Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Wachaga wa chadema mbona mmepanic sana??

Mmeshamfukuza tayari na ameondoka kwa wema kabisa na kuwaachia chama chenu cha kichaga na kikristo.

Sasa hasira zenu za nin tena?

Kwa sababu Waha wa ACT ni waongo na wasaliti. Acha kukaririshwa. Zitto alianzisha chama chake cha Waha akiwa Chadema. Huu ni usaliti of the highest order. Nani ana hasira na msaliti? For what good reason?
 
Anajenga nchi kwani ilibomoka lini? Yuko bize kuua upinzani. Period.

Kama upinzani wenyewe unaokufa ni chadema tuh bora tuh na ufe.

Chadema siyo chama cha siasa

Siasa gani ndani yake kina udini ukanda na ukabila?
 
Hili sakata linazidi kuiweka chadema pabaya na kuwafumbua macho watanzania aina watu waliopo chadema
 
Kwa sababu Waha wa ACT ni waongo na wasaliti. Acha kukaririshwa. Zitto alianzisha chama chake cha Waha akiwa Chadema. Huu ni usaliti of the highest order. Nani ana hasira na msaliti? For what good reason?

Nyinyi wachaga wa chadema mapi.mbi tuh wabaguz.

Nan hawajui?

Hata chacha wangwe mlimuua kwa chuki zenu hizi hizi.
 
Zzk ni msaliti sikatai ila kwa hizi tuhuma nahisi ili gazeti wamemuonea!!
 
Nyinyi wachaga wa chadema mapi.mbi tuh wabaguz.

Nan hawajui?

Hata chacha wangwe mlimuua kwa chuki zenu hizi hizi.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kichwa kimejaa matope bila kuandika chadema hupati buku 7?
 
Huku ni kukanusha kwa kawaida kabisa kunakoweza kufanywa hata na mtoto wa Facebook na badoo, akanushe kwa nafasi yake kwa vigezo na ushahidi

Gazeti la kila wiki la Mawio nalo naona kalijumuisha, ni kweli gazeti hilo kwa wiki sita mfululizo limeendelea kutuletea habari za ZZK na ACT, ukiangalia zina mashiko na zinafunua mambo mengi yasiyojulikana na wengi,

Kusema tu kuwa gazeti hilo linaleta habari za uongo haitoshi, naamini kuna kitengo na habari na uenezi ndani ya ACT, hebu akae na huyo timu akusanye magazeti yote yaliyoandikwa anachookiita uongo dhidi yake na chama 'chake' na atumie njia ileile kukanusha na kueleza ukweli/uongo/fitina/majungu ya kila hoja hata kabla hajaonana na mwanasheria wake
 
hamna uwezo wakutatua tatizo hata moja la mtanzania acheni porojo.gazeti linalomilikiwa na said kubenea ndio limetoa habali hizo na kubenea ambae nimtu wakaribu na mbowe aka makengeza aka dj bilis

Gazeti ni la Kubenea na si Rugemarila tena? Kuwa karibu na mbowe kunahusianaje na Chadema?Nec ya Chadema au CC ya Chadema vinamtambua Kubenea?
Tulishaanza kutatua matatizo ya Watanzania siku nyingi, hatuanzi leo,so kwa sababu Akili yako imefunga na kuwa Kipofu,sikulaumu,kufanya hivyo ni kukuonea!
 
Back
Top Bottom