Spoila.
Lowassa kala sana huyu Suzane na bahati mbaya mumewe Innocent ameambiwa El ni binamu yao sasa kila sehemu akienda Innocent mungy atamba kuwa Lowassa ni binamu yetu, kumbe jamaa ana mlia vyake.
Tido Mhando nae anajua anaiba yeye tu. kumbe ngoma ya wengi.
Kitila
Salva ana vyeo sehemu kama mbili mjumbe wa bodi na pia taasisi ya utangazaji ni bodi memba. hilo la kujikomba liko wazi sana lakini hutumia fursa ya mtandao kuwaibia watu mitaani. hafai.
back 2 issue suzane ni very junior. mumewe kapewa kazi na LOWASSA ofisini kwake. ndio raha ya kuwa na mke asiyejua kusema NO!
... kwa maelezo yako mafupi uliyoyatoa inaonyesha wewe ndiwe hasa waweza kutupa huo wasifu wake ... bado tunaendelea kuusubiri ..bora wangempa hiyo nafasi NEEMA KAMBONA ambaye japo anafanya kazi nzuri pale EU-DAR lakini TAIFA LAKE likimhitaji then sidhani kama yule binti angekataa (asuming haya maskendo kama huyu SUSAN MUNGI)
Hivi kuna mwenye wasifu wa SUSAN MUNGI?
Mtalii
Lowassa kala sana huyu Suzane na bahati mbaya mumewe Innocent ameambiwa El ni binamu yao sasa kila sehemu akienda Innocent mungy atamba kuwa Lowassa ni binamu yetu, kumbe jamaa ana mlia vyake.
Tido Mhando nae anajua anaiba yeye tu. kumbe ngoma ya wengi.
Susan Mungy ni yule yule aliyejadiliwa kutoka Reading akifanya BBC (British Bottom Cleaner) au mwingine?
Kaazi kweli kweli!Hivi Vihiyo ni Wanawake tu? Mbona wanaume wanaongoza zaidi ya asilimia 95 ya mashirika na wizara TZ na bado hakuna maendeleo?
Acheni kuwaandama sana dada zetu, wenye makosa ni wanaume ambao
akili zao zimevurugwa kwenye kuvua chupi.
Hivi huyo Tido mwenyewe amefanya nini toka afike Tanzania?
Mtu anayetelekeza mke na watoto London, huku yeye anakimbizana na vimwana unategemea nini kutoka kwake? Usipokuwa mwaminifu kwa familia yako, je utakuwa mwaminifu kwa taifa?