Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Kumbe una access rahisi ya magogoni ee?
Msitoke nje ya MADA.

Ni vema ifahamike kuwa gazeti la Taifa Imara linamilikiwa na Bwana James Rugemalira wa kashfa ya Escrow na kuendeshwa na Bwana Prince Bagenda aliye-organise press conference ya mmoja wa mawaziri waliofukuzwa kazi kwa kashfa hiyo.

Vile vile chanzo cha habari hiyo ni mtandao wa Mwana Halisi online ambao unaendeshwa mmiliki wa Mawio gazeti ambalo kila wiki lina habari za kutunga dhidi yangu na chama cha ACT Wazalendo.
 
Ok, let me skip CHAGGA, it wasn't my main issue...

=> Issue kubwa MENGI ALITAKA KUTUFANYA SIE MAKENGE NA MAPIMBI eti apewe vitalu vya gesi wakati hana UWEZO WOWOTE ULE currently....UZAWA SIO UWEZO kabisa,....Gas kwa hizi initial stages za kuzalisha...INAHITAJI TECHNOLOGY, WATAALAM, FEDHA nyingi sana na VIFAA mfano meli za kuchimba gas, kuna helicopters za kuwapeleka engineers ktk meli na kuwarudisha....MENGI kamwe ASINGEWEZA KWA SASA, ALITAKA APEWE VITALU KWA KIGEZO CHA UZAWA KISHA afanye UDALALI AKATAFUTE wawekezaji nje huko waje waanze kuchimba, TAIFA LISINGEPATA CHOCHOTE....jua Mengi ana vitalu vya madini kadhaa...yeye ni mtu wa 3 Tanzania kuwa na maeneo mengi ya madini, ila HAJAENDELEZA KWA MIAKA, HATA MAENEO MENGI HAJALIPIA TU KODI....madini yamemshinda kuchimba....sembuse gesi...Mengi is a big crook as well...!!! atataka kutuletea giza tu ktk gesi, yeye abaki atengeneze juice na soda, aachane na uzalishaji wa gesi hawezi, PIA PALE TPDC, kuna nafasi ya mtu yeyote mwenye uwezo wa kuwekeza ktk gas akikidhi TERMS and CONDITIONS, but MENGI hana hata hizo sifa...na anajua....so MENGI asubiri gas ikianza kuuzwa, ANUNUE SHARE ktk gas distribution na awe na share ktk uuzwaji wa gas kama ana pesa...BUT NOT PRODUCTION....he can't...!!!

#Zitto fikiria, for almost 2 solid years, ktk MAFUTA MAZITO YA IPTL....pamoja na akina Ngeleja, Mhando (Former Tanesco CEO), Mboma ( Former CDF & Tanesco board Chairman) na wengineo.. walikuwa wa
wakishirikiana na IPTL...kila mwezi Serikali inatoa Tshs 15 Bil....wanagawana...

IPTL inachukua chake, then hao akina Zitto, Ngeleja, Mhando, walikuwa wanavuta hela ndefu sana, for 2 solid years, Ngeleja alikuwa ndio anaongoza, anavuta 2 Bil + each month.....na wanachofanya kila mwisho wa mwezi WANACHEZA NA MAJI TU, WANA DIVERT KWENY E SOURCE.....UMEME UNAANZA MGAO KILA MWISHO WA MWEZI, wakisingizia IPTL generators were running out of FUEL....sasa serikali inawahi peleka hizo 15 bil.....THEN WANAWASHA GENERATOR MOJA TU....KISHA WANARUDISHA MAJI KIAINA....SO HATA HELA Z A MAFUTA mazito wanatumia kiduchu sana sana....sbb MGAO ULIKUWA WA KUTENGENEZWA ILI KU FORCE SERIKALI KILA MWEZI KUTOA HIZO FEDHA...!!!

So Prof Muhongo alidhibiti huu upuuzi....imagine Zitto kama kila mwezi anavuta 800 mil for 2 yrs....meaning 800,000,000 x 24 months....= Tshs 19.2 Billions ..roughly 20 bil...!!!!

So Prof. Muhongo aliwadhibiti wote hao....Zitto na Mengi waliungana kumtoa Prof. Muhongo...now wamerudiana kumalizana wenyewe kwa wenyewe...

I am happy, wamalizane, sbb WOTE MENGI NA ZITTO NI MAFISI NA MAFISADI...!!!!

