Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

vposterior

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
732
Reaction score
1,232
Habari zenu wadau.

Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki.

Nimekutana na kitu ambacho cjawahi kukutana nacho kipindi cha ubachelor, nikiwa nakula tunda la mke wangu baada ya muda anasema anahisi kukojoa na baada ya mda flani kweli anakojoa, tena ananirushia kabisa.

Nimeuliza jamaa wanasema kitaalamu inaitwa squirting, cha ajabu cjawai kukutana nayo enzi za ujahili.

Sasa hii ni normal thing na ni kwa baadhi ya wanawake tu na je ule ni mkojo au nini hasa?
 
Hivi inakuwaje mtu unakuja kutoa siri za mkeo hadharani namna hii?!
Kutoa siri ningeexpose my real name na my wife nyote mkanijuwa na yeye kumjuwa halafu nikaeleza, ila hii haitwi kutoa siri ni kutaka kujuwa mambo ambayo siyajui. Na kama Lengo ni kutoa nisingekuja huku ningeanza na kumueleza baba, mama, dada, brothers na other relatives.
 
Back
Top Bottom