Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Mwambie aache upuuzi.Siyo kila ushauri ni wa kuufuatilia.
 
Chupi zina shawishi sana kwa baadhi ya watu, nikiwa chuo kuna jirani yangu alikuwa akiishi na mwanamke wake ni mzuri sana vijana walikuwa wanamtolea macho sana, alikuwa na tabia kama hiyo ya mkeo. Kuna siku nipo ndani dirishan nikamuona jirani anailamba chupi na kuinusa+kuikiss kwa hisia sana almanusura atoe machozi (huyu alikuwa na ukaribu sana na jiran mwenye mke). Kwa hali kama hiyo n rahisi hata mtu kufanya kitu kibaya
Shubamiti huyo jamaa atakuwa mgonjwa wa akili.Pu!
 
Yaani wewe nahc ni ukoo mmoja na mke wangu yaani ni wabishi sana, ni wabishi hadi mnakera hope wewe sio muislam ila kwa sisi waislam mke wa aina yako na wakwangu hawafai kuwa wake yaani faragha ya mume waianika kila dume lijionee huo c ujaahili wenyew
Ahaaaaa in short wanawake aina ya mkeo ni wasafiiiiiii, yaaani sisi usafi ndo nature yetu, nimeamka saa 11 nikapiga tiz kidogo, fanya usafi ndani, nikafua nguo nilizovaa jana nahiyo ya ndani nimeziacha kambani njee nitaanua jioni.

Kwendraaaa huko una mwanamke msafi unalalamika nini sasa waulize wanaume wenzio, chupi wake zao walizo zivaa wakiwa period zilivyo rundikwa uvunguni mwa kitanda tangu wiki ilopita
 
Chupi zina shawishi sana kwa baadhi ya watu, nikiwa chuo kuna jirani yangu alikuwa akiishi na mwanamke wake ni mzuri sana vijana walikuwa wanamtolea macho sana, alikuwa na tabia kama hiyo ya mkeo. Kuna siku nipo ndani dirishan nikamuona jirani anailamba chupi na kuinusa+kuikiss kwa hisia sana almanusura atoe machozi (huyu alikuwa na ukaribu sana na jiran mwenye mke). Kwa hali kama hiyo n rahisi hata mtu kufanya kitu kibaya
Na huyo jirani ni wewe 🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom