Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,424
- 406
Utamaduni wa kutopenda kukanusha habari mpaka ubanwe mbavu hasa ndio umetuharibu ndio maana unaona kawaida, Mengi ame-play part yake amekanusha, kurugenzi ya habari nayo ikanushe na Zitto nae akanushe alafu na gazeti nalo lije na sehemu ya pili tena baada ya jamaa kukanusha na mwisho wa siku wananchi tunapata kitu kamili na gazeti kama limetunga liandike ukurusa wa mbele kwa maandishi makubwa yaliyo bolidiwa (bold) kuomba msamaha
Asilimia kubwa ya michango ya humu ni pumba. Ila huu wako mkuu ni very constructive!