Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Jamii forum pro ZZK kwa maana Uzi nyingine zinaunganishwa Ila ya ZZK zinakuwa separate
 
Kubenea ni mwanachama wenu mtiifu ana tumika kuchafua watu na chadema wana mkono kwenye hili.

Cdm ndio wapo ikulu?? Mbona haijakanusha? Wanaharakisha kukanusha hongo ya saa na Suti lakini hili la uhaini wamekuwa kimya kwa wk tatu!!?

Changanya na zako Mkuu!!
 
wew kama huoni uhusika wavchadema hapo unamapepo unahitaji kuhurumiwa na kuombewa
mkuu usinikashifu nisaidie kunionyesha chadema imehusika wapi hapo? Kinyume na hapo wewe ni mnafiki tu kama zitto
 
Wewe utakuwa hujui kusoma.Bavicha na mchekeshaji wa mfamle mmeumbuka.

Mkuu wewe unapendezea sana ukiwa mmu na celebrity forum, huku hukuwezi unaendeshwa na hisia, embu nionyeshe mahali aliposema kwamba baada ya uwasilishaj wa report hakwenda kumuona Jk
 
Baraza la habari sio jf uliyoiweka mfukoni tunapigwa ban kila dakika kisa Zitto..
 
amejibu kwa weledi mkuu!

hakuna kitu chochote alichojibu hapo zaidi ya utetezi wa kitoto. Kwanza alitakiwa ajibu tuhuma za mengi alizotoa kuwa ni kwanini watu wanaohusishwa na habari hii ikiwemo ikulu na yeye zitto hawajakanusha mpaka sasa?
 
wacha move iendeleee, nakweli akalishtaki hilo gazeti asipotezee kama yale mabilioni ya uswis, najua hata gazeti limejipanga... asitishie nyau! Ukweli utajulikana, lakini haipendezi sana katika maisha kuhusishwa husishwa sana katika mambo mabaya, kwani nini iwe ni wewe kila mara??

Mti wenye matunda ..
 
Dah yaani gazeti la Ruge wa Escrow limeandika hiyo stori tar 23 Machi halafu Zitto na watajwa wengine wakabaki kimya hadi Mengi alipo-react jana tar 17 Aprili ndio Zitto ameona achukue hatua sasa dhidi ya hilo gazeti?
ndo ujue kuwa zitto hakurupuki yupo kweny harakati za kuijenga nchi ivo tuhuma za kipuuzi haziwez kumpotezea mda zzk ni mtu anaejihamin na kujikubal ndo maana hakuogopa kukimbia kimbia kwa tuhuma za kipuuz
 
huyu kijana huwa anamajibu ya harakaharaka sana, ila ushhidi ukiwekwa anakaa kimya pimbi kweli

alikanusha kuanzisha chama akiwa cdm, aka kana kujibu tuhuma zote zilizotolewa na cdm (kina yeriko na ben), akasema atawashitaki, mpaka leo kimyaaaaa.

Watu wanamjua huyu, na kama anaubavu kweli aende mahakamani ndo atakapo jibeba na act yake
 
ndo ujue kuwa zitto hakurupuki yupo kweny harakati za kuijenga nchi ivo tuhuma za kipuuzi haziwez kumpotezea mda zzk ni mtu anaejihamin na kujikubal ndo maana hakuogopa kukimbia kimbia kwa tuhuma za kipuuz

Zitto ----- tu ..anadanganyana na waganga wake huko misikitini anadhani atakuja kuwa rais
 
Kunawatu niwachonganishi mpaka mnatia kinyaa, hiv mnafaidi nini kwa kutunga mambo ya uongo?? Zitto zitto zitto, kwani hakuna newz nyingine?? Kama siasa cdm zimewashinda rudini moshi mkalime...

Ki ukwel mnakera sana, njon basi walao na fact kidogo.. mnawasiwasi kama mna k..u.n .y..anje??

Hamchoki ooo msaliti, ooo kahongwa oooo kafanya hivi...
Asee mnalipwa sh ngapi bavicha??

Mm c mwanachama wa chama chochote ninakareka sana hao wanaosema usaliti, cjui hongo
 
Back
Top Bottom