Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,733
Yes, haya vijana kazi kwenu msije saidiwa huko masihara mkajilaumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri hunifahamu vizuriKijana unazani kabla ya uwepo wa social media wanawake walikuwa hawakojoi? Hafu acha kukopy makala za watu na kuzileta JF
Mwaka wa 7 huu namfanyia hivyo mke wangu, mwanzo tulikua hatuchukui tahadhari yoyote, ni kubadili mashuka baada tendo na kugeuzo godoro, ikaja kipindi tukaweka mpira na kanga au kitenge, baadae tena taulo, sasa hv tunatumia vyote ila sio kwa pamoja.Haya mambo yanawezekana kwa mchepuko tu na zile manzi mnakutana ‘gesti’, mke wa kila siku huwezi kufurahia kulowesha mashuka au kulala kwenye ‘nylon’ kama watoto vikojozi.... kuna ‘mmama’ mmoja alinipa somo kuwa aliamua kuacha baada ya kuolewa.
Binafsi niliwahi kuwa kwny hii situation once nikaomba tustop nikakojoe kwanza doh, kumbe ndo utamu wenyewe! Ushamba huu kweli mzigo [emoji85][emoji85]
Kweli mkuu, wengi hijibana sanaaa wakihisi wa kawaida, kuna mmoja tumeduu zaidi ya mara 10 anakuambia kabisa huohuo huku akitaka umuache yeye anahisi ni wa kawaida, yaani hapo ili umtoe hata kidogo mnakabana kama mnagombana vile, wanawake wengi sana hawana elimu ya hii kitu.Kabla sijawa ‘muhuni’ [kabla sijawa informed], ni siku moja tu demu wangu wa siku nyingi alibanwa ‘mkojo’ wakati wa tendo na akaniomba ‘poo’ ili akakojoe.... kuja kujua haya mambo nikajicheka sana.
Yale maji yanakuja na feelings za kukojoa kabisa, wanawake wengi [kwa kutokujua] huyazuia kwa kujibana sana wakihofia aibu ya kukojoa kitandani.... hii elimu inahitajika na haipo kwa wengi.
Walio wengi wanaamini kuwa na uke mkavu ni dili [rejea stori za kukamulia limao], ukimgusia kama ameshawahi kutoa ‘maji’ au mtazamo wake juu ya maji.... atakwambia “mimi sio Mhaya”.
Ukichukuwa mazoezi ya kujizuia, hatimaye utaweza kudhibiti ujaji wa mabeberu bila ruhusa!Mimi nahisi wajerumani lazima watatoka kabla hata muhusika ajarusha hayo maji maana niprocess ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni soma zuri sana linaweza kufundishiwa hata ndani ya nyumba za ibada.Nimecheka lakini nimeshindwa kulaiki
Vuta jiko mkuu
James Jason
Tupe uzoefu wako ndugu. Huwa inakutokea? Au na wewe Ni mhanga wa kutofurahia?Yes, haya vijana kazi kwenu msije saidiwa huko masihara mkajilaumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hili ndio tatizo la watu wengi,kumdharau usiemjua.Nafikiri hunifahamu vizuri
Pitia uzi huu Baba Joseph17
Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"
James Jason
Ni Mara moja imenitokea nilitembea na dada mmoja kitanda kimeloa sijawahi kuona Tena uivyoKweli mkuu, wengi hijibana sanaaa wakihisi wa kawaida, kuna mmoja tumeduu zaidi ya mara 10 anakuambia kabisa huohuo huku akitaka umuache yeye anahisi ni wa kawaida, yaani hapo ili umtoe hata kidogo mnakabana kama mnagombana vile, wanawake wengi sana hawana elimu ya hii kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana unazani kabla ya uwepo wa social media wanawake walikuwa hawakojoi? Hafu acha kukopy makala za watu na kuzileta JF