Kaseme kwa wembo basi akupe hela ya chipsi
kati ya wandishi wasio makini na ambao habari zao hazinatofauti na udaku ni zinazoandikwa na kubeenea, ndo maana hata mtandao wake umekosa wanachama na asipobadilika ataliua gazet la mawio. jaribun kuiga magazet makin km raia mwema
Zitto imarisha chama chako,never argue with fools. Kama kila jambo utataka kujibu utakuwa kichaa maana chadema wana baraza lao la vichaa Bavicha(Baraza la vichaa chadema) hawa vichaa kazi yao kubwa ni kukushambulia,kukutukana kukuzulia na kukukashifu,hungoja habari ya kipuuzi kama hiyo utawaona wanavyotapika. Endelea na pilka zako achana na hao vichaa vinginevyo utahesabika kuwa kichaa. Mengi ni mchaga na umewashika jamaa zake pabaya,nini unategemea? Wanataka kukuondoa kwenye njia kuu
Katika gazeti la Taifa Imara la tarehe 23 Machi 2015 kulikuwa na habari yenye kichwa cha maneno ' Zitto amchongea Mengi kwa JK?' Habari hiyo ilibeba maudhui ya 'post' iliyoandikwa katika mtandao wa ----------- online.
Habari hiyo inaonyesha kuwa Mimi nilikutana na Rais kwa msaada wa watu mbalimbali na katika kikao hicho inadaiwa nilisema kuwa Mengi ndiye aliyechochea wabunge kuishughikia Serikali ya Rais Kikwete ili ianguke.
Ni vema ifahamike kuwa gazeti la Taifa Imara linamilikiwa na Bwana James Rugemalira wa kashfa ya Escrow na kuendeshwa na Bwana Prince Bagenda aliye organise press conference ya mmoja wa mawaziri waliofukuzwa kazi kwa kashfa hiyo. Vile vile chanzo cha habari hiyo ni mtandao wa ----------- online ambao unaendeshwa mmiliki wa Mawio gazeti ambalo kila wiki lina habari za kutunga dhidi yangu na chama cha ACT Wazalendo.
Habari hiyo ni ya kutunga yenye fitna zenye lengo la kuchonganisha watu. Naomba kufafanua ifuatavyo
1 Taarifa Maalumu ya Kamati ya PAC kuhusu ufisadi wa tshs 306 bilioni za Escrow hauhusiki na Bwana Reginald Mengi kwa namna yeyote ile. Mengi sio mbunge, sio mjumbe wa PAC na hakushawishi PAC kwa namna yeyote ile. Wezi wa Escrow wasitapetape kutafuta mchawi wakati mchawi ni wizi wao wenyewe. Porojo za kwamba Mengi alihonga wabunge ili kuishughulikia Serikali zinabaki porojo tu. Ila kama kuna mtu ana chembe ya ushahidi wa jambo hilo apeleke kwenye vyombo vya dola kwa hatua kuliko kurudia rudia porojo hizo kwenye vyombo vya habari.
2 Sihitaji kutumia watu ili kukutana na Rais Jakaya Kikwete kwani ninaweza kukutana naye kwa taratibu za kawaida kabisa za kiserikali. Hadithi ya kwamba nimeomba watu wanikutanishe na Rais inaonyesha namna mwandishi alivyoshindwa kutunga uongo wake. Katika kukutana kwangu na Rais kikazi sijawahi hata mara moja kuzungumzia watu. Hivyo kusema nilikwenda Ikulu kumzungumzia Bwana Mengi ni kunidharau na kuidhalilisha Taasisi ya Urais.
3 Nimemwelekeza mwanasheria wangu achukue hatua za kisheria dhidi ya Gazeti la Taifa Imara na vilevile Gazeti la Mawio kwa mfululizo wa habari za kutunga uongo dhidi yangu kila kukicha. Nimeagiza tupeleke mashtaka kwenda Baraza la Habari Tanzania ili magazeti hayo yathibitishe habari zao.
Zitto Kabwe
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Zitto anaendesha siasa za hoja.Huna hoja kaa pembeni.Sio lazima kila kitu huchangie kama huna cha kuchangia
kwa Zitto kuingia magogoni Luthuli Street ni sawa na Yericko Nyerere kupanda mv Magogoni kwenda Kigamboni
Dr. Slaa (great seer) aliliona mapema na kumtenga, a benefit of doubt that has paid though njia aliyotumia ni Pay Back Period, next time atumie Net Present Value (NPV)
Bavicha na mchekeshaji wa mfalme mnazidi kuumbuka.
wacha move iendeleee, nakweli akalishtaki hilo gazeti asipotezee kama yale mabilioni ya uswis, najua hata gazeti limejipanga... asitishie nyau! Ukweli utajulikana, lakini haipendezi sana katika maisha kuhusishwa husishwa sana katika mambo mabaya, kwani nini iwe ni wewe kila mara??
Hata ukitukana siyo dawa.
Tutaendelea kusema ili muache huu udini na ukabila ndan ya hiko chama.
Una mawazo mgando kama akili yako
Usichekeshe watu mwandishi wa udaku bana angekuwa mwandishi wa kipelelezi angewafahamu waliomwagia tindi kali.Mkuu Kapwela, unapwelepeta sana kwenye hoja! IPSOS si wapuuzi kumpa zawadi ya kwanza kuwa mwandishi wa habari za kipelelezi
kwako wewe ni kuku wa kizungu mwenye dumu la petrol kwa Ku.be.ne.a
Akili zako hata za mfu zina afadhali.
Zitto upo tayari nilete ushahidi wa wewe kukutana na rais na kumwambia ya Mengi?
Unatambua kuwa kila anapokaa au kusimama rais pana Special surveillance camera?
hakuna kitu chochote alichojibu hapo zaidi ya utetezi wa kitoto. Kwanza alitakiwa ajibu tuhuma za mengi alizotoa kuwa ni kwanini watu wanaohusishwa na habari hii ikiwemo ikulu na yeye zitto hawajakanusha mpaka sasa?
Mji nga hajibiwi kwa maneno.hakuna kitu chochote alichojibu hapo zaidi ya utetezi wa kitoto. Kwanza alitakiwa ajibu tuhuma za mengi alizotoa kuwa ni kwanini watu wanaohusishwa na habari hii ikiwemo ikulu na yeye zitto hawajakanusha mpaka sasa?
Chadema ndo walitoa shtuma?