati. Wakati huo tulikuwa tunapangisha home.

Astaghafilulah
Ingawa siku hizi baadhi ya Wanawake wameacha kuzivaa eti wanataka zipunge upepo 😅
 
Sina aibu kwa sababu mimi ni msafi na ni msafi haswa, kila kitu changu ni kisafiiiiiii nguo zangu zote za ndani cotton nyeupeee ntazianikaje ndani zifubae? Akuuuu!
Nimefurahi ukisifia usafi wako! Bila shaka msafi! Njooo pm nikupe na ya kutolea kama hutojali
 
Kaka tena kama ni muislam huyo dogo anadharirisha sana, uislam unafundisha kujisitiri.

Nisieleweke vibaya ila asilimia kubwa ya wanaoanika ma vyupi nje ni imani ya kina Emmanuel
Ni muislam mkuu sema kaelimu alikopata kanamporomosha maadili kasoma elimu zote lakini ya kidunia kaishikiria na kujifanya kujua kila kitu
 
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Ataliwa huyo soon na hao wamba,

Kwahy mkeo anavaa michupi kikubwa na ni size ngapi ??
 
Mkuu hata kama mpangaji nguo za ndani zisipo anikwa juani ni shida hasa kwa sisi wanawake.

Kwanza tunashauriwa kuvaa cotton, hivi unajua cotton isipo kaushwa na kua inakuwaje? Inaweza hata badirika weupe wa nguo hiyo. Muda huu nishaanika nje nazitoa nikitoka kibarua.
Ndio uanike bila kufunika na nguo nyingine!tabia za kihuni kabisa na umalaya,ndio maana ikaitwa nguo ya ndani.
 
Nimefurahi ukisifia usafi wako! Bila shaka msafi! Njooo pm nikupe na ya kutolea kama hutojali
Asante mkuu, nikifuliaga nakupandia hewani, leo ijumaa ni siku yangu ya bahati tumaokoto kadhaa natupata. Nakuweka akiba, ahaaa natania.
 
A
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Anakudharirishaje mkuu au chupi zake Zina madoa sugu, virakaraka na matobo!?😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom