Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Habari zenu wadau.

Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki.

Nimekutana na kitu ambacho cjawahi kukutana nacho kipindi cha ubachelor, nikiwa nakula tunda la mke wangu baada ya muda anasema anahisi kukojoa na baada ya mda flani kweli anakojoa, tena ananirushia kabisa.

Nimeuliza jamaa wanasema kitaalamu inaitwa squirting, cha ajabu cjawai kukutana nayo enzi za ujahili.

Sasa hii ni normal thing na ni kwa baadhi ya wanawake tu na je ule ni mkojo au nini hasa?
kwenma
 
Mauchafu tu hayo mi akikojoa mamikojo mengi hivyo namwacha malamoja tu
 
Humu kuna watu wanajua haya mambo,bora ungemwambia a-gugo.
Humu majibu utakayopata yatakuchanganya tu, ungemuuliza vizuri huyo aliyekutajia hilo jina la 'Squirting' sie wengine hatuijui hiyo. Au ungekinga kwenye mkono kisha ukachunguze vizuri kama ni maji au mkojo. Ova
 
Ukipump vzr let's say 15min chomoa vinarukaaaaa,,,,, unapiga tena 3 min vinarukaaa
 
Ukanda ule wote wa kwa wahaya, wanyarwanda, waganda, wanyambo! Kati ya wanawake 10 unaweza kukuta 9 wanarusha maji
Wanamaji balaaaa...! Yani hatarii tupuuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukanda ule wote wa kwa wahaya, wanyarwanda, waganda, wanyambo! Kati ya wanawake 10 unaweza kukuta 9 wanarusha maji
Aisee! Nasikia mwanamke anaye rusha maji ana enjoy zaidi kuliko asiye rusha, basi kwa lugha nyingine ni kusema kwamba ukanda huo ndio unaofurahia zaidi tendo?
 
Back
Top Bottom