Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,141
- 24,563
Sikiliza viziri nyimbo ya Prof. J. Tozi nyangema. Manake ni pale mswahili anapotaka kuwa kama 2 pack. Lugha ya pichaTofauti ya Tozi nyangema na bishoo ni ipi mkuu 😂
Sikiliza viziri nyimbo ya Prof. J. Tozi nyangema. Manake ni pale mswahili anapotaka kuwa kama 2 pack. Lugha ya pichaTofauti ya Tozi nyangema na bishoo ni ipi mkuu 😂
Dah...steve walianzia kukaa kinondoni ada estate aiseMwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia
Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba
Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile
Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu
Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Weka picha yake, msiba ni wapi?.Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia
Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba
Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile
Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu
Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Tulikuwa wote forodhani wakati mama yakr anamfata shule wamenipa lift sana hawaUko sahihi,lazima ungemjua tu we mtoto wa mjini mwana katutoka
Ila za viongozi zinaruhusiwa.SherIa za JF haziruhusu
Sehemu gani?Msiba mbezi beach
Mama nlisikiaga alafu mzee msaki miaka mingi alikuwa anaishi dubai aliendaga huko longtimeKumbe we Mrangi muhenga mwenzangu,wazazi wake pia walishafariki unajya
👿Sehemu gani?
Daawa high school HGL 2000Mama nlisikiaga alafu mzee msaki miaka mingi alikuwa anaishi dubai aliendaga huko longtime
Dada yKe pricila yupo kweli
Ova
Hahahaha 🤣 😂Sikiliza viziri nyimbo ya Prof. J. Tozi nyangema. Manake ni pale mswahili anapotaka kuwa kama 2 pack. Lugha ya picha
Walikua wanakaa Masaki mtaa Gani?Mama nlisikiaga alafu mzee msaki miaka mingi alikuwa anaishi dubai aliendaga huko longtime
Dada yKe pricila yupo kweli
Ova
OkTulikuwa wote forodhani wakati mama yakr anamfata shule wamenipa lift sana hawa
In short alikuwa mwana
Ova
mkuu uzi wake kivipi tena? Au ni ...Uzi wako unasikitisha na kuchekesha,tumuombee atapona,ila kama alikuwa xhawa,wamesharogana huko chamani
Ah mzee kijame .alikuwa n busara sana yule mzee. Sijui kama sasa kunawakuu wa shule kama yuleMzee kijame alishafariki