Suzane Mungy Mwana Mtandao?

Status
Not open for further replies.

FairPlayer

JF-Expert Member
Feb 27, 2006
4,164
1,225
Nungwi,

Unajua ndugu yangu inabidi ujenge uwezo wa kusoma katikati ya mistari. Niliposema ya Mungy ni umbeya bado nasimama kutetea hayo Dr Who au GT vyovyote ajiitavyo hakumtendea vyema kusema mambo personal ya Suzzane. Kuzaa mtoto na mdogo wa nani vile havituhusu hapa JF. Umewapima DNA? udaku tu period!

Lunyungu,

Umekosea maana nina uhakika unafikiri mimi ni flani wakati sio kweli, absolutely NO! kule Tanzanet watu wengi wamekuwa wakisema FD ni fulani na mimi nimekuwa nikichekelea kwa pembeni.

GT ameambiwa atoe jina la kampuni wapi? tunasubiri jina la kampuni kama hamna jina hacheni udaku hatupo kwenye kitchen party hapa tuna ongea facts tu.

No investigation no right to write stuff!
 

PainKiller

Content Manager
Nov 27, 2007
2,739
1,250
FD you are in violation of JF rules. In your post, you intentionally linked a member's name to his/her actual name.

We do not expect this from you to be done in sake of defending an argument. Please refrain!
 

DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,314
1,500
I can see things are turning to be more of personal fights!!
Kwa nini inakuwa ngumu kwa watu kuelewa kwamba if you do not have enough evidence it's better to stay silent?
Hili folder linaitwa Nyepesi, nafikiri hata hizi habari hazina uzito wa kuweza kuchambuliwa kama habari kamili zilizothibitika.... Changieni mada lakini mjue wazi HIZI NI HABARI NYEPESI!
 

Pundamilia07

JF-Expert Member
Oct 29, 2007
1,439
1,225
Kazi ipo!

Chuki binafsi imetawala sana hapa. Baadhi ya wana JF hawana jipya zaidi ya kuwapaka matope watu wengine kwa kigezo cha uhuru wa kusema bila ya kuingiliwa. Lakini wanasahau kuwa kila mtu anastahili heshima na kuthaminiwa utu wake. Kama una chuki binafsi na mtu tafadhali usizilete hapa.
 

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,066
2,000
Sasa kama huyu dada Mungy amefoji vyeti na sasa amepewa ukurugenzi na Tido ambaye ni mpenzi wake- sii ndo nyepesi hizo?

Wacha watu wajadili- rushwa ya ngono imekuwa inajadiliwa hapa tangu muda mrefu!

Haonewi huruma mtu!
 

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
12,884
2,000
Mgagagigikoko

hodi hodi

You are mistaken. Tido haajiri kwa chupi/sambusa. Nasikia Tido Mhando mdini wa kutupwa. Alipokuwa bbc kaajiri wagala wenziwe na sasa yupo tut anaajiri wagala tu. mkurugenzi wa habari mgala, mkurugenzi wa radio mkiristo, mkurugenzi wa tv mkiristo! Kweli nchi itakwenda?

My friend, this is very serious allegation.

In BBC kuna akina Ziana Seif, Ally Saleh, Juma Nkamia, Mariam Omar ambao ni waislam pamoja na wengine ambao sauti zao huwa twazisikia kila mara.

Halafu katika kila taasisi kuna idara inayoitwa "Human Resources"- je Mzee Mhando anaingia humo na kusema kwamba fulani apitishwe tu?

Je, alipokuwa pale BBC alikwenda kwa wazungu na akawaambia nataka Suzan Mungi aajiriwe kwani ni yeye analipa mishahara?

Of-course yeye anaweza atoe "recommendation" kwamba anaonaje kuhusu waliofanziwa usahili.

Kuhusu Tanzania of-course labda atahitaji watu mchanganyiko wenye uzoefu kidogo kuhusu utayarishaji na utengenezaji na usimamizi wa vipindi ambao wengine labda watakuwa wamefanya kazi katika mashirika makubwa kama BBC ambapo labda Suzan anafit hapo.

Halafu pia suala la elimu na ufanisi wa kazi ni gumu kidogo na utaona ni bora umchukue amtu aliemaliza pale VETA na amefanza kazi yenyewe kwa vitendo kuliko mtu wa pale mlimani ambao kuna baadhi wamemaliza pale mlimani na bado wanashindwa hata kuandika "convincing letter" ya kuomba kazi mpaka wasaidiwe!

Kuhusu kuingia mwenye kinachoitwa mtandao hayo ni mambo ambayo bado tunaita "rumours" ambayo ukweli wake unaweza ukawepo au usiwepo na hata kama akiwa ni mwana mtandao si ndio mambo yenyewe katika dunia ya leo?

Kwa hiyo ndugu naona "you have gone over the edge" na unahitaji kurudishwa katika mstari (kama haiwezekani si basi! )

Tukumbuke kuleta vigezo katika hoja zetu pale tunapohisi twakaka kuzituma JF, please.
 

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
560
195
Tanzania Broadcasting Corporation inaguration

DSC01140.jpg
 

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
1,195
Wengi wa waandishi wa habari wa kike ni chakul ya wakubwa. Tuna mwanamama mmoja ni DC pale Korogwe EL alikuwa ndio godoro lake sasa sijui kama ameachia ngazi U PM na huyu DC au ameachia ngazi u PM tu. Kwa hili la Betty nadhani mumewe anajitakia maana baada ya kukaa na mkewe yupo na timu ya taifa ya wanawake mambo mengine sie wanaume huwa tunajitakia...
 

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,338
2,000
Mwacheni dada wa watu, kama kazi inaonekana, hata kama anatoa rushwa kila siku ni juu yake. Ila akiharibu kazi tutamuhamisha wizara kama kawaida yetu waTZ. Hakuna matata.

kwa sasa hivi dada endelea na kazi. ila dawa ya ya mwambea ni kuwaziba mdomo kwa productivity yako. Wanaume bwana, wakikuona na kitu kizuri mwanamke wanajua umepewa na buzi. Wakati siku hizi akili ndio intaumika na wanawake wanazo tu za kutosha
 

IsayaMwita

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
1,129
1,250
Jamani mbona JF mnaeneza chuki dhidi ya ndugu zenu? Mfano Salva mbona ni mtu mwema sana? kwa mara ya kwanza kukutana naye mimi nilishangaa sana jinsi huyu jamaa alivyo kwani ktk yote tuliyoongea naye kuhusu Taifa letu alitoa mchango kwa kile alichokijua yeye na kweli sikuona ni vipi watanzania wamlaumu,Salva ni msomi mwenye mlengo wa kushoto japo sasa watanzania hampendi ila yeye ni mtu mwema tu.Msisahau kikwete anampenda sana,na mnajua Rais wetu habahatishi, hivyo acheni majungu. Salva si Fisadi hata kidogo, kutwa ndugu huyu huangaika kufanya kazi ili ajipatie kipato, jamani mmewasahau wale mafisadi mnalia na SAlva?
 

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,790
1,500
kama kawa, miskendo kila kukicha...ndo madhara ya ushkaji kwenye interest za kitaifa!!!
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom