Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Kwa nin serikali isilifungie hili gazeti mara moja

Jamani unafungia vipi gazeti limesema ukweli, ehe! Halafu likifungiwa taarifa muhimu na za ukweli kama hizi tutazipata wapi? Source ya habari hiyo ni mfanyakazi wa ndani wa Ikulu kwa mujibu wa taarifa hiyo, sasa porojo ziko wapi hapo?!
 
Dah kwl nchi itatawaliwa milele ikiwa wanojiita GT hawana muelekeo kwa mihemuko na chuki. Hivi nani asieujua km ruge ni papa na credibility yake imeshuhswa sana na kashfa ya escrow mpk kupelekea account zake zizuie holland thn hapa watu wanamuunga mkono kisa against zitto tu
 
Alivyo mpumbavu, na alivyo bingwa wa kukana maneno yake hatuwezi kushangaa hata kwa hili

Wachaga wa chadema mbona mmepanic sana??

Mmeshamfukuza tayari na ameondoka kwa wema kabisa na kuwaachia chama chenu cha kichaga na kikristo.

Sasa hasira zenu za nin tena?
 
Kunawatu niwachonganishi mpaka mnatia kinyaa, hiv mnafaidi nini kwa kutunga mambo ya uongo?? Zitto zitto zitto, kwani hakuna newz nyingine?? Kama siasa cdm zimewashinda rudini moshi mkalime...

Ki ukwel mnakera sana, njon basi walao na fact kidogo.. mnawasiwasi kama mna k..u.n .y..anje??

Hamchoki ooo msaliti, ooo kahongwa oooo kafanya hivi...
Asee mnalipwa sh ngapi bavicha??

Mm c mwanachama wa chama chochote ninakareka sana hao wanaosema usaliti, cjui hongo

Umeiona wapi Chadema kwenye hizi taarifa? Chadema ndo waliotoa hizo taarifa?Ugomvi wa Mengi,Ikulu na Zitto ni vita zile za sakata la Escrow,c Chadema,msitafite mchawi,mwacheni apambane na hao wanaomtafuta. Tuacheni Chadema tuna matatizo mengi ya kuwatatulia Watanzania.
 
Kama kasingiziwa sheria si zipo aende mahakamani kinyume na hapo Zitto unalo.

sheria ya habali inamtaka aende baraza la habali kwanza nandivyo zito kamwambia mwanasheria wake afanye hivyo
 
chadema watajiharishia mwaka huu

assadsyria;
Mbona tena mkuu umeha.rishaaa? Chadema imetajwa wapi hapa kwenye hii thread? ZZK hayupo tena chadema bali sasa yupo ACT. Au ulitaka kusema kuwa ACT wataharisha mwaka huu?
Jamani, msilale mnaota Chadema, bado haijayatwaa madaraka. Inangojea tu uchaguzi Oktoba, 2015. Hakuna Iktoba nyingine mwaka huu ni moja tu. Subiri, uone mwenyewe jinsi hicho chama unacho kichukia hivyo kikifanya kweli
 
ndo ujue kuwa zitto hakurupuki yupo kweny harakati za kuijenga nchi ivo tuhuma za kipuuzi haziwez kumpotezea mda zzk ni mtu anaejihamin na kujikubal ndo maana hakuogopa kukimbia kimbia kwa tuhuma za kipuuz

Anajenga nchi kwani ilibomoka lini? Yuko bize kuua upinzani. Period.
 
Umeiona wapi Chadema kwenye hizi taarifa? Chadema ndo waliotoa hizo taarifa?Ugomvi wa Mengi,Ikulu na Zitto ni vita zile za sakata la Escrow,c Chadema,msitafite mchawi,mwacheni apambane na hao wanaomtafuta. Tuacheni Chadema tuna matatizo mengi ya kuwatatulia Watanzania.

hamna uwezo wakutatua tatizo hata moja la mtanzania acheni porojo.gazeti linalomilikiwa na said kubenea ndio limetoa habali hizo na kubenea ambae nimtu wakaribu na mbowe aka makengeza aka dj bilis
 
Zitto ----- tu ..anadanganyana na waganga wake huko misikitini anadhani atakuja kuwa rais

Anadanganywa na waganga msikitin kivipi??

Hivi nyinyi wafuasi wa chadema na chama chenu udini huu na matusi dhidi ya uislam mnaondekeza utawasaidia nin??

Chaka hiko mmeashakiua nyinyi wenyewe.

Msitafute mchawi.

Ona mlivyo na chuki na uislam kwanza.

Kwaiyo waganga wa misikitin ndiyo wanaisaidia act siyo??

Tutaona Kura mtapigiwa na nan nyinyi chadema mwaka huu.
 
tatizo watu weng tunamchukulia zitto km zitto lkn zitto ni mtu wa pekee mwenye ngoz ngumu anaevumilia meng na mwaka huu anaenda kuvunja record kwa mtu aliyekaa kwenye vinywa vya watu kwa mda mrefu nakushaur zitto usichoke mungu yuko pamoja nawe
 
Back
Top Bottom