Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Karibu uungane na WAZALENDO KWENYE MKUTANO UNAOFANYIKA VIWANJA VYA FURAHISHA MJINI MWANZA LIVE KUPITIA RFA KUANZIA SAA 11

ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI
 
SOURCE ZITO FB PAGE
Katika gazeti la Taifa Imara la tarehe 23 Machi 2015 kulikuwa na habari yenye kichwa cha maneno ' Zitto amchongea Mengi kwa JK?' Habari hiyo ilibeba maudhui ya 'post' iliyoandikwa katika mtandao wa ----------- online.
Habari hiyo inaonyesha kuwa Mimi nilikutana na Rais kwa msaada wa watu mbalimbali na katika kikao hicho inadaiwa nilisema kuwa Mengi ndiye aliyechochea wabunge kuishughikia Serikali ya Rais Kikwete ili ianguke.

Ni vema ifahamike kuwa gazeti la Taifa Imara linamilikiwa na Bwana James Rugemalira wa kashfa ya Escrow na kuendeshwa na Bwana Prince Bagenda aliye organise press conference ya mmoja wa mawaziri waliofukuzwa kazi kwa kashfa hiyo. Vile vile chanzo cha habari hiyo ni mtandao wa ----------- online ambao unaendeshwa mmiliki wa Mawio gazeti ambalo kila wiki lina habari za kutunga dhidi yangu na chama cha ACT Wazalendo.
Habari hiyo ni ya kutunga yenye fitna zenye lengo la kuchonganisha watu. Naomba kufafanua ifuatavyo
1 Taarifa Maalumu ya Kamati ya PAC kuhusu ufisadi wa tshs 306 bilioni za Escrow hauhusiki na Bwana Reginald Mengi kwa namna yeyote ile. Mengi sio mbunge, sio mjumbe wa PAC na hakushawishi PAC kwa namna yeyote ile. Wezi wa Escrow wasitapetape kutafuta mchawi wakati mchawi ni wizi wao wenyewe. Porojo za kwamba Mengi alihonga wabunge ili kuishughulikia Serikali zinabaki porojo tu. Ila kama kuna mtu ana chembe ya ushahidi wa jambo hilo apeleke kwenye vyombo vya dola kwa hatua kuliko kurudia rudia porojo hizo kwenye vyombo vya habari.
2 Sihitaji kutumia watu ili kukutana na Rais Jakaya Kikwete kwani ninaweza kukutana naye kwa taratibu za kawaida kabisa za kiserikali. Hadithi ya kwamba nimeomba watu wanikutanishe na Rais inaonyesha namna mwandishi alivyoshindwa kutunga uongo wake. Katika kukutana kwangu na Rais kikazi sijawahi hata mara moja kuzungumzia watu. Hivyo kusema nilikwenda Ikulu kumzungumzia Bwana Mengi ni kunidharau na kuidhalilisha Taasisi ya Urais.
3 Nimemwelekeza mwanasheria wangu achukue hatua za kisheria dhidi ya Gazeti la Taifa Imara na vilevile Gazeti la Mawio kwa mfululizo wa habari za kutunga uongo dhidi yangu kila kukicha. Nimeagiza tupeleke mashtaka kwenda Baraza la Habari Tanzania ili magazeti hayo yathibitishe habari zao.
Zitto Kabwe
Kiongozi wa ACT Wazalendo
 
zito unatengeneza maadui wengi sna mbele ya safar utakuja kua na wakati mgum sana, asa ivi utaona sawa kwa sababu utawala uliopo upo nao jirani, lkn utakuja utawala hata chini ya ccm hii utapata shida sana.Na tatizo kubwa kwako ni kuendesha mambo yako mengi kutegemea misaada ya watu.
 
Nani asiyemjua mengi na ufisadi wa mali za umma na utumiaji wake wa vyombo vya habari ovyo.

Ameua viwanda vyetu makusudi ili vyake viimalike, mengi hana huruma kwa wanyonge hata kidogo.

Kwani mengi ana serikali au ndio anaendesha viwanda?
 
Wachaga wa chadema mbona mmepanic sana??

Mmeshamfukuza tayari na ameondoka kwa wema kabisa na kuwaachia chama chenu cha kichaga na kikristo.

Sasa hasira zenu za nin tena?
sku hizi cuf siyo ya waislam na magaidi tena?!! wao mmewabatiza kwa jina gani sku hiz?
 
Hapa Mengi na ZZK hawazunguziwi kwa dini zao kilaza wewe hebu nenda kwenye jukwaa la dini usiharibu mada
 
Gazeti la taifa imara limefanikiwa kupata promo....sikuwah kulifahamu kabla
 
I can see the A very bad end of ACT too much drama sooner or later everything shall be open to the public , mutamfahamu musiomfahamu. Anasemaga yeye hajawahi kushindwa na hatakuja shindwa popote mnaokubaliana na hili kaeni mkao wa kushangaa. Huyu ni zaidi ya Malema , atakapowekewa kigingi cha kisiasa hata katika uchaguzi mkuu ndipo siasa za Tanzania zitakapobadilika rasmi na kwakuwa kuna ka ujinga ka halaiki huyu jamaa ataibadilisha historia. Viongozi waliomzunguka wajiandae kwa mikiki mikiki . Saizi anakusanya nguvu na kuwa fool CCM kasha atatoa makucha. Hakujitoa sana alivokuwa CDM kwa sababu maalum ila sasa CCM na serekali mjiandae
 
I can see the A very bad end of ACT too much drama sooner or later everything shall be open to the public , mutamfahamu musiomfahamu. Anasemaga yeye hajawahi kushindwa na hatakuja shindwa popote mnaokubaliana na hili kaeni mkao wa kushangaa. Huyu ni zaidi ya Malema , atakapowekewa kigingi cha kisiasa hata katika uchaguzi mkuu ndipo siasa za Tanzania zitakapobadilika rasmi na kwakuwa kuna ka ujinga ka halaiki huyu jamaa ataibadilisha historia. Viongozi waliomzunguka wajiandae kwa mikiki mikiki . Saizi anakusanya nguvu na kuwa fool CCM kasha atatoa makucha. Hakujitoa sana alivokuwa CDM kwa sababu maalum ila sasa CCM na serekali mjiandae
Kama kuna mtu anakaa kukusikiliza na wewe ......."NAMHURUMIA SANA".Majungu,Umbeya,Fitna na Kuombeana DUA ZA K.IPUMB.AVU"Kutaku-Cost....[Take it or Leave It,Mind your Bussiness dude.....]
 
unavyopeleka jambo mahakamani ili upate haki yako nikumtisha yule unae mshitaki? vitu vingine muwewakweli.zito hajamtisha kubenea zito anataka kujua nia ya huyu kubenea kuendelea kuandika habari za uwongo kila siku zinazomhusu zito. mlitaka asimshitaki ili muamini kubenea anachoongea nikweli mtupu wakati ni uwongo

Tuombe Mungu aende mahakamani kweli kudai haki yake. Kwa kufanya hivyo, tutaujua ukweli. Na tutaendelea kumkumbusha hili la kwenda mahakamani kudai haki yake. Hakuna aliyetarajia (except maybe for few ------ who accept everything he says) kuwa Zitto angekubali kuwa alimchongea Mengi kwa Kikwete. Kwa hiyo, hilo tamko lake la kukanusha halina maana. Litakuwa na maana tu pale atakapofungua kesi mahakamani kudai haki yake.
 
Tuombe Mungu aende mahakamani kweli kudai haki yake. Kwa kufanya hivyo, tutaujua ukweli. Na tutaendelea kumkumbusha hili la kwenda mahakamani kudai haki yake. Hakuna aliyetarajia (except maybe for few ------ who accept everything he says) kuwa Zitto angekubali kuwa alimchongea Mengi kwa Kikwete. Kwa hiyo, hilo tamko lake la kukanusha halina maana. Litakuwa na maana tu pale atakapofungua kesi mahakamani kudai haki yake.

