Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,204
Reaction score
11,526
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
 
Awe makini, nakumbuka zamani kabisa, kuna mwana alikuwa ana tabia za kuchukua chupi za mama mwenye nyumba anaenda kupigia nyeto..
😂😂

Huo mmama mwenye nyumba wenyewe sasa ulikuwa na bonge wa mtakoooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom