Suala la Kitila na Mfanyakazi wake wa Ndani

Status
Not open for further replies.
hehehe ngoma imepata wachezaji

Kuna maswali mengi ambayo ndugu Kitilahajayajibu.

Au chuki binafsi?
 
Kuna mada ilianzishwa juu ya sakata la kitila mkumbo na mfanyakazi wake wa ndani hapa jf lakini imefutwa,
jee kitila mkumbo ni nani hadi asijadiliwe?

Jf tunadai ni watetezi wa wanyonge lakini tunashindwa kumsaidia dada wa toka singida aliyedhulumiwa na kunyanyaswa.

KYARUZI,
Unamaanisha ulichoandika au unatania?
Thread mbona iko online hata sasa?
 
Mwacheni mzee Kitila apumnzike mmeshikia bango sana kwani nyie hamtoki nje ya ndoa?
 
Sijaleta mimi hizo habari. Kichwa cha mada kinasema Kitila na mfanyakazi wake wa ndani. Sasa kama hamtaki watu tuzungumzie yeye kummega housegirl wake ifungeni hii mada. Msinilaumu mimi kwa kujadili mada zilizoanzishwa na wengine

Ok Ok Ok.... nat that way bro, i was just tossing around "umegaji" as you wrote several time"

I rest my case lets have fun with it!!!
 
............Tanzania tunakuwa na matatizo wakakti mwingine kwa sababu ya watu wavivu kusoma kama mleta mada..............
 
Kuna mada ilianzishwa juu ya sakata la kitila mkumbo na mfanyakazi wake wa ndani hapa jf lakini imefutwa,
jee kitila mkumbo ni nani hadi asijadiliwe?

Jf tunadai ni watetezi wa wanyonge lakini tunashindwa kumsaidia dada wa toka singida aliyedhulumiwa na kunyanyaswa.


Kadhulumiwa nini, kanyanyaswa vipi.

Toka mada imeanzishwa watu wanaulizia habari za kina, yaani chanzo cha sakata zima na muendelezo wake, wewe umeminya tu. Ueleweke vipi sasa, kwamba wewe ni mzushi, mchonganishi, mfitini, mzandiki na mgombanishi? kwa kukosa dataz washabiki wa Kitila humu wanagombana na member wenzao wanaohoji hili suala.


Kama unataka kumwaga facts ungemwaga kwenye hii thread uliyofungua, kumbe unajua kuwa kuna uwezekanao wa kuanzisha thread mpya kama ya zamani unahisi imefutwa, inawezekana wewe ni MDAKU unaleta UDAKU.
 
samahani niliitafuta sikuiona,Kitila sio mzee wa Kanyigo anatoka Singida.

Sawa lakini wa Kanyigo ni wewe... soma vizuri hiyo post, - "muzee wa kanyigo" umemvalia njuga "Yule mtu wa Singida"
 
Kitila kummega housegirl wake itakuwaje low move? Kumega ni jambo la kujivunia bana labda uniambie alimbaka. Mimi hongera zangu bado ziko palepale. If anything Kitila amedhihirisha yeye ni rijali. Go Kitila.

kwi kwi kwi Komredi mimi nataka kujua Mnyilamba huyo yupo Dar au Singida nikamfuate, Kitila hajamega komredi.
 
Ni Wivu na Unafiki Full Stop...Kitila siku zote tuko naye humu na anachangia mara kibao tu,kwa nini hizo allegations zisitolewe before na mpaka kusubiri kapata 'Mpunga' ndo zianze kutolewa..JF twatakiwa tuwe mfano bradha na si kutumia 'style' za Wanasiasa na Mafisadi za kuchafuana kupitia Vyombo vya habari...Ni mtizamo tu mkuu

Haihusiani na cheo chake alichopata imekuwa double coincedence kwani kufumaniwa na mkewe imetokea kama miezi mitatu iliyopita.suala limepelekwa kwenye vyombo mbali mbali.kama unafuatilia Kitila alikuwa haonekani sana kipindi cha kuanzia miezi mitatu iliyopita kutokana na jambo hili.wazee wa Maumau wamefungua kesi leo ya kudai fidia kwa waingereza wakati waingereza wameondoka Kenya miaka ya 60.
kesi za madai unaweza kudai ndani ya miaka mitatu.
hakuna uhusiano wa cheo cha Kitila na suala lake la UGONI.
 
Kyaruzi
user_online.gif

Kyaruzi has no status.
Senior Member
Join Date: Fri Mar 2007
Posts: 62
Thanks: 12
Thanked 14 Times in 9 Posts
Rep Power: 23
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 193,360


Threads started by Kyaruzi

Kitila mkumbo ni nani jf?

Wapinzani wakusudia kuungana

Kumbe Chadema Cha Mtoto!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom