Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,413
- 11,903
- Thread starter
- #181
Ahsante mkuu kwa ushauriMke mbishi ni mzigo mkubwa kwa Mume.Namna nzuri ya kuondoa ubishi wake ni kumuonesha wewe kweli ni nahodha wa nyumba.
Andaa vizuri sehemu uliyopendekeza aanike nguo za ndani(pawepo na mzunguko wa hewa).
Ikiwa ataendelea na tabia yake,tafuta mtu mzima mwenye busara amshauri.