Suzane Mungy Mwana Mtandao?

Status
Not open for further replies.

Mama Lao

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
238
0
Duh wanawake tuna kazi....ukiwa na cheo... hujasoma? umegawa sambusa?
Mbona mimi nina cheo kikubwa sana, nimesoma sana na sijawahi kugawa sambusa????
Acheni kuwa na mawazo finyu!

Kama amepewa hiyo kazi ni vizuri "we need fresh air huko TUT"...wamelala mno!
 

WembeMkali

JF-Expert Member
Jun 16, 2007
282
0
Duu..ndiyo maana naipenda JF!..inakupa kitu na box lake!..leteni leteni news hizo na ikiwezekana wale wenye kuweza kupata pics wasisite kuziupload!
 

S. S. Phares

JF-Expert Member
Nov 27, 2006
2,141
1,195
Duh wanawake tuna kazi....ukiwa na cheo... hujasoma? umegawa sambusa?
Mbona mimi nina cheo kikubwa sana, nimesoma sana na sijawahi kugawa sambusa????
Acheni kuwa na mawazo finyu!

Kama amepewa hiyo kazi ni vizuri "we need fresh air huko TUT"...wamelala mno!

Hongera Mama Lao, hakika wewe ni mfano wa kuigwa.
 

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,252
2,000
weka mavitu basi; kusema tu yupo fit haitoshi. Kumbukumbu zinaonesha aliondoka TZ akiwa na form 4 choka ile mbaya. sasa kama alipokuwa UK madarasa yakapanda si watu muweka mavitu hapa. Kwa cheo alichopewa huyu ameshakuwa public figure, kwa hiyo mambo yake ndiyo hivyo tena inabidi yawe hadharani.

One thing, nimewahi kumuona mara moja huyu dada enzi hizo akiwa ITV pale Mikocheni-nilichoka kabisa-sitashangaa kama yale yanayosemwa ni ya kweli!
Kitila,

Experience can subtitute for basic qualification; but not vice versa.
 

Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,281
1,195
mswahili

What a u turn! leo ndio umegundua kuna msamiati "unafiki" if any u should be on top of the list!

Wewe ndio architect wa fitna, chuki, uzandiki u name it.. sio wewe uliesema sisi watu wa bara hatuna ustaarabu eti ustaarabu upo pwani! give me a break.

Hii njaa yako itaku-cost sound unafanya JF mahala pa kuganga njaa yako kwa ku groom na kubomoa personalities za watu. U have now confirmed what I already know.

Mswahili ni mtu wa kuogopwa kama ukoma unawagawa watu kwa misingi ya dini, ukanda nk. I warned u b4 and thought mayb u will change but ur getting even worse.

Acha demokrasia ya JF ichukue mkondo wake, whos Suzanne by the way unaetaka watu wasimjadili? Wanajadiliwa vingunge hapa JK, EL, Shein etc seuze huyo Suzanne wako, njaa yako itakuua Mswahili

I'm out..
 

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,173
2,000
Masatu

Wewe una chuki binafsi na mswahili, mswahili kaeleza kuwa hizi habari zimepikwa na hazina ukweli, na lengo inaonyesha ni kumchafulia huyu dada, na hili la kutetea huyu dada inathibitisha kuwa mswahili si mdini maana huyu ni dini tofauti, pia suala la zitto ni ushahidi wa pili.

Suala la watu wa pwani na wa bara unalijua fika lilianza wapi? na ilikuwa ni pande mbili wako waliokuwa wakitusi na kuwakebehi watu wa pwani sasa kuwatetea wasio sauti na wanaonekana hawakusoma wapenda mambo ya ovyo imekuwa kosa? Au ndio kunya anye bata tu akinya kuku huwa mwao????

Demokrasia kuchukua upande wake sio kuzungumza udakua au kumchafua mtu kwa tetesi zisizothibitishwa kwanza tuthibitishiwe kama hii habari ya kuajiriwa huyu dada TUT ni kweli?

