Suala la Kitila na Mfanyakazi wake wa Ndani

Status
Not open for further replies.
Hata kama amemega basi apewe hongera zake, hako kabinti mimi nshawahi kukatia machoni, mbaba yoyote ambaye angekaona kwenye 18 yake angeingia vishawishi tu. Si mnawajua watoto wa kinyiramba jamani? Kenyewe kembamba utadhani kamodo, jicho ndo usiseme, lips mhhhh....., ntamsamehe mzee mwenzangu kama alighafilika!

Genes za mfalme selemani kali kwelikweli!!!!!!!!!!
 
Ingekuwa mtoto wa MALECELA mngetak kila kitu kianikwe

JAMII FORUMS...WHERE WE DARE....

GT; You have a clear point and its a strong message to all JF members.. However, I am failing to understand how you mix and compare two different matters. Ya Malecela (accusations still) ni makubwa and its a something that cant be compared to any kind of abuse (let alone sex abuse... although they are both not right things).

Now looking at accusations za mtu kuchapa housegirl.. kweli sio ndogo lakini huwezi linganisha bana!!!

Stop tinkering our minds.... Hatujui tu kuhusu wewe lakini wa pwani nao hugusa vingi vilivyo easily accessible

BTW, Kuwa mkuu wa idara haina maana tayari ni mkubwa mno unless kulikuwa na consipracy theory ya muda mrefu as we all saw potential za Kitila and his openness and daring are scary to many

Some of us have experience his threats to wasiopenda haki pale pugu
 
Achana nao hao HATERS mkuu....WAMEFULIA...Lol
 
Unapitwa na wakati, Mchukia Fisadi, unapitwa na wakati, nchi inabadilika, watu wanaanza kuelewa kwamba mtu akiwa visible public person akawa muasherati asiye na integrity nyumbani kwake basi ata suffer public backlash.

Na kama ni kweli Kitila kamlala muajiriwa wake hiyo inaweza kuwa unethical, maana alienda polisi. Kwa nini?

Na kama kamlala, atakuwa kadanganya, alionyesha hajui kilichoendelea, alisema "walipishana" na mkewe.

yule dada kwenda polisi kwani alibakwa? alikuwa anashitakiana na nani? Kitila au Mrs?
 
Kitila amejieleza. Sasa kama mna ushahidi kuwa anatudanganya basi wekeni humu aumbuke. Kama hamna, kaeni kimya. Msitake kumharibia mwenzenu kwa innuendos.

Hongera Kitila kwa kupata udaktari kihalali!

Amandla.........
 
Hongera bwana Kitila kwa kumega huyo binti....

Wewe Nyani hujatulia kabisa!

Hili suala la house girls na waajiri wao ni tatizo hapa UK. Kuna cases mbalimbali hasa zinazohusu Wahindi ambazo kwa kweli inatakiwa waende jela lakini bahati mbaya, ubalozi wetu, badala ya kuwakilisha hizo tuhuma polisi, wao wanazima chini chini na kuwasaidia hao wasichana kurudi TZ.

Watanzania tuelemike na kuacha kabisa kunyanyasa wafanyakazi wa ndani. Nyumba nyingi za Watanzania kule nyumbani na hasa middle class wetu zina watumwa wa ndani. Hao wasichana ni watumwa kwa maana zote za utumwa.

Ifike mahali ubalozi msikendekeze suala la Watanzania wenzetu kunyanyaswa wakiwa nje; sheria za UK ziko wazi; kila mfanyakazi lazima alipwe minimum wage ikiwa ni pamoja na likizo. Kama kuna mwajiri hafanyi hayo basi anavunja sheria.

Kuna wasichana mpaka wanakuwa raped lakini cases kama hizo eti zinamalizwa chini chini.

Kwa Watanzania wengine, kuleta mfanyakazi wa ndani huku Ulaya ni kujitakia matatizo ya bure. Baada ya muda atapatana na vijana hapa na watampa ujanja wote wa mjini, matokeo yake ni kuishia kwenye matatizo.
 
Kwa Watanzania kuleta mfanyakazi wa ndani huku Ulaya ni kujitakia matatizo ya bure. Baada ya muda atapatana na vijana hapa na watampa ujanja wote wa mjini, matokeo yake ni kuishia kwenye matatizo.

Mkuu napingana na wewe katika hili. Inategemea wakati huyu binti unamleta huku Ulaya mmekubaliana mambo gani na kama mlikuwa na mkataba mahalum. Mia nina miaka mingi tu hapa UK pamoja na familia yangu na kwa kipindi hicho chote nimekuwa na binti wa kazi wa kutoka Tanzania na kabla ya kumleta huku tuliandikishana mkataba wa nini atarajie pamoja na staha zake zote na kadhalika. Na sijawahi kumsikia hata siku moja akilalamika kuhusu lolote la ziada.
Cha msingi ni kuwa na mkataba wa kisheria kabla ya yeye kuja huku Ulaya na yeye aridhie makubaliano kwa upande wake na vile vile mwajiri kutekeleza wajibu wako.
 
Kyaruzi,

Let me begin by saying that the allegations that you have raised against Dr. Kitila, the defendant in this case, are very serious ones. However, you have failed to furnish the jury with enough information to substantiate your claim. As I said before, this is not a laughing matter! Mind you, Kitila's reputation and everything that he has worked are on the balance; because of what you have narrated.

So far, Jamii forums members have had a chance to hear from both you and Mheshimiwa Dr. Kitila (the defendant). In my opinion, the defendant was able to lay out a compelling case to refute your claim. A classic example is when he said this mayhem, between his wife and his house-girl, happened while he was in Tanzania. The question that continues to linger in my mind is-- if the defendant was not at the scene of crime, how can you accuse him of committing such an evil act?

Kyaruzi, you have the burden of proof, since you brought this issue up. Can you please add some more meat to your story (provide us with more information). If you will fail to prove your case before the jury, the court of public opinion will allow the mighty Kitila walk "Scott- free."
 
Last edited:
Mkuu napingana na wewe katika hili. Inategemea wakati huyu binti unamleta huku Ulaya mmekubaliana mambo gani na kama mlikuwa na mkataba mahalum. Mia nina miaka mingi tu hapa UK pamoja na familia yangu na kwa kipindi hicho chote nimekuwa na binti wa kazi wa kutoka Tanzania na kabla ya kumleta huku tuliandikishana mkataba wa nini atarajie pamoja na staha zake zote na kadhalika. Na sijawahi kumsikia hata siku moja akilalamika kuhusu lolote la ziada.
Cha msingi ni kuwa na mkataba wa kisheria kabla ya yeye kuja huku Ulaya na yeye aridhie makubaliano kwa upande wake na vile vile mwajiri kutekeleza wajibu wako.

ndugu yangu wala usitake kubishana kuhusu hilo waweza elewana naye toka bongo lakini atakapofika hapa kuna mambo atayakuta hapa kutoka kwa watu wengine ambayo wewe hukumweleza kule nyumbani wakati wa mkataba ndipo hadithi huanza kugeuka,nimeshahudhuria kikao kimoja cha watz tukapewa habari ya dada mmoja aliyekuwa anaparamia mabasi hapo london na kumwaga kilio cha kutaka asaidiwe kurudi nyumbani.tatizo ni wakati wa kuletwa huku wanachukulia kama wanakuja kuula na wanasindikizwa na ukoo mzima pale nyerere airport.
 
Mkulu Kyaruzi,

- With all due respect umesema Kitila alikamatwa na mkewe na ni mkewe ndiye aliyem-deport msichana, DK anasema msichana alienda polisi mwenyewe tena yeye DK, akiwa Tanzania aliporudi UK ndio akampandisha ndege kurudi nyumbani, tena DK amesema hata kuhusu ubalozi meaning kwamba anajiamini kwamba hata tukienda kuuliza tutapata ukweli huo huo aliousema.

Sasa Mkuu Kyaruzi, je una hard facts zaidi ya ulizozitoa tayari? Maaana hoja za DK sio siri kwamba ni strong sana kuliko accusations zako kwa maoni yangu, unless una zingine zaidi na kama huna basi umuombe radhi DK kwa usumbufu wote uliousababisha kwake na familia yake, hapa JF huwa hatukurupuki na hukumu bila facts so far sijaziona!

Respect.

Kamanda FMEs!
 
ndugu yangu wala usitake kubishana kuhusu hilo waweza elewana naye toka bongo lakini atakapofika hapa kuna mambo atayakuta hapa kutoka kwa watu wengine ambayo wewe hukumweleza kule nyumbani wakati wa mkataba ndipo hadithi huanza kugeuka,nimeshahudhuria kikao kimoja cha watz tukapewa habari ya dada mmoja aliyekuwa anaparamia mabasi hapo london na kumwaga kilio cha kutaka asaidiwe kurudi nyumbani.tatizo ni wakati wa kuletwa huku wanachukulia kama wanakuja kuula na wanasindikizwa na ukoo mzima pale nyerere airport.

With all due respect, Mkataba has got nothing to do with this. According to Kyaruzi , the house girl was evicted my Mama mwenye nyumba after she discovered that she was a threat to her marriage. Let me put this bluntly, she was her husband's mistress. I don't think it is possible to forge a "Mkataba" that will be able to take care of the above-mentioned issue. If what has been said is true, then the problem is not a Mkataba but . . .
 
ndugu yangu wala usitake kubishana kuhusu hilo waweza elewana naye toka bongo lakini atakapofika hapa kuna mambo atayakuta hapa kutoka kwa watu wengine ambayo wewe hukumweleza kule nyumbani wakati wa mkataba ndipo hadithi huanza kugeuka,nimeshahudhuria kikao kimoja cha watz tukapewa habari ya dada mmoja aliyekuwa anaparamia mabasi hapo london na kumwaga kilio cha kutaka asaidiwe kurudi nyumbani.tatizo ni wakati wa kuletwa huku wanachukulia kama wanakuja kuula na wanasindikizwa na ukoo mzima pale nyerere airport.

Sasa hapo tatizo ni kwamba hawakumueleza hali halisi ambayo atarajie kuikuta.
Kama ulieleza hali halisi hiyo haitakuwa shida tena. Watu ambao wapo wawazi katika kueleza kwa kinagaubaga kamwe hawatakutana na hii hali.
 
Kitila amejieleza. Sasa kama mna ushahidi kuwa anatudanganya basi wekeni humu aumbuke. Kama hamna, kaeni kimya. Msitake kumharibia mwenzenu kwa innuendos.

Hongera Kitila kwa kupata udaktari kihalali!

Si wote tunakubali maelezo ya mtu bila kuswalisha pale ambapo mambo hayajumlishiki. Na si kila anaeswalisha basi ametoa madai. Aliyetoa madai ndio anadaiwa ushahidi. Hadithi ya Kitila ina loose ends.

Kitila kadai msichana alichoka Uingereza. Ukichoka kazi unaenda polisi?

Akadai alimwambia ni sawa kwenda polisi kama aliona ameonewa. Alidai ameonewa kwa kitu gani?

Kitila anatuambia Ubalozi walimwambia tatizo la mshichana ni kuishi Uingereza. Yeye Kitila mwenyewe anajiweka kama haelewi elewi kilichoendelea ndani mwake, eti balozi ndio ajue zaidi. Tusifanyane watoto.

Fundi, thread ya kumpongeza Kitila kwa udaktari sii hii, imo humu sehemu, pongezi zitafiti huko zaidi.
 
Kuswalisha unakujua wewe?
 
Innocent until proven guilty ila naona wengine kwao mtu ni guilty until proven innocent. Bwana Kyaruzi kwenye moja ya post zake alisema kwamba kama Mkumbo atakataa atakuja na hard facts. Sasa Mkumbo mwenyewe kaja na kukana na bado sijaziona hizo hard facts. Dah kweli Watz na due process vitu viwili tofauti.
 
Hayo ni mambo so personal.........sidhani kama yanaingiliana na utendaji maana mmm kwa maisha ya sasa balaa sana.....watu wamekuwa wabovu sana sana kwa ngonoo jamani....labda mazingira
 
Wanaohoji hiyo kadhia ya binti mjakazi vs Mh. Daktari wnayo hoja valid inayostahili kujibiwa kwa hoja ni si vioja. Huwezi ukasema tuache tu kufuatilia 'vitu personal' wakati kuna uwewzekano kuwa huyu binti mjakazi alifanyiwa ndivyo sivyo na Mh. Daktari kwa namna moja au nyingine. Kuwa ktk safe side ili aaminike kwa jamii ni vyema Daktari akawa clean kwenye hii ishu..Mambo ya kukusoa wengine wakati sisi wenyewe hatujikosoi hayatatupeleka popote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom