Kleptomaniacs
Member
- Apr 23, 2008
- 86
- 2
Sasa kama watu hamna kazi jamani si mseme tuwapatie siye waajiri? Kitila this kitila that public figure private figure nyie vipi mazee! kubwa hapa pongezi kwa hatua hiyo ya kupata nafasi kutumika UDSM kama Mkuu wa Idara, kaza buti adventure ndio kwanza imeanza na ambaye hajawahi kufanya hayo myasemayo na awe wa kwanza kumrushia jiwe kamanda kitila!