Suzane Mungy Mwana Mtandao?

Status
Not open for further replies.
Wana JF kuna mtu anaweza kuleta data za huyu Suzan mungy kuhusu elimu yake? labda ana fiti nafasi hiyo
 
Mtu,
Kanuni za ajira ya umma bongo hazijali kigezo cha elimu bali nani unamjua,au to put it in its right perspective "it's who you know and not what you know...."

Huyo Suzan na mumewe walikuwa wanashindana walipokuwa pamoja London.Mume alikuwa moto-bati mke nae alikuwa hashikiki.In fact ndoa yao ilikuwa ni ya kinadharia zaidi kuliko vitendo.Wote viwembe.Vikao vya upatanishi vilikuwa vikifanyika mara kwa mara when they were together in London,sasa huko Bongo nadhani ndio wanaenda kuzika ndoa yao.Why?Hapa wambeya walikuwa wachache kuvujisha nyeti lakini si unajua tena Bongo....
 
Kazi za kuteuliwa zinategemea utashi wa mteuaji. Ndiyo maana ninataka katiba ambayo itaondoa mamlaka ya uteuaji kwa nafasi nyingi hapa nchini. Sasa hivi Rais amepewa nafasi nyingi zana za kuteua na ni haki yake kumpa ulaji huyu bibie kama anaona anafaa. Ninalojiuliza, je huyu Suzan Mungy ndiye yule aliwahi kujadiliwa na watu huko nyuma kama Suzan Mushy wa Reading au huyu ni mtu tofauti.
 
Ninalojiuliza, je huyu Suzan Mungy ndiye yule aliwahi kujadiliwa na watu huko nyuma kama Suzan Mushy wa Reading au huyu ni mtu tofauti.

Watu wawili tofauti, yule wa Reading ni Suzane Shayo Mzee na huyu ni suzane Mungi alikuwa idhaa ya kiswahili -British Broadcast Corporation-B.B.C
naona si vibaya wanawake kupewa fursa kama hizi.

.....................
 
Mtu,
Kanuni za ajira ya umma bongo hazijali kigezo cha elimu bali nani unamjua,au to put it in its right perspective "it's who you know and not what you know...."

Huyo Suzan na mumewe walikuwa wanashindana walipokuwa pamoja London.Mume alikuwa moto-bati mke nae alikuwa hashikiki.In fact ndoa yao ilikuwa ni ya kinadharia zaidi kuliko vitendo.Wote viwembe.Vikao vya upatanishi vilikuwa vikifanyika mara kwa mara when they were together in London,sasa huko Bongo nadhani ndio wanaenda kuzika ndoa yao.Why?Hapa wambeya walikuwa wachache kuvujisha nyeti lakini si unajua tena Bongo....
Dah,Technical know who ndio ipo Bongo!
 
Si utani ndugu yangu.Yaani inaelekea Suzan alishaahidiwa madaraka kabla hajatua Bongo.Just like mumewe,nobody knows namna alivyopata huo ulaji serikalini lkn mshkaji mmoja alinambia kuwa japo post hiyo alochukua Innocent ilitangazwa kwenye magazeti lkn tayari jamaa alishakuwa na hakika ya ajira.
 
Mh! Kwa hiyo huyu Suzan Mungy naye ndiye anayetazamiwa kuchukua nafasi ya Amina Chifupa, ama? LOL
 
Si utani ndugu yangu.Yaani inaelekea Suzan alishaahidiwa madaraka kabla hajatua Bongo.Just like mumewe,nobody knows namna alivyopata huo ulaji serikalini lkn mshkaji mmoja alinambia kuwa japo post hiyo alochukua Innocent ilitangazwa kwenye magazeti lkn tayari jamaa alishakuwa na hakika ya ajira.

Swali ya Suzane nayo ilitangazwa? vipi aliacha kazi B.B.C ghafla? kabla ya kupata kazi hii.au Tido alishampa uhakika.
 
Acheni kuleta udaku, leteni elimu yake na kama kazi haikutangazwa....

Mkuu kuhoji mtu kupewa madaraka makubwa kienyeji imekuwa udaku?

Tido alimchukua huyu dada toka kwa Mengi ITV, na kumpeleka B.B.C London huko alikuwa ni mtu wa kawaida tu. sasa amemchukua tena na kumpa madaraka kama hayo?.

mkuu wewe unahoji sana uhalali wa malecturers wa Mzumbe University kupewa kazi bila kufuata utaratibu na ukamuandama hadi VC wao Warioba kuwa hana elimu ana phd feki, na unashangaa serikali imelala, kuna petition ya kumtaka Msolla ajiuzulu, hakuna mtu aliyesema ni udaku.

na hao wa Mzumbe wana elimu na walifuata taratibu kama udaku umeuanza wewe mkuu Fd.

Naomba pitia mada ya elimu kuna mtu leo katuma post anataka ufafanue Pwu na digrii zake.

Back to subject kuwa Mtandao ndio kuna pelekea mtu apewe kazi hata kama hana uzoefu? basi Mtandao huo huo kuna Nchimbi, kamala na wenzake ambao mnasema wana phd bomu.
 
Dada Suzane yuko fit.

weka mavitu basi; kusema tu yupo fit haitoshi. Kumbukumbu zinaonesha aliondoka TZ akiwa na form 4 choka ile mbaya. sasa kama alipokuwa UK madarasa yakapanda si watu muweka mavitu hapa. Kwa cheo alichopewa huyu ameshakuwa public figure, kwa hiyo mambo yake ndiyo hivyo tena inabidi yawe hadharani.

One thing, nimewahi kumuona mara moja huyu dada enzi hizo akiwa ITV pale Mikocheni-nilichoka kabisa-sitashangaa kama yale yanayosemwa ni ya kweli!
 
Fikira Duni,

Nakuunga nawe kwa kuwaambia JF acheni udaku credibility yenu inashuka, nakumbuka jamaa mmoja aliumbuka pale Nkurumah mwishoni mwa miaka ya 90, alipotoa swali la udaku ...kwa Mhe. Mkapa namuombea maisha mema ya kustaafu... Mhe. Mkapa alijibu swali lake kirahisi sana "No investigation No right to speak", swali hilo na majibu yake lilitangazwa na RTD almost kwa wiki nzima hivi...

Toeni data sio kuonyesha kukomaa kwenu...
 
Mimi nawashangaa wana JF kama leo mnajadili uzushi usio na uhakika wowote. Nimezifuatilia hizi habari kwa undani nimegundua hazina ukweli (mzee wa data)

Ukweli ni kuwa Suzanne amejiuzulu BBC ili kuungana na familia yake Dar es Salaam, hajapewa kazi yoyote na hajaomba kazi yoyote. Hiyo kazi ya udirector mnayodai kapewa SI KWELI na wala HAIJATANGAZWA, acheni kuwapaka watu matope bure.

Wewe Mtalii ndio MNAFIKI namba moja, una chuki zako binafsi kutaka kuwagombanisha watu na familia zao. Na wewe SPOILA huna maana unadakia udaku usio na maana.

Natoa challenge kwako Mtalii, lete source ya habari yako na mimi niko tayari kukupa donge nono kama itathibitika vinginevyo.

Huyu Dada ni miongoni mwa watangazaji wa mwanzo wa Luninga Bongo, ni mahiri ktk kazi yake, kama una beef nae usizilete hapa kwenye JF. Mmemsakama Amina na ndoa yake yaliyotokea kila mtu anayajua, sasa hata arobaini bado mnaanzisha kwa huyu dada sasa kwa hiyo mnataka kuivunja ndoa yake nae pia?
 
Wenyeji

Mimi ni mgeni hapa. Lakini nimeanza kuwa disapponted na JF. Mbona people are getting too personal? Kama SM analiwa na EL so what? Si ale tu kwani kuna ubaya gani?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom