saidi mdaki
Member
- Feb 17, 2020
- 9
- 6
Hapo umemaliza kabisa mkuu, mke anamawazo ya kudaiwa vikoba, mume mfuko hausomi, mlo was manati halafu umletee habari za kuruha maji. Usipotafuta pesa maji ataurushia mchepukoJBourne59, Haya yote ya Nini tafuten pesa nusu saa nying mwanamke keshafika vilele vyote Hadi vya milima ya Himalaya vijana mnakwama wapi????? Stress kwa mwanamke itaondoka Kama TU anauhakika wa kupata anachokihitaji kwa wakati full stop.
kilicho akilini kitumie
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app