TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

Rip steve master msaki yanki mmoja wa kishua ila alikuwa anaishi maisha yake ya kawaida.

Mzee msaki alikuwaga meneja mkuu Tisco na wameishi masaki karibu na shopperz magorofa ya Tisco

Wameanza kula maisha enzi za mwalimu. Mama msaki alikuwa boutique mtaa wa azam mjini alikiwa anajipenda masaki ile ukitoa mama mercy mengi wakipita ndani.ya.gari.unasikia. perfume mtaa.mzima na yeye mama msaki.

Pia steve. Ni baba wa mtoto Carlo ndosi mabange.
 
We unamjua kitambo,zamani dar ilikuwa rahisi kujuana kabla jiji halijavamiwa
 
Why 90% ya wanaojiita maconsultant wako based from Dubai ni wapigaji.

Maana hata the late mzee msaki baadae alikuwa consultant based in Dubai. Kuna michoro mingi sana ya kipigaji na kimafia dubai. Wauza unga ma construction mafia wa dunia nzima wako.dubai
 
Sahihi
 
Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia

Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba

Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile

Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu

Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Sasa kwa sisi tusiomjuwa tufanyeje?
 
Rip steve master msaki yanki mmoja wa kishua ila alikuwa anaishi maisha yake ya kawaida.

Mzee msaki alikuwaga meneja mkuu Tisco na wameishi masaki karibu na shopperz magorofa ya Tisco

Wameanza kula maisha enzi za mwalimu. Mama msaki alikuwa boutique mtaa wa azam mjini alikiwa anajipenda masaki ile ukitoa mama mercy mengi wakipita ndani.ya.gari.unasikia. perfume mtaa.mzima na yeye mama msaki.

Pia steve. Ni baba wa mtoto Carlo ndosi mabange.
Wewe mkuu kidogo unaijua historia ya kijana Steven Msaki.
Baba yake Jacob F Msaki akilukwa Mkurugenzi Mkuu wa TISCO . Cheo alichopata kiujanja ujanja. Mimi niaifahamu historia yake.
Kijana Steven anazaliwa tunamwona, cha kusikitisha baba yake hakuwa mtu wa ustaarabu kimaisha na kikazi na amedhulumu watu wengi licha ya kutoihudumia familia ipasavyo.
Mke wake Jacob Msaki mama yule alipitia mateso mengi kimaisha.
Wafanyakazi kampuniya TISCO wengi walitapeliwa mafao yao.
Kujito kimasomaso Jacob Msaki aliwapeleka watoto Marekani na yeye kukimbiloa Dubai.
Maisha hayakuwa mazuri sana , mke yuko Dar watoto USA na yeye Dubai. Watoto kama Steve hawakupata matunzo ipasavyo, hivyo ikawa pombe mtu.
Naye Msaki huko Dubai maisha hayakuwa mazuri, akaugua na kurudishwa Muhimbili alipofia. Mke naye akaugua kwa kukosa matunzo na hatimaye kufariki.
Kijana Steven amefariki kwa frustration za kimaisha. Laiti mzee wake angemweka sawa kimaisha angeendelea vizuri.
Nimeeleza mambo yajuu juu tu, kuna mazito mengi.
Tumwombee Mungu ,kijana Steve apumzike kwa amani.

SOMO: Vijana katika hali yoyote, umasikini au utajiri, tunza upendo kwa familia yako.
 
Back
Top Bottom