Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Unajaribu nini wakati ulipitia ujana kwani hukuyaishi maisha haya?πŸ˜…
Haha.........si nilitaka nikumbushie ujana, presha na kisukari vyote vilipanda kwa wakati mmoja, nikasema sina budi kutandika daluga na kuwaachia ninyi Vijana muendeleeπŸ˜…
 
Haha.........si nilitaka nikumbushie ujana, presha na kisukari vyote vilipanda kwa wakati mmoja, nikasema sina budi kutandika daluga na kuwaachia ninyi Vijana muendeleeπŸ˜…
πŸ˜‚ pole sana mkuu uwezi ukakumbushia ujana wakati ni mzee, huko ni kuingilia majukumu ya vijana. Tumekusamehe
 
Asbh tu nimetoka nnje mam mwenye nyumba kaanika vyupi zake za kutosha nnje mukubwa hatar
 
πŸ˜‚ pole sana mkuu uwezi ukakumbushia ujana wakati ni mzee, huko ni kuingilia majukumu ya vijana. Tumekusamehe
Hahahaha..............nimekoma miye Babu yenu, mambo ya ist kuvuta tractor sirudii kufanya

Maisha bado matamu haya πŸ€ͺ
 
Ahaaaa usinifanye nicheke, niandike kuluga changu nasisitiza nasema hivi niko top ten huko kote buza , tukuyu, na kuzunguka dunia nzima mpaka huko sayari nyingine, mars, Jupiter, huko kote kumejumulishwa mkuu🀣
Unaweza dondosha inbox animation yako nisuuze macho?
 
Hi tabia naipenda akiwa sio mtu wangu, ila kama ni wangu ni kuwa na utimamu tu ukiania nje hakikisha umeweka na kanga juu.

Mbaya zaidi kuna wale wanaanika michupi yao bafuni, hizi nyumba za kupanga ni shida.

Tujenge kwetu jamani
 
Hapo kuwa makini kumlinda mkeo dhidi ya hao wapangaji wenzako.

Maana kwenye vitu huamsha hisia za ngono kwa mwanaume ni pamoja na kuona chupi ya Mwanamke
Ni kweli kabisa kipindi naanza balehe, nlikuwa nikiona tu chu** ya mwanamke, mashine lazma isonge mbele ikifuatiwa na kwenda kuinusa pale kati. Wakati huo tulikuwa tunapangisha home.

Astaghafilulah
 
Ichukulie in positive way, pambana ujenge kwako mama watoto ajiachie kwa raha zake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom