STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

My fellow teacher ndo nawaandaa vijana kwa ajili ya kipimo hapo february, pole kwa msiba my dear. Mengi yanajiri humu ndani, we acha tu. umeskia Madame B katangaza anatafuta mchumba!?? afu kajipambanua eti yeye ni mpole tena bikra, si kuwaibia watu huku!??

sasa mwl naona umesahau kipimo cha mwl kwamba huwez kusema mwnafunzi ni mjinga kama hujampa mtihan na kufeli sasa usiseme Madame B sio bikra ilihali hujawah kuingia uwani kwake.
 
Last edited by a moderator:
Waoo my dear,
Welcom back Home mamie.
Ngoja tujipange vje kukuwaooo.

thaks ma dearest, salam nyingi sana toka kwa mama Aisha na aunt dokta, mama mzaa chema nae hakuwasahau. mlinipandishaje daraja mwali?? yaani mmeacha stori ukweni
 
sasa mwl naona umesahau kipimo cha mwl kwamba huwez kusema mwnafunzi ni mjinga kama hujampa mtihan na kufeli sasa usiseme Madame B sio bikra ilihali hujawah kuingia uwani kwake.

Khaa!
Nawe Mwl mwenzangu,uwani tena??
Hata barazani kuko Sealed,hakujatumika kbs.
Kama ndo baraza,zege bado bichi.
Aje huyo Baba V athibitishe.
 
Last edited by a moderator:
sasa mwl naona umesahau kipimo cha mwl kwamba huwez kusema mwnafunzi ni mjinga kama hujampa mtihan na kufeli sasa usiseme Madame B sio bikra ilihali hujawah kuingia uwani kwake.

Keshanithibitishia hapo juu kuwa ni bikra na kanifumbua macho kuwa kumbe bikra zipo za aina nyingi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Khaa!
Nawe Mwl mwenzangu,uwani tena??
Hata barazani kuko Sealed,hakujatumika kbs.
Kama ndo baraza,zege bado bichi.
Aje huyo Baba V athibitishe.

Chimbuvu uuuu....!!!!!! there is an assignment for you here...!!!
 
Last edited by a moderator:
Khaa!
Nawe Mwl mwenzangu,uwani tena??
Hata barazani kuko Sealed,hakujatumika kbs.
Kama ndo baraza,zege bado bichi.
Aje huyo Baba V athibitishe.

umeona enh!!!!!!!!!!!!!!

ila sasa mwali mbona bandiko lako sifa za kijana unayemtaka ni kama za figganigga?? na zake alizozitoa nia kama zakao?? fanyeni cross multiplication basi
 
Last edited by a moderator:
thaks ma dearest, salam nyingi sana toka kwa mama Aisha na aunt dokta, mama mzaa chema nae hakuwasahau. mlinipandishaje daraja mwali?? yaani mmeacha stori ukweni

Asante mpenzi.
Kumbuka kuna dunia nyingine nyuma ya Keybord.
Wewe ni wetu na lile ni jukumu letu sote.
Tusingeweza kukuacha mwenyewe wakati sie tupo.
Waambie salamu zimefika na tumezipokea kwa mikono miwili.
 
barikiweni mara elfu wapendwa wangu.
 
Back
Top Bottom