Mahakamani watamtoa kamasi asithubutu
 
Lema zaidi ya Arusha hamna anayemsikiliza labda wachaga wenzake. Hauwezi kumfananisha Zitto na Lema Zitto yupo kitaifa Lema yupo na maandamano ya Arusha.
ACT na CCM undugu umetoka wap? Kwa nini wapiga debe wa ccm mmekimbilis ACT?Au kwa sababu wenzenu wameunda nikawa na nyie mmeunda umoja wenu,kinachoshangaza wadini wote mko ACT,au kwa sababu inaongozwa na Zuberi?Kweli confused mind is a lost mind
 
SUALA ZIMA NI MBINU ZA ZZK kujiimalisha na kuifanya ile kazi iliyomtimua CHADEMA. sema hapa CHADEMA wametumia busara ya hali ya juu.
Ngoja niwatoe upofu kidogo; mchezo upo hivi.....
Kisa kilitolewa na mtego ulikuwa kwa CHADEMA wangesema lolote kuhusu Zito na Mengi basi ilikuwa imuongezee umaarufu zito na kuwadidimiza. Amechaguliwa Mengi kwa kuwa ni Mchagaa na habari itavuma sana. Zito ilikuwa ajitetee kuwa CHADEMA wanamzushia hayo waliosema na kuendelea kama walivyomfukuza. Sasa mpaka dakika hii chadema kimyaaa na zito inabaki kujikanushia tu akisononeka plan ya kuwanasa chadema imeshindikana. kilichobaki ni kujiweka kuwa anaonewa LAKINI NIA NI KUENDELEA KUPATA UMAARUFU KWA JINA LAKE KUBAKI KATIKA VYOMBO VYA HABARI NA WATU KUTEGA MASIKIO KUMSIKILIZA ILI KUPATA UKWELI. Yeye atatumia fsa hiyo kupata wanachama wengi kwa kuona anapakaziwa yamkini ni mtu mzuri. Kama ukawa mtamkubali huyu jamaa kuweni macho.
 
Leo hii mkosa akili wewe unawatetea wezi wa Escrow ili tu uonyeshe chuki yako dhidi ya Mzalendo Zitto!duh amakweli akili zako zilitupwa pamoja na ngozi ya mbele ya kikojoleo chako pind ulipotahiriwa.

Unapokosa hoja ukarusha matusi ya nguoni Unajidhalilisha. Kama watu wa aina yako ndiyo mnaomuona Zito ni mzalendo, kiongozi wa maana sishangai. Ndiyo walengwa wake nyie. Zito kama anao uwezo aje hapa kama pa kuanzia alafu twende kwenye open debate, TV na Redio, uongo wake tuuthibitishe. Zito ni mwanasiasa mchanga sana lkn alijiingiza kwenye ujasiriamali wa kisiasa, aneiharibu future yake kisiasa! In the next two months atakuwa anepiromoka kuliko hata mzee wa TLP, take it or don't. Watu wa maana watakuwa wamekwisha mdharau kabisaa, baada ya kumjua ni muongo na mpiga ma dili ya kuihujumu nchi na kibaraka.
 
Last edited by a moderator:
Ninazungumzia escrow [ ambalo kwa hilo umemwita fisadi] Kwa hili la tuhuma za tenda ya trillioni 54 kanuni na taratibu zake ni complex na haiwezekani in such a short time tenda hiyo ikawa imeshatoka. kwanza serikali haina pesa za kianzio. Cha kufahamu hapa ni kuwa bw zitto kwa sasa ni mwanasiasa ambaye anapenda kukipandisha chama chake kipya juu hivyo atatumia mbinu zozote zile ili aonekane moto na hata ukweli ukifahamika ameshalamba dume.
 
Teh teh teh Ndg yangu una kichwa kigumu bado hauja amini zito ni msaliti? pm no. yako ntakupa ushahidi.

Hivi bado anaendeleza usaliti? Urafiki wa sasa na Tundu Lissu na Mbowe ni wa kweli au unafiki
 
Back
Top Bottom