TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

Aisee.

Wale wanangu wa Taurus -Syria watapeana taarifa, wakanyagiaji na mabaharia wa Greece, wahuni wa Istanbul na umangani Karachi, Lahore na Kabul.

Yote maisha kazaliwa Obey, kaende Mbezi beach, sijui St Anthony mara Dakawa sijui Ada estate mara ardhi,Mbezi beach Kafa..
RIP may Allah forgive your sins InshaAllah rest you in heaven, we are on the way coming.
 
Ahaaa ungeenda kwao ukaona mjengo ungeduwaa eneo kubwa sana nadhani mzee wake alizingatia hilo,ofcoz jamaa likizo zake alikuwa akienda USA,mzee wake alikuwa kauzu ba alijua dogo anapenda bata sana,niseme tu,pombe zimekatisha uhai wake,dafa yaje kasoma medicine USA na anaishi huko
Sio mbaya
 
Katika kitu naogopa ni kupoteza mwelekeo nakaaga na kujiuliza Sana Sanaa.

Mimi nimewai kukaa mwenyewe Katika umri mdogo Sana Ila sikualibikiwa sababu ndani yangu kulikua na hofu ya mungu na woga wakuja kua mtu wa hovyo hovyo mpaka Leo hii japo nyumbani kwetu sio kinyonge Ila huwa hatuwazii mali za home MZEE ANAPENDA KUTWAMBIA HIVI VITU NI VYA KWANGU PAMBANA UPATE VYAKO.
Wewe kijana wangu nini!
 
Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia

Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba

Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile

Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu

Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Hivi ndugu za wafiwa huwa wanawaambia mje mfungue thread au mnajipa majukumu yasiyowahusu?
 
Vijana kuweni makini sana na afya zenu hakuna tuzo ya kunywa mapombe, kuvuta sigara na shisha zaidi ya kukaribisha maradhi ya kudumu na kifo

Nguvu za ujana zisiwadanganye ukishagonga 40+ ndio utaelewa madhara yake

Namkumbuka enzi hizo alikuwa akija sana Upanga na washikaji zake na pigo zake

Poleni wafiwa na mlioguswa na kifo cha Steve
 
Back
Top Bottom