Baada ya hapo ndio tujadili isiwe kumchafua tu sio vizuri na kwa nini tunakuwa hivi na hasa kwa dada zetu tabia hii naomba tujirekebishe.
 

Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,281
1,195
Wewe Mtumwitu,

Unadai mswahili kasema hizi habari zimepikwa na hazina ukweli, mswahili huyo huyo kakubali partly kuwa kuna ukweli ( Suzanne kajiuzulu bbc karudi bongo) sasa tunasubiri hiyo awamu ya pili ya habari ya Mtalii tuone yaliyobaki kama kweli au si kweli.

Cha kushangaza Mswahili kakurupuka ( kwa kasi ya ajabu) kuja kukanusha hizi habari hapa (in a very suspicious manner) ndio hapo wadau tumeshangazwa na mwenendo huu mpya wa mswahili.

Umezidi kukurupuka na kudai nina chuki binafsi na Mswahili, why should I? ninachofanya ni kumlingania arudi ktk mstari sasa nashanga wewe all over suddenly ushakuwa msemaji wake.
 

FairPlayer

JF-Expert Member
Feb 27, 2006
4,164
1,225
Mtalii,

Kanusheni habari aliyotoa Mswahili KAMA MNA DATA. La sivyo nyamazeni kimya!!! narudia muache UZUSHI. Topic ya Mzumbe ishapitwa na wakati sina muda wa kuchangia...nikipata time nitachangia.

fd
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
Cha kujiuliza ni kuwa huyo mswahili yuko wapi maana haonekani. Mswahili tunakuomba urudi uli uweke records straight
 

Mzee Kifimbo

Senior Member
Mar 25, 2007
153
0
Kaka Fikiraduni.

Huyo Mtalii ni muongo sana hana mfano wake,kuna thread nyinyine alianzisha kuwa Mkurugenzi wa shirika moja kubwa nchini ana Phd FEKI,akaambiwa alete data akawa kimya, watu wakaleta data kumbe huyo jamaa aliyemsema vibaya, alikuwa ni Best Student kwa miaka yote mitatu ya B.Com pale Udsm na akaondoka na first class.

Phd yake ni ya uhakika kabisa. matokeo yake Mtalii akaja kukiri kuwa samahani kwa kutukwaza.

Naomba tuidharau hii habari yake lengo ni kumchafua dada wa watu au kuharibu ndoa inawezekana ndio Nchimbi wa JF.
 

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,698
1,225
Wana JF, naomba muendelee kuadabisha watu wanaoleta udaku humu!!! Nawapongeza... "no investigation no right to post a thread"

Fikira Duni, kumbe wewe ndio unafikira thabiti....
 

Mgagagigikoko

JF-Expert Member
Jul 1, 2007
474
0
Mama Lao

Good morning. Mimi ndiyo kwanza naamka huku ughaibuni. Kijua hichoooooo kinachomoza.

By the way ML please DONt get me wrong. Sijasema kuwa kila mwanamke mwenye cheo alikipata kwa kugawa sambusa yake.
Ila ninacholaani kwa nguvu zote is for somene to sambusa her way up.

Nakupongeza ML kwa kuwa na cheo kikubwa kama ulivyosema while sambusa yako ni INTACT. Bravo! Thumbs up ML
 

Mnoko

Member
Jul 4, 2007
11
20
Mgagagigikoko

hodi hodi

You are mistaken. Tido haajiri kwa chupi/sambusa. Nasikia Tido Mhando mdini wa kutupwa. Alipokuwa bbc kaajiri wagala wenziwe na sasa yupo tut anaajiri wagala tu. mkurugenzi wa habari mgala, mkurugenzi wa radio mkiristo, mkurugenzi wa tv mkiristo! Kweli nchi itakwenda?
 

Kikwebo

JF-Expert Member
Aug 25, 2006
357
225
Mnoko

Duh! hii kali...

