msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
kweli kabisa kuna mwanamke aliwahi kuniambia yeye akifanya sex na masikini hafiki kileleni
kweli kabisa kuna mwanamke aliwahi kuniambia yeye akifanya sex na masikini hafiki kileleni
Inawezekana mkuu
Hata kwa mke inawezekana, kama mtakuwa na juhudi za kustawisha penzi lenu na kuwa romantic na si kuzoeana kunakopelekea kufanya kwa mazoea.Haya mambo yanawezekana kwa mchepuko tu na zile manzi mnakutana ‘gesti’, mke wa kila siku huwezi kufurahia kulowesha mashuka au kulala kwenye ‘nylon’ kama watoto vikojozi.... kuna ‘mmama’ mmoja alinipa somo kuwa aliamua kuacha baada ya kuolewa.
[emoji57][emoji57][emoji124][emoji124][emoji124]
Baba kwa heshima yako nimefanya kitu naomba kama hutojali tujumuike huku, Uhusiano wangu wa kimapenzi na hamidaNafikiri hunifahamu vizuri
Pitia uzi huu Baba Joseph17
Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"
James Jason
Kupitia njia ipi? [emoji34][emoji34]
Naona unateseka kweli, pole mkuu ndio raha ya kua mwanaume rijali.
Ebana eee.......! Mkuu tupe vituWoii
Yale yanatokaga tu ghafla unashangaa hayoo....mkojo unajulikana na yale yanajulikana yakiwa yanakuja
Hakuna kushikana mikono, je vipi wanaolala wawili? Tamko litoke
Emu tuhadithie maufundi yako basi 😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mwenyewe nimeisoma leo nikiwa ofisin aiseee nilihangaika kuushusha mnara wapi! hadi ikabidi niuache kuusoma kwa mda kwanza
Shukran sana KiongoziKi*s-imi = Kin*-embe = Clitoris
Kigiroli ni sehemu tu ya clitoris
_____
Kwa wasiojuwa jinsi k!*s*-imi kilivyo waangalie mchoro nimeuweka (I hope sijakiuka maadili ya Jf)
Kigoroli hapo ndio 'glans clitoris'
Sehemu yote ya 'clitoris' ina hisia, lakini hapo kigorolini ni zaidi.
View attachment 1374462View attachment 1374464
James Jason
😁Tulia wewe msukuma, hiyo ‘kukojoa’ sio ya kufika kileleni.... endelea kujifunza.