yasin Gahoile
Senior Member
- Apr 4, 2014
- 119
- 20
Hapa naona mtu aliyepeleka ule uongo akili yake hata kwenye maigizo kutunga script haifai
wakat zzk anapeleka ile ripot bungen rais alikuwa matibab marekani walkutana saa ngap
Hapa naona mtu aliyepeleka ule uongo akili yake hata kwenye maigizo kutunga script haifai
chadema watajiharishia mwaka huu
Sifa za kinafiki hizo
nani kamzidi Kubenea?
Kumbe una access rahisi ya magogoni ee?
Yupo vizuri kwa kusaliti wenzake na kwakupeleka majungu.
kwa Zitto kuingia magogoni Luthuli Street ni sawa na Yericko Nyerere kupanda mv Magogoni kwenda Kigamboni
Dr. Slaa (great seer) aliliona mapema na kumtenga, a benefit of doubt that has paid though njia aliyotumia ni Pay Back Period, next time atumie Net Present Value (NPV)
Mkuu Kapwela, unapwelepeta sana kwenye hoja! IPSOS si wapuuzi kumpa zawadi ya kwanza kuwa mwandishi wa habari za kipelelezi
kwako wewe ni kuku wa kizungu mwenye dumu la petrol kwa Ku.be.ne.a
Wachaga wa chadema mbona mmepanic sana??
Mmeshamfukuza tayari na ameondoka kwa wema kabisa na kuwaachia chama chenu cha kichaga na kikristo.
Sasa hasira zenu za nin tena?
Kwanini zito ajibu baada ya mengi kusema?taarifa hiyo ina wiki tatu,alikuwa wapi kuikanusha mpaka mengi azungumze?anaogopa nini?anamuogopa mengi au kitu gani hasa?je alikuwa anasikilizia upepo?
Na nyinyi wote humu jf,ni nani aliyetegemea zito atakubalu hizo shutuma?mnamshabikia na kumsifu kwakuwa ni waapuuzi msijua kitu,na huko kushtaki wala hatashitaki,gazeti kuandika jambo linalomuhusu hadi rais si bure wanauhakika na wanachokifanya.nani hamwogopi rais hata amhusishe na mambo ya kijinga?
Waende mahakaman wakaamuliwe huko na tujue nani ni nani,maana zito mara zote huwa anakana ila baadae anakuja thibitisha alichokana kwa vitendo kuwa ni kwel hakuwa anasingiziwa...
Kama kasingiziwa sheria si zipo aende mahakamani kinyume na hapo Zitto unalo.