Suzy pole sana kwa mitusi unayopewa japo hatujuwani. Mgosi Tido nawe pole sana kwa tuhuma hizo. Yamesemwa mengi.. kutekelekeza familia kule London (najua wako TIC, London)..japo kupanga ni kuchaguwa.

Hili la udini linatia kinyaa...mi najaribu kuhakiki ila napata tabu mno wamejaa watu wa dini moja sana kwenye habari pale TUT. Ni ndugu zangu kutoka bonde kina Kihampa, Neema Mhando, nk. Jaribu ku sort out maana tulizoea kusikia lafudhi za kiswahili faswaha za kina Hemed Jongo, Mikidad Mahmoud, Mohammed Ahman, Abdallah Mlawa, Halima Mchuka, Ahmed Kipozi,nk.

Hoja si udini, lakini nani hajui kama wenyeji na waswahili wa pwani ni wazuri kwa lafudhi na kiswahili kitamu. Sitaki kuwasema watani wangu wasukuma kule MWANZA AU Tabora halafu uwape taarifa ya habari wakusomee ile ladha ya kusikiliza itakuwepo?

Tido TUT technically unafaya vitus na mabadiliko tunayaona.. napenda presentations za Aisha Dachi na yule binti mwenye jina kama la Kikenya (samahani nimemsahau). Marina Hassan naye anajitahidi lakini aache kiswahili kirefu na maelezo mengi.
 

mtalii

JF-Expert Member
Dec 14, 2006
286
0
Wakuu.
Asanteni kwa yote mliyonizushia, lakini napenda kumlinganisha Mswahili na mzee Kassim Mtopea yule mpambe wa Mrema Augustino enzi za neema NCCR.

Sijui kapewa chochote au ndio mambo ya Sambusa tena, maana Mswahili kwa kupokea rushwa ya ng... hawezekani.

possible kuna jamvi la wageni kila mtu anakalia kwani shutuma nazopewa si za bure. ukarimu wa watu unawafanya kina Mswahili kuja na lugha chafu.
 

Mnoko

Member
Jul 4, 2007
11
20
FD

Wagala ni wakristo. Yaani wale wakurugenzi wote aliowajaza Tido pale TUT. Mambo ya Tido yanatia kichefuchefu. Hivi JK hayaoni? Ugala, ajira za ugawaji wa sambusa

Tido, enough of it pleaseeeeeeee!!!!!!!
 

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,698
1,225
Nachukia sana watu wanaojifanya watu wa dini sana, wakati wao wenyewe hawana ucha mungu wowote,,, Kila jambo na wakati wake na mahala pake....
JF sio uwanja wa mambo ya dini, neither matusi... Hoja ndio zitawale wajameni...
 

Mnoko

Member
Jul 4, 2007
11
20
Kilitime

Pole ndugu yangu.Inaelekea hujui reality za bongo. Watu mnakuja juu baada ya kuguswa Wagala? Leo mnajidai kuw mnahukia udini? Kama si unafiki ni nini? JF anatawaliwa na hoja. Nataka nipingwe kwa nguvu ya hoja. Je wakurugenzi aliowaajiri Tido si wakristo? Kuna mtu kataja elsewhere kuwa watu wa pwani wana lafidhi nzuri na ndiyo maana wengi wao ni watangazaji. Kaorodhesha orodha ndeeeeeeeefu ya watangazaji waswahili. Hao wataishia hapo hapo tu kwenye utangazaji kwa kisingizio cha lafudhi nzuri kuliko wasukuma.

Waswahili kazi zao ni hizo tu utangazaji, dereva, korokoroni, tarishi etc etc Wakristo ndio hao wanpeta kwa mtandao wa mfumo kriso wa kina Tido. Uwongo?

Naomba niambiwe tokea Tido ameenda BBC na kuwaajiri watanzania permanently ni wangapi waislamu? Leteni nondo kupinga hoja siyo sentiments eti oooooh nachukia mjadala wa udini JF.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom