Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Dogo una miaka mingapi toka umeanza kunyoa huto tuvuzi twako ?
Mimi nimekaribia miaka 40 ningezaa mapema mtoto wangu leo angekua na miaka 20+ plus. No matter how old are you hizo guts za kuniita dogo umepata wapi.

Nasema chupi zianikwe nje kwenye jua kuepuka magonjwa.
 
Dogo siku ukikomaa utajua kwa nini wakubwa zako wanaziita nguo za ndani sio chupi na utajua kwa nini zinaitwa nguo za ndani na sio za nje.

Akili bado haijakomaa utoto unakusumbua ukikua utajua kwa nini zinaitwa nguo za ndani na kwa nini wakubwa zako wanaweka ndani sio nje sasa bado ni mtoto
 
Dogo siku ukikomaa utajua kwa nini wakubwa zako wanaziita nguo za ndani sio chupi na utajua kwa nini zinaitwa nguo za ndani na sio za nje.

Akili bado haijakomaa utoto unakusumbua ukikua utajua kwa nini zinaitwa nguo za ndani sasa bado ni mtoto
Anika chupi kwenye jua acha ukoloni
 
Huna hoja ya msingi. Mimi najizungumzia Mimi sio mama.
Umeona sasa ulivyo mpumbavu unafikiri mama yako ni tahira kama wewe ?

Mitoto ya siku hizi akili zenu mnaficha kwenye makabati mnatembea vichwa tupu.

Nimekwisha kuambia siku ukikomaa utoto ukakuondoka ndio utajua kwa nini watu wazima hawaiti chupi wanaita nguo za ndani na sio za nje na wana anika ndani sio nje.

Punguza utoto
 
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Shida sio KUMWAMBIA.

Shida ni wakati gani unamwambia na namna gani unamuambia.

Mtu mzima hasa mwanamke ambaye ni mkeo ukitaka kumcontrol aache jambo fulani usikurupuke tu pale unapoliona jambo hilo ndo ukakataza,hapana.

Jipe muda mpaka jambo analolifanya lipite,naye mpe muda mpaka lile jambo analolifanya lipite.

Kisha tafuta MUDA mzuri ambao unaona kabisa nikiwa na Mke wangu MUDA HUO ANAKUWA AMETULIA NA TUNAONGEA VITU VYA MAANA NA TUNASIKILIZANA.

(Kila wanandoa wanao huo muda kama kweli wanapendana)

inaweza kuwa baada ya tendo la ndoa,au baada ya kumpa zawadi fulani,au usiku mkiwa kitandani au muda mwingine wowote,then ukishaupata huo wakati NDIO UNAANZA KUMUAMBIA.

Tena unamuambia friendly na HAKIKISHA HIYO HAIWI AJENDA KUU,SIO UNAFUNGUA KIKAO UNAZUNGUMZIA INSHU HIYOO MWANZO MWISHOO NA KUMKUMBUSHA YOTE ALIYOFANYA HAPANA.

Tafuta ajenda fulani ambayo hata yeye atakuwa amepay attention then mtajadili kisha katikati ya mada UNAINGIZIA KWAMBA "mke wangu haya maongezi matamu nisije nikasahau kuna jambo kidogo nataka uliweke sawa,jambo la kuanika nguo pale nje lifanye kwa namna fulani na fulani" then unamuambia "NAKUJUA UMENIELEWA MKE WANGU AU UONGO..?

then utamsikia atakavyojibu.

NB ; HAKIKISHA TONE YA SAUTI YAKO IPO NORMAL KABISA WAKATI UNAMUAMBIA JAMBO HILO,ZUIA HASIRA ISIONEKANE KATIKA SAUTI YAKO,BE CALM,BE GENTLEMEN wakati unamfikishia ujumbe huo.

Nakuambia kama atakuwa mkaidi baada ya hapo basi hilo KEO NI BISHI,narudia HILO KEO litakuwa bishi.

