Jidondofila
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 286
- 106
Yupo vizuri kwa kusaliti wenzake na kwakupeleka majungu.
Majungu gani na akili yk ya Chooni.ikulu.inashindwa na zzk katika kujua mambo ya nchi hii.mbona mnafikiri kwa kutumia Masaburi nyieMapimbi?
Yupo vizuri kwa kusaliti wenzake na kwakupeleka majungu.
Hii tuhuma angetupiwa bronzo mbowe ungeiona jinsi anavyobabaika nayo ZZK ameshamaliza
ccm ni chama cha kipuuzi kabisaChadema ni chama cha kipuuzi kabisa
Jamani unafungia vipi gazeti limesema ukweli, ehe! Halafu likifungiwa taarifa muhimu na za ukweli kama hizi tutazipata wapi? Source ya habari hiyo ni mfanyakazi wa ndani wa Ikulu kwa mujibu wa taarifa hiyo, sasa porojo ziko wapi hapo?!
Wenye matusi si chadema tu,wengi sana humu jf hutoa matusi na yote ni kwasababu ya ushabiki wa kijinga usiokuwa na faida yoyote.
Alikuwa anasubiri Mengi alianzishe
Sasa naanza kupata mwanga.
yeye alichukulia udaku,akawa yuko bize kujenga chama
team Wazalendo Zitto.
Kunawatu niwachonganishi mpaka mnatia kinyaa, hiv mnafaidi nini kwa kutunga mambo ya uongo?? Zitto zitto zitto, kwani hakuna newz nyingine?? Kama siasa cdm zimewashinda rudini moshi mkalime...
Ki ukwel mnakera sana, njon basi walao na fact kidogo.. mnawasiwasi kama mna k..u.n .y..anje??
Hamchoki ooo msaliti, ooo kahongwa oooo kafanya hivi...
Asee mnalipwa sh ngapi bavicha??
Mm c mwanachama wa chama chochote ninakareka sana hao wanaosema usaliti, cjui hongo
Na mzee alikuwa kwenye fungate huko U.s a