Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,237
Hii habari imekaa KUSHOTO SANA.
Kwanza nianze na Dr. Mkumbo, Amocha wang? Mhh Kinyaturu kimekaa kama HONG KONG vile ehh!!!
Pili nije kwa Wachangiaji:-
Kama Mkumbo kammega huyo HG, hii sisi inatuhusu nini? Kama huyu binti alikuwa ni GF wa mtu basi huyo jamaa aliyemegewa kitu chake, si aende mahakamani akamshtaki? Kama tunajadili tu hapa jambo bila ya kuwa hata na maelezo ya uhakika ya pande moja, tukitumia maneno ya GT, kwa kweli tunakuwa KITUKO. Heri hata thread ya ZEUTAMU ilikuwa na maana kuliko hii. t'huuu (natema)!!
Kama Mkumbo hakumega ndiyo kabisaa. Tumemfanya jamaa kuwa maarufu kwa sifa ambazo si zake. Yule ni msomi na kama msomi ungelitegemea habari zake ziwe zinajadiliwa na Wasomi na si Wabeba Mabox na Wala vumbi kama mie hapa Sikonge. Dr. ni mwalimu na kama mwalimu ungelitegemea awe anaheshimiwa kama mwalimu, big brother, baba na mfano wa kuigwa. Sasa haya mambo ya kumuweka katika hali kwamba akipita watu wanakata shingo utafiki Mkumbo nyumba ana Kipengule(wowowo/Wacongo wanasema masoko) yanatoka wapi? Heshima gani atapata huyu mbele za wanafunzi wake, jamii yake nk?
Naomba kama ikithibitishwa si kweli, basi habari iandikwe kwenye FRONT PAGE ya kumuomba Dr. Mkumbo msahama na kurekebisha hii habari.
Mwisho, Dr. Mkumbo, NDIYO UKUBWA HUO - Pole kama si kweli.