Aiseeee sina hamu na ZZT,eti ndo mzalendo huyu?

Haya mnaomtetea huyu mzalendo mpoo?!
 
HAYA MKUU LAKINI SIKU ZOTE KATIKA MAISHA UKITAKA KUAMUA KESI YENYE PANDE MBILI SIKILIZA KILA UPANDE, SASA HAYA NI YA ZITTO BADO YA WALE WALIOTOA HIZO SHUTUMA JE KWELI NI WAJINGA KIASI HICHO TUNACHOTAKA KUAMINI KUWA WALIKURUPUKA?? NDIO MAANA MIMI NASEMA ZITTO ASITISHIE NYAU AKALALAMIKE KWA USHAHIDI KATIKA MAMLAKA HUSIKA ILI KWELI HILO GAZETI LIFUNGUWE KAMA KWELI WAMEKURUPUKA. KWA SASA NABAKIZA AKIBA YA MANENO, ZITTO MWENYEWE AMEKUWA AKIWAASA VIJANA KUTOKUFUATA NA KUTOKUMUANI MWANA SIASA YEYOTE..........[QUOTE=Kapwela;12492277]Hujui kwanin Zitto?kwa sababu ni tishio kwa watu wengi kisiasa na ana potential ya kufika mbali na ndio maana watu wengi wanamtafuta ili wamuue kisiasa, ilianzia toka ndani ya Chadema na haitakuwa mwisho.

Wahenga walisema "MTI MWENYE MATUNDA NDIO UNAOTUPIWA MAWE.[/QUOTE]
 
Katika gazeti la Taifa Imara la tarehe 23 Machi 2015 kulikuwa na habari yenye kichwa cha maneno ' Zitto amchongea Mengi kwa JK?' Habari hiyo ilibeba maudhui ya 'post' iliyoandikwa katika mtandao wa ----------- online.

Habari hiyo inaonyesha kuwa Mimi nilikutana na Rais kwa msaada wa watu mbalimbali na katika kikao hicho inadaiwa nilisema kuwa Mengi ndiye aliyechochea wabunge kuishughikia Serikali ya Rais Kikwete ili ianguke.

Ni vema ifahamike kuwa gazeti la Taifa Imara linamilikiwa na Bwana James Rugemalira wa kashfa ya Escrow na kuendeshwa na Bwana Prince Bagenda aliye organise press conference ya mmoja wa mawaziri waliofukuzwa kazi kwa kashfa hiyo. Vile vile chanzo cha habari hiyo ni mtandao wa ----------- online ambao unaendeshwa mmiliki wa Mawio gazeti ambalo kila wiki lina habari za kutunga dhidi yangu na chama cha ACT Wazalendo.

Habari hiyo ni ya kutunga yenye fitna zenye lengo la kuchonganisha watu. Naomba kufafanua ifuatavyo
1 Taarifa Maalumu ya Kamati ya PAC kuhusu ufisadi wa tshs 306 bilioni za Escrow hauhusiki na Bwana Reginald Mengi kwa namna yeyote ile.

Mengi sio mbunge, sio mjumbe wa PAC na hakushawishi PAC kwa namna yeyote ile. Wezi wa Escrow wasitapetape kutafuta mchawi wakati mchawi ni wizi wao wenyewe.

Porojo za kwamba Mengi alihonga wabunge ili kuishughulikia Serikali zinabaki porojo tu. Ila kama kuna mtu ana chembe ya ushahidi wa jambo hilo apeleke kwenye vyombo vya dola kwa hatua kuliko kurudia rudia porojo hizo kwenye vyombo vya habari.

2 Sihitaji kutumia watu ili kukutana na Rais Jakaya Kikwete kwani ninaweza kukutana naye kwa taratibu za kawaida kabisa za kiserikali. Hadithi ya kwamba nimeomba watu wanikutanishe na Rais inaonyesha namna mwandishi alivyoshindwa kutunga uongo wake. Katika kukutana kwangu na Rais kikazi sijawahi hata mara moja kuzungumzia watu. Hivyo kusema nilikwenda Ikulu kumzungumzia Bwana Mengi ni kunidharau na kuidhalilisha Taasisi ya Urais.

3 Nimemwelekeza mwanasheria wangu achukue hatua za kisheria dhidi ya Gazeti la Taifa Imara na vilevile Gazeti la Mawio kwa mfululizo wa habari za kutunga uongo dhidi yangu kila kukicha. Nimeagiza tupeleke mashtaka kwenda Baraza la Habari Tanzania ili magazeti hayo yathibitishe habari zao.
Zitto Kabwe

Kiongozi wa ACT Wazalendo

 
Mkuu Kapwela, unapwelepeta sana kwenye hoja! IPSOS si wapuuzi kumpa zawadi ya kwanza kuwa mwandishi wa habari za kipelelezi

kwako wewe ni kuku wa kizungu mwenye dumu la petrol kwa Ku.be.ne.a

kama kuna watu walimpa zawadi Kubenea basi hawajui ata misingi ya uandishi ni nin, wafuatilie waliompa utagundua hawana sifa hizo.

Kama humjui Kubenea kaa kimya tu, Kubenea ni mjanja mjanja tu anayetunga chochote apate chakula.Chochote utakachosoma kwa Kubenea usikichukue kilivyo.Ni hadithi za kutunga ndio zimejaa kwa Kubenea.

Kama ulikuwa unasikia kuna waandishi makanjanja, mmoja wao Kubenea.
 
Last edited by a moderator:
ngoja tuone mwisho wa hii muvi, ila kwanini zitto alitulia siku zoote hizoo bila kusema kitu, maana humu jf huwa anakuja fasta kukanushaga mambo, ukimya huu nao ni shidaaa... Muda utaamua....
mawio mliki wake unamjuwa wewe? Saidi kubenea unamjua wewe? Mbowe unamjuwa wewe? Cdm unaijua wewe? Acha waendelee na fitina zao za kitoto
 
Kwanini zito ajibu baada ya mengi kusema?taarifa hiyo ina wiki tatu,alikuwa wapi kuikanusha mpaka mengi azungumze?anaogopa nini?anamuogopa mengi au kitu gani hasa?je alikuwa anasikilizia upepo?
Na nyinyi wote humu jf,ni nani aliyetegemea zito atakubalu hizo shutuma?mnamshabikia na kumsifu kwakuwa ni waapuuzi msijua kitu,na huko kushtaki wala hatashitaki,gazeti kuandika jambo linalomuhusu hadi rais si bure wanauhakika na wanachokifanya.nani hamwogopi rais hata amhusishe na mambo ya kijinga?
 
HAYA MKUU LAKINI SIKU ZOTE KATIKA MAISHA UKITAKA KUAMUA KESI YENYE PANDE MBILI SIKILIZA KILA UPANDE, SASA HAYA NI YA ZITTO BADO YA WALE WALIOTOA HIZO SHUTUMA JE KWELI NI WAJINGA KIASI HICHO TUNACHOTAKA KUAMINI KUWA WALIKURUPUKA?? NDIO MAANA MIMI NASEMA ZITTO ASITISHIE NYAU AKALALAMIKE KWA USHAHIDI KATIKA MAMLAKA HUSIKA ILI KWELI HILO GAZETI LIFUNGUWE KAMA KWELI WAMEKURUPUKA. KWA SASA NABAKIZA AKIBA YA MANENO, ZITTO MWENYEWE AMEKUWA AKIWAASA VIJANA KUTOKUFUATA NA KUTOKUMUANI MWANA SIASA YEYOTE..........[QUOTE=Kapwela;12492277]Hujui kwanin Zitto?kwa sababu ni tishio kwa watu wengi kisiasa na ana potential ya kufika mbali na ndio maana watu wengi wanamtafuta ili wamuue kisiasa, ilianzia toka ndani ya Chadema na haitakuwa mwisho.

Wahenga walisema "MTI MWENYE MATUNDA NDIO UNAOTUPIWA MAWE.
[/QUOTE]

Kuhusu Zitto na Kubenea mbona sio jambo la siri?Kubenea alianza kampeni dhidi ya Zitto toka mwaka 2009 Zitto alipogombea Uenyekiti wa Chadema.

Wakati ule Kubenea alikuwa gazeti la Mwana Halisi, akiwa na Mmiliki mwenzake Antony Komu ambaye ni Mkurugenzi wa Utawala na Fedha Chadema.

Komu alijua Zitto akiwa Mwenyekiti nae ulaji wake Chadema unakwisha, hivyo kupitia kwa Kubenea ndio mashambulizi yao kwa Zitto yalipoanzia.

Kwa msiojua mtatafsiri saaana ila ungekuwa na taarifa vizuri ungejua ni POLITICS TU zinazotembea. Toka wakati ule mpaka sasa.
 
Zito kaamua kufata sheria sio mahakamani
Sheria ya habari inasema kama mhariri au mwandishi kakushambulia na ukaona amekumiza nafasi yako basi pele shahuri lako kwenye baraza la habari na ikitokea na kugundulika ni uongo watachapisha habri ya kukanusha kwenye gazeti hilohilo kurasa la mbele
Asante sana zitto kwa kufata sheria
 
Hilo gazeti limefunguliwa kwa mission maalumu....lina sh milioni 1 kwenye acc..hata wakishindwa mahakamani wata declare bancruptcy na kufungasha virago..hakuna kufilisiwa hao
 
Katika gazeti la Taifa Imara la tarehe 23 Machi 2015 kulikuwa na habari yenye kichwa cha maneno ' Zitto amchongea Mengi kwa JK?' Habari hiyo ilibeba maudhui ya 'post' iliyoandikwa katika mtandao wa ----------- online.
Habari hiyo inaonyesha kuwa Mimi nilikutana na Rais kwa msaada wa watu mbalimbali na katika kikao hicho inadaiwa nilisema kuwa Mengi ndiye aliyechochea wabunge kuishughikia Serikali ya Rais Kikwete ili ianguke.

Ni vema ifahamike kuwa gazeti la Taifa Imara linamilikiwa na Bwana James Rugemalira wa kashfa ya Escrow na kuendeshwa na Bwana Prince Bagenda aliye organise press conference ya mmoja wa mawaziri waliofukuzwa kazi kwa kashfa hiyo. Vile vile chanzo cha habari hiyo ni mtandao wa ----------- online ambao unaendeshwa mmiliki wa Mawio gazeti ambalo kila wiki lina habari za kutunga dhidi yangu na chama cha ACT Wazalendo.

Habari hiyo ni ya kutunga yenye fitna zenye lengo la kuchonganisha watu. Naomba kufafanua ifuatavyo

1 Taarifa Maalumu ya Kamati ya PAC kuhusu ufisadi wa tshs 306 bilioni za Escrow hauhusiki na Bwana Reginald Mengi kwa namna yeyote ile. Mengi sio mbunge, sio mjumbe wa PAC na hakushawishi PAC kwa namna yeyote ile. Wezi wa Escrow wasitapetape kutafuta mchawi wakati mchawi ni wizi wao wenyewe. Porojo za kwamba Mengi alihonga wabunge ili kuishughulikia Serikali zinabaki porojo tu. Ila kama kuna mtu ana chembe ya ushahidi wa jambo hilo apeleke kwenye vyombo vya dola kwa hatua kuliko kurudia rudia porojo hizo kwenye vyombo vya habari.

2 Sihitaji kutumia watu ili kukutana na Rais Jakaya Kikwete kwani ninaweza kukutana naye kwa taratibu za kawaida kabisa za kiserikali. Hadithi ya kwamba nimeomba watu wanikutanishe na Rais inaonyesha namna mwandishi alivyoshindwa kutunga uongo wake. Katika kukutana kwangu na Rais kikazi sijawahi hata mara moja kuzungumzia watu. Hivyo kusema nilikwenda Ikulu kumzungumzia Bwana Mengi ni kunidharau na kuidhalilisha Taasisi ya Urais.

3 Nimemwelekeza mwanasheria wangu achukue hatua za kisheria dhidi ya Gazeti la Taifa Imara na vilevile Gazeti la Mawio kwa mfululizo wa habari za kutunga uongo dhidi yangu kila kukicha. Nimeagiza tupeleke mashtaka kwenda Baraza la Habari Tanzania ili magazeti hayo yathibitishe habari zao.

Zitto Kabwe
Kiongozi wa ACT Wazalendo


Zitto Hana jipya. He is political deadly moving body!!
 
Last edited by a moderator:
Tutajua tu ukweli,mwl kaijage nikuulize swali,hivi ni mtu gani asiyemwogopa rais wa nchi tena amiri jeshi mkuu hata amhusishe kwenye kashfa waziwazi?zito asijeumbuka!shauri yenu na ushabiki wa kipuuzi.
 
Back
Top Bottom