Usichanganye mada,huyu ni JF menberKuna siku nimekaa na wadada wa Dar wawili wanapiga umbeya wao kuhusu mdada mwingine inaoenekana ni maarufu Dar wao kama vile wanamfahamu personally kiundani, sasa wanataka na mimi nichombeze story yao kama vile namjua nikabaki nimekodoa macho na kuduwaa tu.
😅Kuna watu huwa wanafikiri watu wa Dar huwa wanafahamika nchi nzima
Rip steven wazazi wake wote marehemu, nilikuwa nawafahamu tukiishi wote Masaki.Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia
Kwa waliokulua Ada Estate muaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 200 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba
Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile
Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu
Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Itakuwa nyagi tu bila shaka ............ile mikono ya kwenye nyagi ukiiona imeshuka ujue kaburi liko futi moja kutoka uliko simamaSio kijana,ni around 45,figo,kisukari
Yani bado una ugomvi na marehemu!!!Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia
Kwa waliokulua Ada Estate muaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 200 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba
Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile
Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu
Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Ndiyo maana akasema, kwa waliokulia ada Estate, waliosoma forodhani primary school, St Anthony, dakawa High school......wanaweza kuwa wanamjua.Jinga sana mtoa mada yaani kama wote tunamjua