TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

Sio wote ila nikiri tu kuwa nusu ya marafiki zangu wamepoteza mwelekeo,hata mimi chupuchupu.tulizaliwa na kukua kipindi kigumu uhuni ikiwa ni fasheni,imagine unabalehe Tupac ndio yuko kwenye peak.lazima uvae mlegezo,uvute bangi,utoboe sikio,ukimaliza shule unawaza kuwa baharia kwenye meli au kuzamia nchi za watu,haikuwa rahisi wala msitucheke.
Siku hizi uhuni ni ushamba
Vijana wa siku hizimmezaliwakipindi jiji limejaa ustaarabu.
Katika kitu naogopa ni kupoteza mwelekeo nakaaga na kujiuliza Sana Sanaa.

Mimi nimewai kukaa mwenyewe Katika umri mdogo Sana Ila sikualibikiwa sababu ndani yangu kulikua na hofu ya mungu na woga wakuja kua mtu wa hovyo hovyo mpaka Leo hii japo nyumbani kwetu sio kinyonge Ila huwa hatuwazii mali za home MZEE ANAPENDA KUTWAMBIA HIVI VITU NI VYA KWANGU PAMBANA UPATE VYAKO.
 
Shukuru Mungu,sometimesni kampani mbovu zinazoharibu watu
 
Tangi bovu,jirani na Mwalimu Nyerere School
Tangibovu nayo ni Mbezi we nae mdukuzi? 😂😂😂

Si tukajua africana kule nyuma kama unaenda jangwani au Mbezi chini kule mitaa ya Ritha Mlaki au Kwa Zena. Kule ndo kwa washua sasa. Na watoto wa Mbezi beach wa kishua hawakusomaga shule za kawaida Kama Huyo Jamaa hapo.
 
Shukuru Mungu,sometimesni kampani mbovu zinazoharibu watu
Jana Kuna sehemu huwa naenda kupiga story na vijana jioni..wale jamaa nikakuta Wana mzinga mkubwa ule wa VALUER na WANAVUTA SKANKA WAKANIKALIBISHA NIKAZUGA ZUGA PALE NIKAAGA NIKAONDOKA NIKAWAAMBIA MIMI NI MSTAAFU☺️😊

Mkuu,
Umeeleza vyema Sana na kwa kina PEER PRESSURE GROUP Zina mchango mkubwa Sana kupoteza uelekeo wa vijana wengi Sana.
 
Tangibovu nayo ni Mbezi we nae mdukuzi? 😂😂😂

Si tukajua africana kule nyuma kama unaenda jangwani au Mbezi chini kule mitaa ya Ritha Mlaki au Kwa Zena. Kule ndo kwa washua sasa. Na watoto wa Mbezi beach wa kishua hawakusomaga shule za kawaida Kama Huyo Jamaa hapo.
Ahaaa ungeenda kwao ukaona mjengo ungeduwaa eneo kubwa sana nadhani mzee wake alizingatia hilo,ofcoz jamaa likizo zake alikuwa akienda USA,mzee wake alikuwa kauzu ba alijua dogo anapenda bata sana,niseme tu,pombe zimekatisha uhai wake,dafa yaje kasoma medicine USA na anaishi huko
 
Kama vile baadhi ya wazungu wanavyohisi Afrika yote ni nchi moja na wote tunajuana.

Kuna mama mmoja Mjerumani nilikutana nae akaniuliza kama namjua rafiki yake anaetokea Afrika, akataja na jina kabisa. Nikamuuliza Afrika sehemu gani, akanijibu Senegal🤣
Nimecheka sana kaka...
 
Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia

Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba

Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile

Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu

Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Ah school mate! Steve RIP.
 
Jana Kuna sehemu huwa naenda kupiga story na vijana jioni..wale jamaa nikakuta Wana mzinga mkubwa ule wa VALUER na WANAVUTA SKANKA WAKANIKALIBISHA NIKAZUGA ZUGA PALE NIKAAGA NIKAONDOKA NIKAWAAMBIA MIMI NI MSTAAFU☺️😊

Mkuu,
Umeeleza vyema Sana na kwa kina PEER PRESSURE GROUP Zina mchango mkubwa Sana kupoteza uelekeo wa vijana wengi Sana.
Alcohol free since January 1, 2024.
 
Jana Kuna sehemu huwa naenda kupiga story na vijana jioni..wale jamaa nikakuta Wana mzinga mkubwa ule wa VALUER na WANAVUTA SKANKA WAKANIKALIBISHA NIKAZUGA ZUGA PALE NIKAAGA NIKAONDOKA NIKAWAAMBIA MIMI NI MSTAAFU☺️😊

Mkuu,
Umeeleza vyema Sana na kwa kina PEER PRESSURE GROUP Zina mchango mkubwa Sana kupoteza uelekeo wa vijana wengi Sana.
Kabisa,marafiki wa huyu marehemu wote ni walevi hatari,figo ilifeli sa
Ah school mate! Steve RIP.
Pole mkuu mi ninesoma nae dakawa
 
Kabisa,marafiki wa huyu marehemu wote ni walevi hatari,figo ilifeli sa

Pole mkuu mi ninesoma nae dakawa
Dah Jamaa alikuwa akifika moro anaweka kituo kwanza anakuja baada ya siku kadhaa akiwa tungi. Palikuwa na girl mmoja mweupeeeee hivi mangi flan Jamaa alikuwa dem yake. Nasikia nae alipata shida hapo moro
 
Back
Top Bottom