Suala la Kitila na Mfanyakazi wake wa Ndani

Status
Not open for further replies.
Haihusiani na cheo chake alichopata imekuwa double coincedence kwani kufumaniwa na mkewe imetokea kama miezi mitatu iliyopita.suala limepelekwa kwenye vyombo mbali mbali.kama unafuatilia Kitila alikuwa haonekani sana kipindi cha kuanzia miezi mitatu iliyopita kutokana na jambo hili.wazee wa Maumau wamefungua kesi leo ya kudai fidia kwa waingereza wakati waingereza wameondoka Kenya miaka ya 60.
kesi za madai unaweza kudai ndani ya miaka mitatu.
hakuna uhusiano wa cheo cha Kitila na suala lake la UGONI.

Bwana Kyaruzi, with all due respect you shoulkd understand kuwa hapa JF is better that these simple, unfounded allegations!

Tuambie:
- Kafumaniwa na mkewe, lini na wapi (sio utuambie 'kama miezi kitatu iliyopita),
-Hivyo'vyombo mbalimbali' ni vipi, havitajiki? hapa Mtanzania katuambia amecheki na TAWA hawajui suala hili. Hao wengine kama ni polisi au ubalozi tuwekee hard facts ulizodai unazo!
-Suala hapa sio la MAU MAU, usitake kutupentoze lengo.

Tupe evidence la sivyo hii ni character assasination na in teh worst case nadhani tutamove a motion uwe banned kwa kumchafulia jina mwana JF bila sababu. Sheria hapa ziko wazi.
 
Mimi niliongea na TAWA na wanasema case ya Dr. Kitila haikufika kwao.

Ina maana ni ubalozi wa TZ ndio walishughulikia na wao ndio wanaweza kusema waliambiwa nini na huyo msichana.

Bado ushauri wangu ni ule ule, kama mtu unakuja kusoma au kufanya kazi, jiepushe kabisa na hao wafanyakazi wa ndani. Labda kama ni ndugu ambaye unamsaidia ili atumie nafasi hiyo na akifika huku aendelee na mambo yake.

Ukileta mfanyakazi wa ndani na ukamtreat kama tunavyofanya kule nyumbani kwa kweli utaishia tu kwenye matatizo.

Mimi niwe TZ au Ulaya, kazi zangu nafanya mwenyewe, kwa kweli sihitaji house girl. Bibie akitaka house girl sharti ni moja tu, awe tayari kumtreat kama mtoto/mdogo wake mwenyewe, vinginevyo sihitaji mfanyakazi wa ndani nyumbani kwangu.
Umefuatilia ubalozi wa Tanzania UK? fanya hivyo.yule msichana alitakiwa apate msaada wa kuelekezwa wapi kwa kwenda.
 
Haihusiani na cheo chake alichopata imekuwa double coincedence kwani kufumaniwa na mkewe imetokea kama miezi mitatu iliyopita.suala limepelekwa kwenye vyombo mbali mbali.kama unafuatilia Kitila alikuwa haonekani sana kipindi cha kuanzia miezi mitatu iliyopita kutokana na jambo hili.wazee wa Maumau wamefungua kesi leo ya kudai fidia kwa waingereza wakati waingereza wameondoka Kenya miaka ya 60.
kesi za madai unaweza kudai ndani ya miaka mitatu.
hakuna uhusiano wa cheo cha Kitila na suala lake la UGONI.

Hii hadithi ya sungura na fisi, haina grounds za kuaminiwa.

Kama hujui kuleta habari basi ngoja nikudeseshe kidogo mfano wa kuanza kuripoti....

Tarehe fulani, saa fulani, mahali fulani, mke wa fulani alimfumania mumewe fulani bin fulani akiwa anafanya mapenzi na msaidizi wa ndani.....(ukifika hapo weka mtiririko wa mambo yalivyokwenda bila kusahau sehemu, tarehe, na mashaidi wanaohusika).
 
Kitila kummega housegirl wake itakuwaje low move? Kumega ni jambo la kujivunia bana labda uniambie alimbaka. Mimi hongera zangu bado ziko palepale. If anything Kitila amedhihirisha yeye ni rijali. Go Kitila.

Mkuu wangu NN, haki ya ni kama nataka kumega kwa starehe tafuta mtu wa class yako na uta-enjoy bwana. Mambo ya kufunua makufuli ya Ma-mercury (ma-hg) ni noma/nishai kabisa. Unless kama unataka mteremko na cheap cheap. Ni lazima mtu ujiwekee life standards, including entertaiments, ect. I hate to be low, yaani et hg anilinganishe na shamba boy au kahoseboy kajirani, no no no no way, over my dead flesh!!!
 
kwi kwi kwi Komredi mimi nataka kujua Mnyilamba huyo yupo Dar au Singida nikamfuate, Kitila hajamega komredi.
 
Umefuatilia ubalozi wa Tanzania UK? fanya hivyo.yule msichana alitakiwa apate msaada wa kuelekezwa wapi kwa kwenda.

Watu bana....wewe unaleta allegations zako sisizo na kichwa wala miguu...then unategemea wenzio wakufanyie research kuconfirm your empty findings....?

Nilitegemea kabla hujaja hapa uwe unadata za Ubalozi, TAWA, Police UK, Ndugu zake etc....we chuki zako na ''U head wa department'' unakimbilia hapa kulialia.....bila hata kuwa na supporting evidence.....!
 
Mkuu wangu NN, haki ya ni kama nataka kumega kwa starehe tafuta mtu wa class yako na uta-enjoy bwana. Mambo ya kufunua makufuli ya Ma-mercury (ma-hg) ni noma/nishai kabisa. Unless kama unataka mteremko na cheap cheap. Ni lazima mtu ujiwekee life standards, including entertaiments, ect. I hate to be low, yaani et hg anilinganishe na shamba boy au kahoseboy kajirani, no no no no way, over my dead flesh!!!

Ona sasa ulivyo limbukeni. Kwani housegirl hawezi kuwa msichana anayevutia? Halafu hii dhana ya kwamba ukimmega housegirl hautafurahia kwa sababu hamko naye daraja moja (quite elitist to be honest) umeitoa wapi?
 
point ya saba ni mustkee kabisa kwani siku hizi nyumba ndogo huishi ndani ya nyumba kubwa ili kubana matumizi....

labda... labda nasema labda

Mkuu Msanii, utakubalije kubana matumizi kwa mtu kama hg?? Hii si kubana matumizi bali ni hatari kwako, ndoa na familia nzima. Do not entertain such a shit!!! Kwanza hg akishakupata atakudharau sana, heshima inapungua kwako na mke wako, pia watoto!! utendaji wake wa kazi unakuwa zero na anaaanza kushindana na mkeo in everything!!! Is that the way you prefer your life being miserable because of these mercury (hg) thing??? My friend gharama yake ni kubwa mno in the long-run!!! Do not encourage comrades to be that low man!
 
Hii Thread haina haja tena, mtoa hoja alikurupuka tu. MODS ipigeni chini. Inawezekana mtoa hoja haoni vizuri.
 
Ona sasa ulivyo limbukeni. Kwani housegirl hawezi kuwa msichana anayevutia? Halafu hii dhana ya kwamba ukimmega housegirl hautafurahia kwa sababu hamko naye daraja moja (quite elitist to be honest) umeitoa wapi?

hahaha Komredi watu wengi wanasahau kuwa wkt mwingine housegirl anakuwa bomba kuliko wife hapo sasa utaona mikimiki wife na housegirl iwa panakuwa hapatoshi mkuu ndo maana mahousegirl wengi iwa wanapindua ndoa hivihivi mama mwenye nyumba ana baki mdomo wazi.
 
Ha ha ha NN. Mimi si Limbukeni ni mtu wa Class/status!!!!
 
Ha ha ha NN. Mimi si Limbukeni ni mtu wa Class/status!!!!

Class has nothing to do with education or money. Education and money can't buy you class. You can have all the degrees and be classless. You can have all the money in the world and be classless. Yet you can just be an average Joe and have a lot of class.
 
hahaha Komredi watu wengi wanasahau kuwa wkt mwingine housegirl anakuwa bomba kuliko wife hapo sasa utaona mikimiki wife na housegirl iwa panakuwa hapatoshi mkuu ndo maana mahousegirl wengi iwa wanapindua ndoa hivihivi mama mwenye nyumba ana baki mdomo wazi.

Mkuu Fidel80, kama ni wanawake kuwa bomba kuliko wife mbona wako wengi??? Utadonoa wangapi, au ndo tuseme utakuwa FATAKI. Ha ha ha. Ni lazima tujiwekee kipimo na kusema hapa ni basi!!!! Ukishaoa hata kama utakutana na bomba kiasi gani ni lazima ukubali kuwa ulishaamua once and for all. Tatizo wengi hatukubali tunabaki kugeuza shingo kila kikipita kibinti na kuanza kufuatilia contact zake!!! Nimesahau wengine ni swala la binti bomba bali kila skirt/khanga, kasuruali ka kitopu kakikatiza ni lazima akifuatilie, ni hulka hizo!!!
 
Class has nothing to do with education or money. Education and money can't buy you class. You can have all the degrees and be classless. You can have all the money in the world and be classless. Yet you can just be an average Joe and have a lot of class.

You said it all!!!!! Putting aside whatever level of education, money and tittles I may have, I prefer CLASS/STATUS when it comes to my personal choices and preferences. Absolutely, no one can change this!!!! Na hii itanifanya nisibabaikebabaike na kubadilisha options/models kila wakati!!!
 
Na housegirl anaweza akawa na class mara mia kumshinda baba na mama mwenye nyumba!!

Unachozungumzia wewe sio class. Ni standards. Vitu viwili tofauti kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom