Suzane Mungy Mwana Mtandao?

Status
Not open for further replies.

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2006
Messages
2,124
Points
1,500

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2006
2,124 1,500
Mnoko

Unavyoongea kwa kujiamini utadhani una idea ya recruitment process ya BBC. Tafuta documents zitazokupa uhakiki wa unachokiongea then utagundua kuwa hoja zako ni za kidini kuliko huyo unayemzungumzia.

Hivi TUT si iko chini ya serikali? Kiongozi Mkuu wa Serikali si Rais, Na Rais si Muislam mwenzenu, na Waziri ambaye TUT iko chini yake si Muislamu pia. Mnataka kutuaminisha kuwa nyie ndio wenye macho ya darubini kuona huo ugalatia lakini Waislamu wenzenu WENYE MAMLAKA (ie JK,Mohd Seif Khatib) hawayaoni hayo.

Na unapolalamika kuwa Mkurugenzi wa nanihino mkristo, mkurugenzi wa nani hino nyingine mkristo, mbona hujiulizi kama ni Rais naye ni Mkristo au la, kwani huyo ndio nambari wani kwenye kuifikisha nchi inakotaka kwenda na wala sio TUT.
 

Mgagagigikoko

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2007
Messages
474
Points
0

Mgagagigikoko

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2007
474 0
Malalahoi

Sawa mimi sijui recrutiment proscess ya BBC. Wewe unaeijua can you tell members wa JF imekuwaje Tido muda wote aliokaa BBC kaajiri Wakristo watupu as permanent staff? Imekuwaje Tido huyo huyo alipoingia TUT kaajiri wakurugenzi wakristo watupu? Is this a coincidence?

Kuna wanao alledge kuwa natumia lugha chafu!! Lugha chafu leo? kwa sababu tu Tido kaanikwa hadharani ndiyo lugha chafu? Wangapi wameandika humuhumu kwenye JF kumkashifu JK hamkusema wantumia lugha chafu wala hamkusema suala la recruitmnet process. Lets be honest to ourselves. Nchi yetu sote. Kama Tido analeta udini TUT lazima aambiwe. Tutakuwa tunamsaidia yeye na pamoja na nchi.

Naenda kibaruani. Si unajua tena? Naogopa nisiwe kama wale wa Ukraine.

Ntakuwa off kwa siku mbili tatu. Next week nina group presentation na wenzagu. Unajua tena waalimu wa huku sio kama wale wa bongo. Lame excuses hazikubaliki
 

Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2006
Messages
1,329
Points
0

Chuma

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2006
1,329 0
JK si mdini, yeye huwa akichagua, dini na kabila si priorities zake. Sie wengine tunaochaguliwa ndio tunaoangalia who is who? Kimsingi tuangalie Je taratibu zimefuatwa? Ndio maana mjadala ulipoanza ulianza Kuhoji Je SM amepata hio POST? Mswahili kasema bado?

Hoja za Udini Ziwekwe lkn Faili lake Kule TRA/BOT/Taasis za serikali iji tujie Flow zikoje, sie wengine tupo ktk UTAFITI juu ya haya mambo mwisho tutajua namna ya kusaidiana kuongoza serikali. Najua wapo wenye fikra ambao wanaona waislam haifai kufanya nao kazi na wapo wanaona wakristo hawafai kufanya nao Hao hawaangali Ukabila wa MTU as long dini moja ok.

Pia wapo wale wanaoangalia Kabila awe dini yoyote as long as wote wanaongea Lugha Moja BASI. Kuna Mzee mmoja Mzumbe alikuwa anatoka USAMBAANI..basi yeye hakuchagua DINI aliwajaza wasambaa wether MK au MU..so far HIZI SUMU ZOTE HAZIFAI na yafaa kila mmoja wetu ajirekebishe..

Je, SM amepataje Ukubwa? Je kuacha kazi UK/BBC kwenye ULAJI na oppurtunities arudi TZ tu kupumzika? na JUA KALI lile? lazim tujieulize..kunani?
 

Mnoko

Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
11
Points
20

Mnoko

Member
Joined Jul 4, 2007
11 20
Chuma

Swali lako ni ni very pertinent. Kabla sija comment ningependa kujua hivi Tido amestaafu kwa umri au ameacha kazi BBC? Kama hakustaafu kwa umri basi swali lako linaumiza kichwa.

Wenye data nyie mnaoishi UK tusaidieni.
 

Mwanagenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2006
Messages
691
Points
1,250

Mwanagenzi

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2006
691 1,250
Naamini watu kama Tido na Suzan wanaheshimika na wasikilizaji/wafuatiliaji wengi wa vyombo vya habari. Kwamba Tido (na hata huyo Suzan kama itakuwa hivyo) ameamua kurudi nyumbani kufanya kazi kwa ajili ya taifa ni suala la kujivunia. Hakika inatakiwa tufike mahali "brain-drain" iwe "arrested and reversed".
 

Kakalende

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Messages
3,256
Points
1,225

Kakalende

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2006
3,256 1,225
Suzy mwenyewe mbona bado yuko London hiyo kazi amepewa lini? leo alihudhuria mazishi ya Kari Blackburn (ex-BBC World Service Africa editor)
 

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Points
0

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 0
Suzy mwenyewe mbona bado yuko London hiyo kazi amepewa lini? leo alihudhuria mazishi ya Kari Blackburn (ex-BBC World Service Africa editor)
HIVI KARI BLACK BURN KAFARIKI LINI? DUH AMAKWELI MAISHA YETU NI MAFUPI MNO, LAKINI MUMEWE (hivi ni Mganda yule au Mghana?) atakuwa keshakula kitabu chekundu duh!
 

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,511
Points
1,500

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,511 1,500
Kakalende,
Sikujua Kari Blackburn amefariki. (RIP) She was a good friend ingawa sote tulitumikia vyombo tofauti.
 

Stone Town

Senior Member
Joined
May 28, 2007
Messages
108
Points
195

Stone Town

Senior Member
Joined May 28, 2007
108 195
Hi every body.

Habari za Tido kustaafu zilikuwa zimevuma sana kabla ya kumaliza muda wake kwamba atakuja Tanzania kupewa kazi nzuri na baada ya kuwasili Tanzania na kukaa siku mbili tatu hivi alipatiwa kazi TUT si muda mrefu tukasikia kwamba Bibi Susan naye atakuja maana huenda akapatiwa kazi ya maana katika serikali ya JK.

muda mfupi naye tukasikia amewacha kazi na amekuja nyumbani na hayo alithibitisha siku ya sherehe za miaka 50 pale Kilimanjaro Hotel wakati Solomon Mugera alipokuwa akiwatambulisha watangazaji wa BBC wote walikwenda mbele na baadae mwisho ndio akamtambulisha Bibie Susan Mungi na Mumewe wakasimama na akasema kuwa Susan tulikuwa naye lakini ameamua kuacha kazi na kurudi nyumbani kwa vile analipenda sana taifa lake amekuja kuungana na wenzake katika kujenga taifa lao.

Mimi binafsi nilikuwa pale na nilimuangalia sana Bibie Susan na nikasema ni jambo zuri sana ikiwa kweli ameona kuna umuhimu wa kufanya hivyo lakini nilikuwa najua kwamba kuna some thing behind iliyomfanya arudi home kw akisingizio cha kujenga taifa any way tunamtakia mema katika hilo.

about Salva sina cha kusema juu ya ukereketwa wake alifika pahala mpaka akawa anakiuka Ethics za uandishi ili malengo yake yatimie na jamaa alikuwa na hope kubwa sana ya kupewa Ubalozi Uingereza kwa sababu wife wake hupo huko.

Lakini Jk baada ya kumaliza kazi alimpa ahsante yake na alijua hana usaidizi zaidi ya hapo na pia akina Muhingo nao wamo katika kundi hilo la kufanya kazi kwa ajili ya kusaidia wana mtandao.

Muhingo aliandika makala ya kumchafulia jina Dk Salim Ahmed Salim na kujenga hoja kadhaa wa kadhaa na kudai kwamba Dk Salim ni miongoni mwa watu wanaodaiwa kushiriki mauaji ya Rais wa kwanza wa zanzibar Abeid Amani Karume. na taarifa hiyo iliyowaponza.

Naomba kuwasilisha wazee


maasalam

stonetowner
 

Bwana Mdogo

Member
Joined
Jul 11, 2007
Messages
46
Points
0

Bwana Mdogo

Member
Joined Jul 11, 2007
46 0
Hii thread ya Suzan mimi sijaielewa, inaelekea aliye ianzisha kashaingia mitini kwa kutokuwa na data.Sasa kinachoendelea hapa ni vurugu tupu,mara suti mara uloda mara wagalatia.Mi nashauri kama hamna jipya linalohusiana na thread kwa maana ya uthibitisho wa Suzan kupewa kazi inayodaiwa kapewa, na kama kweli amepewa, ushahidi wa kuwa sifa alizonazo haziendani na kazi hiyo,basi tufunge mada. Au mnasemaje wakubwa
 
Joined
Aug 2, 2007
Messages
87
Points
70
Joined Aug 2, 2007
87 70
Spoila.

Lowassa kala sana huyu Suzane na bahati mbaya mumewe Innocent ameambiwa El ni binamu yao sasa kila sehemu akienda Innocent mungy atamba kuwa Lowassa ni binamu yetu, kumbe jamaa ana mlia vyake.
Tido Mhando nae anajua anaiba yeye tu. kumbe ngoma ya wengi.

Kitila

Salva ana vyeo sehemu kama mbili mjumbe wa bodi na pia taasisi ya utangazaji ni bodi memba. hilo la kujikomba liko wazi sana lakini hutumia fursa ya mtandao kuwaibia watu mitaani. hafai.
back 2 issue suzane ni very junior. mumewe kapewa kazi na LOWASSA ofisini kwake. ndio raha ya kuwa na mke asiyejua kusema NO!
duh!yangu macho!!kumbe mke akiwa hajui kusema NO! inalipa? hivi kumbe huyu TIDO kabebwa tu ndo maana hata EL anamsifia sana? ya suzan ndo nayapata hapa!mwageni vitu.

naomba kuuliza hivi kunaanaejua mshahara wa kuwa TUT na ule wa BBC?nataka kujua kama wanapata ulaji au ndo vile patriotism?
 

Kakalende

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Messages
3,256
Points
1,225

Kakalende

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2006
3,256 1,225
sio kichekesho tena; it has now been confirmed!

Suzan Mungy ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa habari na mawasiliano wa TBC (TUT sas inakuwa TBC - Tanzania Broadcasting Corporation)
 

Masatu

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2007
Messages
3,284
Points
1,195

Masatu

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2007
3,284 1,195
What a u turn! leo ndio umegundua kuna msamiati "unafiki" if any u should be on top of the list!

Wewe ndio architect wa fitna, chuki, uzandiki u name it.. sio wewe uliesema sisi watu wa bara hatuna ustaarabu eti ustaarabu upo pwani! give me a break.

Hii njaa yako itaku-cost sound unafanya JF mahala pa kuganga njaa yako kwa ku groom na kubomoa personalities za watu. U have now confirmed what I already know.

Mswahili ni mtu wa kuogopwa kama ukoma unawagawa watu kwa misingi ya dini, ukanda nk. I warned u b4 and thought mayb u will change but ur getting even worse.

Acha demokrasia ya JF ichukue mkondo wake, whos Suzanne by the way unaetaka watu wasimjadili? Wanajadiliwa vingunge hapa JK, EL, Shein etc seuze huyo Suzanne wako njaa yako itakuua Mswahili

Im out..
Haya sasa hayawi hayawi sasa yamekuwa!
 

Domo Kaya

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2007
Messages
530
Points
0

Domo Kaya

JF-Expert Member
Joined May 29, 2007
530 0
Jamani acheni chuku binafsi, wana-JF mkiona msichana mrembo kapata cheo basi mnaanza udaku. Punguzeni umbea jamani, Suzan Mungi alikuwepo kama mtangazaji siku nyingi sana tangu ITV ilipoanzishwa.... na hivyo vyeti vya kununu hebu leteni uthibitisho, sio mnakalia udaku tuu.

Mmemsakama marehemu Amina Chifupa mpaka amerest in peace, sasa mnamuanza na huyu mrembo. Sio mambo jamani tuongelee vitu vyenye maendelea zaidi ya udaku.
 

Shukurani

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
253
Points
0

Shukurani

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
253 0
MMMH jamani? mbona tuhukumiana sana huku JF, hebu leteni hoja za msingi,angalieni nchi inakoelekea, mengine waachieni wenyewe, hivi vyao ni vibanzi, hizo boriti zenu, Sijui
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,380,835
Members 525,893
Posts 33,781,092
Top