Suzane Mungy Mwana Mtandao?

Status
Not open for further replies.

mtalii

JF-Expert Member
Dec 14, 2006
286
5
Ni kichekesho mtu kama Suzane Mungy kupewa ukurugenzi wa Current News kwenye Taasisi ya Utangazaji (TUT).

Huyu Suzane hana uzoefu alikuwa mwandishi kanjanja tu.Alikuwa ITV akielekezwa jinsi ya kusoma habari,elimu hana. Tido alipofika UK akamchukua na kumpa BBC hapa akanunua cheti feki za Mass Communication. Hivi sasa Tido kamchukua, huku ikijulikana ni nyumba yake ndogo. Kuna wengi wana uzoefu wa habari hawajapewa nafasi kama hii.

Pia kuna huyu Salva Rweyemamu amepewa nafasi kubwa sana kwenye serikali ya JK. Wakati ni mtu wa ovyo sana.

JK sehemu nyeti kama hizi si vyema kuwapa watu kama fadhila. Hao walikuwa UK. Kama kampeni kuna watu vijijini walikuwa wakivaa fulana zako na kupigana na wengine wakifanya kampeni usiku na mchana. Hawa umewalipa nini?
 
Mtalii, labda huyu dada alipokuwa UK alisomea hayo mambo au? Ya Salva Rweyemamu yalitarajiwa maana jamaa amejikomba kwa muda mrefu sana, tena naona amechelewa kukumbukwa, inawezekana jamaa alikuwa bado anamtafutia nafasi. kwani wamempa nafasi gani hasa huyo Salva?
 
Hata mimi nilitaka kuuliza Salva kapewa nafasi gani..
 
Huyu SUSAN MUNGI sijui ana matatizo gani,Kutokana na track record yake kuanzia KULE IPPMEDIA mpaka huko BBC haishi kuwa na maskendo tuuuu. Huyu bibi kashavunja ndoa hapa UK sasa sijui kama ndio anapply hizo INTERPERSONAL SKILLS au vipi.

Who is next? INAWEZEKANA IKAWA tido yuko very innocent lakini wakuuliza ni huyo LOWASSA kwa nini alingangania SUSAN arudishwe DAR?
 
Spoila.

Lowassa kala sana huyu Suzane na bahati mbaya mumewe Innocent ameambiwa El ni binamu yao sasa kila sehemu akienda Innocent mungy atamba kuwa Lowassa ni binamu yetu, kumbe jamaa ana mlia vyake.
Tido Mhando nae anajua anaiba yeye tu. kumbe ngoma ya wengi.

Kitila

Salva ana vyeo sehemu kama mbili mjumbe wa bodi na pia taasisi ya utangazaji ni bodi memba. hilo la kujikomba liko wazi sana lakini hutumia fursa ya mtandao kuwaibia watu mitaani. hafai.
back 2 issue suzane ni very junior. mumewe kapewa kazi na LOWASSA ofisini kwake. ndio raha ya kuwa na mke asiyejua kusema NO!
 
Duuh! Haya yote kwangu ni ufunuo, nilikuwa siyajui kabisa! mambo makubwa, basi bana!
 
bora wangempa hiyo nafasi NEEMA KAMBONA ambaye japo anafanya kazi nzuri pale EU-DAR lakini TAIFA LAKE likimhitaji then sidhani kama yule binti angekataa (asuming haya maskendo kama huyu SUSAN MUNGI)

Hivi kuna mwenye wasifu wa SUSAN MUNGI?
 
... kwa maelezo yako mafupi uliyoyatoa inaonyesha wewe ndiwe hasa waweza kutupa huo wasifu wake ... bado tunaendelea kuusubiri ..
 
na huyu mwataka kumfanya kama marehemu acheni hizo? mbona tunapenda kuangalia pua za hawa kina mama? jamani jf ni pahala makini haifai kuleta udaku na chuki binafsi hapa
 
Mtalii
Lowassa kala sana huyu Suzane na bahati mbaya mumewe Innocent ameambiwa El ni binamu yao sasa kila sehemu akienda Innocent mungy atamba kuwa Lowassa ni binamu yetu, kumbe jamaa ana mlia vyake.
Tido Mhando nae anajua anaiba yeye tu. kumbe ngoma ya wengi.

Waswahili walisema binamu nyama ya hamu..
 
Hapa I smell some thing fishy, yaani kaacha kazi BBC moja kwa moja kaenda kuwa Director huko TvT! Hakuna anae qualify mpaka apatikane huyo wa London.

Hii kazi ilitangazwa au ndio mazingaombwe, anyway bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
 
Hivi Vihiyo ni Wanawake tu? Mbona wanaume wanaongoza zaidi ya asilimia 95 ya mashirika na wizara TZ na bado hakuna maendeleo?

Hivi huyo Tido mwenyewe amefanya nini toka afike Tanzania? Mtu anayetelekeza mke na watoto London, huku yeye anakimbizana na vimwana unategemea nini kutoka kwake? Usipokuwa mwaminifu kwa familia yako, je, utakuwa mwaminifu kwa taifa?
 
Susan Mungy ni yule yule aliyejadiliwa kutoka Reading akifanya BBC (British Bottom Cleaner) au mwingine?
 
Susan Mungy ni yule yule aliyejadiliwa kutoka Reading akifanya BBC (British Bottom Cleaner) au mwingine?

Watu wawili tofauti, yule wa Reading ni Suzane Shayo Mzee na huyu ni suzane Mungi alikuwa idhaa ya kiswahili -British Broadcast Corporation-B.B.C
naona si vibaya wanawake kupewa fursa kama hizi.
 
mtalii

Huyu Suzan alipokuwa anaaaga BBC alisema kuwa kaamua kustaafu kwa kuwa ana taka kwenda kukaa na familia yake dar na kammiss mumewe sana.Mhh sasa kumbe na haya mengine yapo?
 
Hivi Vihiyo ni Wanawake tu? Mbona wanaume wanaongoza zaidi ya asilimia 95 ya mashirika na wizara TZ na bado hakuna maendeleo?

Acheni kuwaandama sana dada zetu, wenye makosa ni wanaume ambao
akili zao zimevurugwa kwenye kuvua chupi.

Hivi huyo Tido mwenyewe amefanya nini toka afike Tanzania?

Mtu anayetelekeza mke na watoto London, huku yeye anakimbizana na vimwana unategemea nini kutoka kwake? Usipokuwa mwaminifu kwa familia yako, je utakuwa mwaminifu kwa taifa?
Kaazi kweli kweli!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom