luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,150
- 21,801
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni mpumbavu huna akili nguo za ndani za mwanamke sio za kukaa nje wanawake wa siku hizi mmejaza makamasi kichwani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni mpumbavu huna akili nguo za ndani za mwanamke sio za kukaa nje wanawake wa siku hizi mmejaza makamasi kichwani
Jenga nyumba yako mke ajinafasi! Kwa ushauri wa bure mke wako yuko sahihi kwasababu nguo za ndani za mwanamke zinatakiwa zikauke vizuri kiafya! La tatu inaonekana mkeo ana chupi chache za kauka nikuvae! Mnunulie chupi nyingi ili hata akianika ndani zisiwe za kusubiria! Mwisho lakini si kwa umuhimu "ongera kwa kumiliki mke" maana siku hizi lijali kama nyie wa kitafuta kwa tochi!Habari wana jamii....
Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.
Huwa namwambia siipendi iyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Najaribu kuelewa mkuu ndio maana nimeulizaElewa content mkuu ayo mengine achana nayo
Kwako mbinguni maana nyumba ya kawaida kuna houseboy na wengineo au wageni etc sasa huna aibu weweKila.mtu kwani mnaishi barabarani kila anaepita azione?
Nakuhakikishia mkeo kama anaanika chupi ndani basi mafangasi hatokaaga akapona.Wewe ni mpumbavu huna akili nguo za ndani za mwanamke sio za kukaa nje wanawake wa siku hizi mmejaza makamasi kichwani
Unaogopa wasije mtomba vijana au wasiwasi wako ni Nini? Then Maisha ya dar Ni Magumu vijana hawatombi Kama zamaniElewa content mkuu ayo mengine achana nayo
KIdimbwi style wa kupanda juu ya mezaNakuhakikishia mkeo kama anaanika chupi ndani basi mafangasi hatokaaga akapona.
Huwezi kuwa unavaa chupi za cotton ukazianika ndani never ndo yale machupi ya wake zenu yamefubaa kwa kuyaanika bafuni.
Wacha sisi wasafi tuzianike nje. Hata unitukane vipi nakuhakikishia kati ya top 10 wanawake wasafi duniani sikosi. Mimi ni msafo mpaka basi. Tukana tusi jingine.
Hapa nimecheka sana 😅 😅 😅kuanika michupi mikubwa
Mkuu wote tukijenga dunia haitatosha tuko billion 8 lkn kwenye wingi wa nguo sio shida coz hata akibadil moja anafua sasa ni yaleyale tu ataanika nje yaani kakariri ivo au anafanya jeuri tuJenga nyumba yako mke ajinafasi! Kwa ushauri wa bure mke wako yuko sahihi kwasababu nguo za ndani za mwanamke zinatakiwa zikauke vizuri kiafya! La tatu inaonekana mkeo ana chupi chache za kauka nikuvae! Mnunulie chupi nyingi ili hata akianika ndani zisiwe za kusubiria!
Sina aibu kwa sababu mimi ni msafi na ni msafi haswa, kila kitu changu ni kisafiiiiiii nguo zangu zote za ndani cotton nyeupeee ntazianikaje ndani zifubae? Akuuuu!Kwako mbinguni maana nyumba ya kawaida kuna houseboy na wengineo au wageni etc sasa huna aibu wewe
Wee janamke ni lipumbavu siku ukikua utajua kwa nini watu wazima nguo zao za ndani hawaaniki nje.Nakuhakikishia mkeo kama anaanika chupi ndani basi mafangasi hatokaaga akapona.
Huwezi kuwa unavaa chupi za cotton ukazianika ndani never ndo yale machupi ya wake zenu yamefubaa kwa kuyaanika bafuni.
Wacha sisi wasafi tuzianike nje. Hata unitukane vipi nakuhakikishia kati ya top 10 wanawake wasafi duniani sikosi. Mimi ni msafo mpaka basi. Tukana tusi jingine.
haya maisha mema na sheneji yetu mtarajiwa endelea kuringishia chupi zako nyeupeSina aibu kwa sababu mimi ni msafi na ni msafi haswa, kila kitu changu ni kisafiiiiiii nguo zangu zote za ndani cotton nyeupeee ntazianikaje ndani zifubae? Akuuuu!
Acha kabisa nimekumbuka mbaliHapo kuwa makini kumlinda mkeo dhidi ya hao wapangaji wenzako.
Maana kwenye vitu huamsha hisia za ngono kwa mwanaume ni pamoja na kuona chupi ya Mwanamke
Halafu unahisi watu wanavyojaribu kuvuta hisia kuwa hii ndio kumbatio la tumbua la mkeo??😂😂😂Habari wana jamii....
Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.
Huwa namwambia siipendi iyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Yaani wewe nahc ni ukoo mmoja na mke wangu yaani ni wabishi sana, ni wabishi hadi mnakera hope wewe sio muislam ila kwa sisi waislam mke wa aina yako na wakwangu hawafai kuwa wake yaani faragha ya mume waianika kila dume lijionee huo c ujaahili wenyewNakuhakikishia mkeo kama anaanika chupi ndani basi mafangasi hatokaaga akapona.
Huwezi kuwa unavaa chupi za cotton ukazianika ndani never ndo yale machupi ya wake zenu yamefubaa kwa kuyaanika bafuni.
Wacha sisi wasafi tuzianike nje. Hata unitukane vipi nakuhakikishia kati ya top 10 wanawake wasafi duniani sikosi. Mimi ni msafo mpaka basi. Tukana tusi jingine.
Jf ina mijibwa sana 😂😂😂Tatizo linaanzia hapa