Mimi naamini ukitumia njia hii utafanikiwa.

Kwa kifupi zingatia yafuatayo.

1.muda ambao mnakuwa mumetulia.
2.chagua maneno yasiyokera kama nilivyoonesha mfano.
3.tone ya sauti yako iwe kawaida usidhihirishe hasira katika sauti yako.

ukitaka mkeo akuheshimu anza kuwa gentlemen,usiwe unaongea kwa emotions mwanaume.

Hata kama kitu haukipendi kwa mkeo mkuu usiongee kwa hasira,hizo hasira sio zitakazomfanya aache jambo hilo,bali kitakachomfanya aache jambo hilo ni nguvu yako ya ushawishi wa maneno.

na nguvu ya ushawishi wa maneno haiwezi kuja wakati una hasira,bali inakuwa wakati umetulia,umerelax ndio unapangilia maneno vizuri.

So nakuomba sana mkuu angalia hilo kwa upande wako huwenda mnakosana.

kama kuna mambo ya siri ambayo unadhani ni shida kwenu na huwezi kuyaweka hapa mimi nakukaribisha inbox nitakusaidia kwa ushauri kama utapenda,NAFURAHI SANA KUTENGENEZA NDOA ZA WATU.
 
Mkuu hapa umeongea ki-TA(Tanga town) binafsi nmekubali ushauri wako tatizo linakuja nshachelewa coz nishamwambia na kumwambia mara nyingi tu nikikuta kaanika sasa kwa suplize iyo unayoisema nishachelewa.

Lakini pia hamna la siri lingine zaidi ya ilo nilichogundua wanawake wengi wana hiyo mentality ya kuanika kuua vidudu bila kujali kujistiri kwao kunatupa confidence wanaume katika tendo la ndoa na kujiamini pia.

Mbadala sio kuwa haupo la! Mtu anaweza piga pasi na nguo ikakauka vizuri na iwe healthy lkn ni kukariri na kukaza fuvu.
 
Sisi wake zetu hawafanyi hivyo,wanaanika ndani ama wanaanika nje ikiwa hakuna watu then wanafunika na kanga juu kuficha nguo za ndani.

Kama unahisi umechelewa sawa,ila nina amini kabisa mkeo sio mbishi katika jambo hilo bali naamini mnakwazana katika mambo mengi tu.

So unatakiwa wewe ubadilike the way unabehave alafu na yeye atakuja kubadilika baadae,kila kitu kinawezekana.

Ila kama unadhani njia unazotumia kumuambia ni sahihi NA ZINAMBADILISHA😃 Basi endelea nazo mkuu
 
Sisi wake zetu hawafanyi hivyo,wanaanika ndani ama wanaanika nje ikiwa hakuna watu then wanafunika na kanga juu kuficha nguo za ndani.

Kama unahisi umechelewa sawa,ila nina amini kabisa mkeo sio mbishi katika jambo hilo bali naamini mnakwazana katika mambo mengi tu.

So unatakiwa wewe ubadilike the way unabehave alafu na yeye atakuja kubadilika baadae,kila kitu kinawezekana.

Ila kama unadhani njia unazotumia kumuambia ni sahihi NA ZINAMBADILISHA[emoji2] Basi endelea nazo mkuu
Sina mambo mingi mkuu sema wanawake ni wabishi sana na mkishazoeana basi wanatikisa mibuyu waone kama unaanguka au la,

Mm ni mtu wa dini(muislam), japo sio swala tano ila naamini katika mipaka ya M/mungu. Mwanamke kawekewa mipaka katika ndoa lkn wengi wa wanawake wanapambana kubadili maandiko kwa kigezo cha technology.
 
Sawa mkuu Mungu asaidie katika hilo
 
Wakuu wanashauri nijenge nihamie kwangu,, kujenga sio kwa kila mtu wengine tunapambana tonge liende mdomoni tu.
 
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Anaanika na zilizotoboka honey area?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom