Suala la Kitila na Mfanyakazi wake wa Ndani

Status
Not open for further replies.

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Nimepitia kesi za zilizokuwa posted na CPS domestic nimeona kumbe huyu bwana alishitakiwa na mfanyakazi wake wa ndani walipokuwa UK...

sasa kapata cheo kikubwa lakini je hii haiwezi kuharibia huyu bwana?

nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Nimepitia kesi za zilizokuwa posted na CPS domestic nimeona kumbe huyu bwana alishitakiwa na mfanyakazi wake wa ndani walipokuwa UK...

sasa kapata cheo kikubwa lakini je hii haiwezi kuharibia huyu bwana?
nawasilisha

Njoo kwa style nyingine

kapata cheo kikubwa
Ukuu wa idara (head of department) si cheo kikubwa kama unavyopaka mafuta hapa.....MOD do the necessary kwenye hilo tundiko...!
 
sawa ...we dare talk openly...mmengangania atajwe jamaa wa utamu wee mpaka

anyway baadae
 
SUALA hili la KITILA liko ubalozi wa Tanzania Uingereza,kituo cha polisi Southmpton na taasisi ya wanawake wa TANZANIA UK inayojulikana kama TAWA.chini ya MAMA KILUMANGA.

KITILA na mfanyakazi wake walifanya tendo la ndoa na mke wake akaja kujua na kum deport yule dada wa kinyiramba toka Singida.
jee Kitila mbona hajaadhibiwa?

jana kulikuwa na mjadala wa KITILA naona umefutwa, lakini aliyoyafanya KITILA hata clinton alikifanya, au kuna tetesi za Mzee Mkapa na mbunge mmoja aliyewahi kuwa naibu waziri wa viwanda na biashara na wizara ya Ardhi ambaye ni mwenyeji wa kaskazini walikuwa na tabia hiyo na tukawajadili hapa. jamani kitila njoo ujisafishe kunyamaza sio dawa.
 
Kama kawaida yetu Watanzania mtu akishapata nafasi kwenye jamii kila mtu anajitokeza kujionyesha kuwa anamjua, sasa wewe ulikuwa wapi siku zote kuliweka hili swala hapa kwenye forum, au ndio ulikuwa unasubiria apate cheo sehemu? SMH!
 
Heri ningelipa boga hicho cheo lakini sio kitila mkuMbo he was but aFter joined them he is no more
 
Nimepitia kesi za zilizokuwa posted na CPS domestic nimeona kumbe huyu bwana alishitakiwa na mfanyakazi wake wa ndani walipokuwa UK...

sasa kapata cheo kikubwa lakini je hii haiwezi kuharibia huyu bwana?

nawasilisha
Baadhi ya wabongo bwana shida tupu!!!!!,siku zote mlikuwa wapi???,yani kusikia Dk. Kitila kapewa kaukuu ka Idara mshaanza kuja na allegations zenye lengo la kumharibia,mbona yupo siku nyingi humu na mlikaa kimya?????,unafiki mtupu na Wivu unawasumbua...Lol...Shame on you
 
Kama ndio wale kina dada Mariam wa UK, hii habari ilisharushwa Clouds FM katika powerbreakfast sometime, enzi za Fina na Kipanya. Naomba isiwe habari hii.

Siku utakapo amua kugombea cheo cha Mwenyekiti wa Kitongoji, ndipo nyeti zako zote safi na chafu zitakazokuja public. Ndio madhara ya kuwa public figure wala sio kuoneana wivu wala choyo.
 
I see GT picking up where "Ze Utamu" left off.

On the other hand transparency is paramount, especially for public figures.Tatizo tusitoe mob justice tu hapa.
 
Kama ndio wale kina dada Mariam wa UK, hii habari ilisharushwa Clouds FM katika powerbreakfast sometime, enzi za Fina na Kipanya. Naomba isiwe habari hii.

Siku utakapo amua kugombea cheo cha Mwenyekiti wa Kitongoji, ndipo nyeti zako zote safi na chafu zitakazokuja public. Ndio madhara ya kuwa public figure wala sio kuoneana wivu wala choyo.
Ni Wivu na Unafiki Full Stop...Kitila siku zote tuko naye humu na anachangia mara kibao tu,kwa nini hizo allegations zisitolewe before na mpaka kusubiri kapata 'Mpunga' ndo zianze kutolewa..JF twatakiwa tuwe mfano bradha na si kutumia 'style' za Wanasiasa na Mafisadi za kuchafuana kupitia Vyombo vya habari...Ni mtizamo tu mkuu
 
Mkuu hata mimi nimeshangaa, nakubaliana na wewe huu ni wavu na 'siasa za maji taka'

kwani, Kitila ameshakuwa 'celebrity' mara hii?

Wabongo bana.....
 
Kitila ni public figure?

Ukiwa mkuu wa idara kwenye chuo kikuu kikongwe kuliko vyote katika nchi yenye vyuo vikuu vinavyohesabika katika vidiole mimi naona ni public figure, he is a public official in a prestigious position by Tanzanian standards.
 
Kama kawaida yetu Watanzania mtu akishapata nafasi kwenye jamii kila mtu anajitokeza kujionyesha kuwa anamjua, sasa wewe ulikuwa wapi siku zote kuliweka hili swala hapa kwenye forum, au ndio ulikuwa unasubiria apate cheo sehemu? SMH!
yeah mambo ya wivu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom