Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Mkuu ungezingatia siku wengine ndio tumetoka Church tuu alafu unakutana na uzi kama huu!
Dah! Umeongea neno la maana aisee!

Maana leo, tumeaswa kuliombea Taifa kwanza. Mengine tujifanye hatuyaoni.
Lengo la Corona ni kulegeza uchumi wa mataifa makubwa ila pia kuangamiza uchumi wa nchi za Africa na watu wao ili iwe rahisi kutawaliwa na kuwa exploited vya kutosha.

Na hiki kiwanda cha Tz cha uchakataji wa papuchi, tutaishia pabaya aisee!

Anyway, tunashukuru kwa mada nzuri kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somo kama ili niliwaifundishishwa na manzi mmoja pale rusumo,nilikuwa kabla ya kuvuka boda nalala pale napiga mzigo asubuhi nasepa,

Kumbe yeye hafurahii mpaka nimtoe maji,ikabidi anipe somo kama ili,Yalivyotoka nilifurahi sana ile hali,nilijiona bingwa aisee,
 
IMG-20200301-WA0006.jpg
 
Ngoja nikupe story.

Kipindi hicho bado nipo yanki, nikampata mtoto mmoja wa kimbulu. Kwa sababu ya ugentleman, mara zote mimi huwa napenda mwanamke akojoe ndiyo na mimi niunge tela.

Chezea mtoto wa watu weeee, chezea kweli kweli lakini wapi. Ikabidi nimwambie " kojoa basi". Akauliza "nikojoe" nikamwambie " ndiyo kojoa" Doh! Kumbe lilikuwa ni kosa.

Kumtizama mwenzangu ni kama anavuta hisia kwa mbali sana. Kama vile hatupo wote. Akaniuliza tena "nikojoe" nikamwambia ndiyo fanya hivyo. Ahhhh mtoto wa watu alikojoa mkojo wa chooni. Ule ambao ni Urea kabisa na kijambo juu.

Ikabidi nimpe somo. Kumbe mtoto wa watu hajawahi kupata orgasm kwenye maisha yake. Maisha haya.

Angalizo: usije ukamlazimisha mwanamke kukojoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Kutoka mwanamke kuwa chombo cha starehe hadi mwanamme kuwa chombo cha starehe”.

Kuna uzi humu unasema hivyo, sijui unalenga nini.... asilimia za ukweli ni nyingi.
Mme na mke wote ni "vyombo vya starehe"

Ukimfanya mkeo arushe maji ama kufika kilele, UMEMSTAREHESHA

Ila mme ukijipendelea mwenyewe bila kumkijo*za mke, basi UMEMTUMIA KAMA CHOMBO CHA STAREHE

Yaani ni sawa na kupiga pu.ny*eto tu.

Kwake mke yeye ATAKUWA AMEKUSTAREHESHA wewe mume.

Hivyo tujitahidi TUSTAREHESHANE.

James Jason
 
Haya mambo yanawezekana kwa mchepuko tu na zile manzi mnakutana ‘gesti’, mke wa kila siku huwezi kufurahia kulowesha mashuka au kulala kwenye ‘nylon’ kama watoto vikojozi.... kuna ‘mmama’ mmoja alinipa somo kuwa aliamua kuacha baada ya kuolewa.
 
Haya mambo yanawezekana kwa mchepuko tu na zile manzi mnakutana ‘gesti’, mke wa kila siku huwezi kufurahia kulowesha mashuka au kulala kwenye ‘nylon’ kama watoto vikojozi.... kuna ‘mmama’ mmoja alinipa somo kuwa aliamua kuacha baada ya kuolewa.
Mila na desturi tu

Lakini mkiamua mnafanya vizuri tu, na siyo lazima uweke nailoni, ukingoni mwa kitanda na masofa hufaa pia, taulo zitasaidia

Hii ni sababu kubwa ya Wahaya na Wanyarwanda kupenda kugegedwa na Wahaya wenzao ama Wanyarwanda wenzao; hata kama akiolewa na mtu wa kabila lingine, akikutana na anayemrushisha maji, atafanya tu.

#Tuache ubinafsi, tuwako*jo*ze wake zetu

James Jason
 
Kabla sijawa ‘muhuni’ [kabla sijawa informed], ni siku moja tu demu wangu wa siku nyingi alibanwa ‘mkojo’ wakati wa tendo na akaniomba ‘poo’ ili akakojoe.... kuja kujua haya mambo nikajicheka sana.

Yale maji yanakuja na feelings za kukojoa kabisa, wanawake wengi [kwa kutokujua] huyazuia kwa kujibana sana wakihofia aibu ya kukojoa kitandani.... hii elimu inahitajika na haipo kwa wengi.

Walio wengi wanaamini kuwa na uke mkavu ni dili [rejea stori za kukamulia limao], ukimgusia kama ameshawahi kutoa ‘maji’ au mtazamo wake juu ya maji.... atakwambia “mimi sio Mhaya”.
 
Back
Top Bottom